Niliyoyaona Jijini Mwanza

Niliyoyaona Jijini Mwanza

Ni ushamba mkuu na inferior complex ya watu wa Mwanza ..Hata hiyo mwanza yenyewe hapo mjin wamejenga watu wa kaskazini

Wewe huijui mwanza vuzuri, moja kati ya mji ambayo wazawa ndio wanamiliki maeneo ya kati ya mji basi ni Mwanza.

Kama sio wazawa basi ni Waarabu na Wahindi.
 
Mimi nasema ukweli kama mtu aje anipinge mji wa mwanza washamba ni wengi sana na wanawake wa huko wanawaogopa wageni yaani ni mji ambao hauwezi kujichanganya kila kona tofauti na arusha dodoma na daressalam
Uzuri wa mwanza ukifungua biashara watu wanakuja kununua sio Kama sehemu zingine watataka kujua kuwa wewe jamaa Ni wa wapi kabla ya Kuja kununua dukani kwako. So mwanza Ni ya wote ama watanzania wote. Najua unakataa kimakusudi Ila mwanza Kuna kila kabila na na taifa sema tu huku wenyeji ama wazawa Ni wengi nadhani hata tanzania nzima Hawa wenyeji wa mwanza zone Wana impact kubwa mno kwa uwingi.
Mwanza mtu hakuulizi kabila na Kama hujui Tena mwanza watu Wana upendo ambao huwezi upata pengine
 
Nyakayondwa
Nyakalilo
Nyandolwa
Nyakasenya
Nyamonge
Nyakafuru
Nyalwanjaja
Nyamisebehi
Nyamitondo
Nyanseke
Nyalutembo
Majina ya mahala yanatokana na lugha ya mahala husika mkuu. Wewe unataka uwe Serbia umsikie nyamadoke utamsikia milosovic slobadan .
 
Wakuu wazima?

Nafikiri kuna kapost kangu niliwah post humu kuuliza sehem nzuri ya kupumzika kwa hapa Mwanza.
Sasa kwa kipindi hiki cha wiki 2 nilizokaa huku hay ndo niliyoyaona na kujifunza

1. Wanawake wanapiga kazi sana huku(wanajishughulisha) mida ya jioni barabarani utakutana nao sana wakiuza either matunda, dagaa, samaki, maharagwe yaliyochemshwa tu, nyanya na vikorombwezo vingine4, pia wanachoma mahindi na kuyauza
2. Wengi wa wasichana huku ni waoga sana hasa kwa strangers
3. Draft la huku wengi hucheza French( hawajui kuhusu British)
4. Kila wanapokaa hudhani wote ni wa huku hivyo huongea tu kilugha
5. Hotels and Lodge za huku no bei rahis sana sana huanzia 30k
6. Mwanza ni mji mzuri sana, una mandhari nzuri kuliko Arusha( kwa mtazamo wangu)

Asanteni wakuu
kwani ilikua lazima useme kuliko arusha mkuu😂😂😂
 
Sio muiko Wala mwiko. Hajui wazungu wenyewe Wana kabila zao na hizo lugha za mataifa yao Ni tizi kuzimasta. Franch, Germany language Ni national language Kuna makabila bado humo ndani ndani ya hizo nchi.

Kuna watu wakishasoma ama wakifika USA wakirudi Ni kutema slang ya kufa mtu eg you know,I gonna,I wanna die hard getting this psyy so wanajiona wako juu ama wamestaraabika fulani.
Yaani mtu kukataa vya kikwenu inaonekana kma wewe mjanja Mara mie sijakulia kijijini na wakati Kuna watt wamezaliwa new York wanajua kuongea kikurya Sasa wewe kuzaliwa kwa mtoghole ama igoma unajiona Kama Ni ujanja kutotukuza lugha yako.
# copied

European countries are more developed and among the first world countries.

They are made up of the same ethnic group in a single country.


For example England is predominantly English

France is predominantly French

Netherlands is predominantly Dutch.


These people have a common language, ancestry and a common goal.


Just look at Nigeria for example where they packed Hausa, Yoruba, Igbo, Edo, ijaw into one country.


Like we have anything in common.


Imagine a country with Igbo people only, a country with Hausa people only, a country with Yoruba people only.


We don't have to worry which tribe is going to rule or if my ethnic group have senate President or federal appointment or not.


We'll focus on building our ethnic nation. I swear Nigeria must divide. We are not one

That's just my observation about developed and undeveloped country because a country like Nigeria can never developed..
#COPIED
 
# copied

European countries are more developed and among the first world countries.

They are made up of the same ethnic group in a single country.


For example England is predominantly English

France is predominantly French

Netherlands is predominantly Dutch.


These people have a common language, ancestry and a common goal.


Just look at Nigeria for example where they packed Hausa, Yoruba, Igbo, Edo, ijaw into one country.


Like we have anything in common.


Imagine a country with Igbo people only, a country with Hausa people only, a country with Yoruba people only.


We don't have to worry which tribe is going to rule or if my ethnic group have senate President or federal appointment or not.


We'll focus on building our ethnic nation. I swear Nigeria must divide. We are not one

That's just my observation about developed and undeveloped country because a country like Nigeria can never developed..
#COPIED
Wewe unaongea yai lako Hilo na huku uk tu hapo Kuna Scottish,welish,and Irish nadhani Scottish huwa anajiona superior mno. Kuna visiwa ukienda uka English yao na yako mnapoteana.


Sasa ziko developed waliamka tu wakajikuta wako developed mkuu ama unaongea kwa hisia huelewi sie huku bado hakujakucha bado Ni usiku ama huelewi.


Wewe ndiye wale mnaotaka tuwe na roads Kama za USA ,na metro Kama ya Russia ama Spain.

Sikia urusi yenyewe achana na Belarus,Kiev or whatever Kuna kabila zaidi ya 80 sema wanatumia Russian language as their national language. Unataka uniambie like Taifa la China wote wale wanaongea Mandarin hakuna ethnic groups mdogo ndogo kweli. Hili suala la kabila lipo kila nchi hata uteme slang yako.
 
Nashangaa sana watu wanavyo compare Mwanza na arusha....
Mwanza ipo vizuri sana hasa miundombinu,na imejengeka pakubwa sana kuliko Arusha.
Arusha mji mdogo sana na umepigwa bao na mikoa kibao
Hapana aisee kifupi ni
1.Dar
2.Mwanza
3.Arusha
4.Mbeya
5.Dodoma
Halafu wengine waendelee sasa
 
Naomba ufafanuzi hapo namba 5 kwani natarajia kuja huko mwezi April.
Hotel zao ni bei rahs sana...kuna moja iko nata..ni classic sana ila vyumba vinaanzia 30k ukitaka nitaje jina naweza
 
Back
Top Bottom