Niliyoyaona Jijini Mwanza

Niliyoyaona Jijini Mwanza

Njoo VILLA PARK & RESORT usiku ununue madame Bei che au njoo CCM KIRUMBA buku mbili mwisho buku tatu unakula mzigo wa dame pis kali
 
Bangi mbaya sana mwanza Jiji Ina manispaa mbili ILEMELA na nyamagana Sasa utalinganisha na mji wa bangi kwanza jina A town lakin sis rock city
Huwezi pinga hili.

Utalii na mwingiliano mkubwa na wageni toka nje imesaidia bakubwa wakazi wa A town kujifunza mambo mapya mazuri tofauti na wewe kijana hapo Nyamagana Mwanza.

Arusha ni safari capital hapa Tanzania.

Kwanamna yoyote ile wakazi wa Arusha wanapata advantage yakuwa mbele kwa mambo mengi "exposure" ukilinganisha na wakazi wa maeneo mengine Tanzania.

Ukishindwa kuona ukweli huu utakuwa na shida mahali.
 
Mwanza hua ni nzuri bana, ndoto za watu wa Arusha ni kuishi na kuwekeza mwanza hauwezi the kusikia msukuma anawaza kwenda arusha afadhali aende ifakara, lindi, chunya, kigoma, mpanda, sumbawanga, madibila, rujewa, ubaruku, ambapo atalima na kufuga au kuchimba dhahabu , kuliko akateseke arusha
Sababu Arusha ni jiji la kitalii sio sehemu ya kufuga ng'ombe
 
Njoo VILLA PARK & RESORT usiku ununue madame Bei che au njoo CCM KIRUMBA buku mbili mwisho buku tatu unakula mzigo wa dame pis kali
Buku tatu demu mkali huo ni uongo..acha kamba.
 
Njoo VILLA PARK & RESORT usiku ununue madame Bei che au njoo CCM KIRUMBA buku mbili mwisho buku tatu unakula mzigo wa dame pis kali

Mkuu mbona unaanza kuichafua mwanza tena? Kweli elfu tatu ni demu mkali kabisa?
 
Mkuu mbona unaanza kuichafua mwanza tena? Kweli elfu tatu ni demu mkali kabisa?
Schafui mm nakaa mwanza hili Jiji Kwa madame ni kama ilivo dar Kwan dar si kna madem buku mbili Sasa washangaa Nini
 
Wakuu wazima?

Nafikiri kuna kapost kangu niliwah post humu kuuliza sehem nzuri ya kupumzika kwa hapa Mwanza.
Sasa kwa kipindi hiki cha wiki 2 nilizokaa huku hay ndo niliyoyaona na kujifunza

1. Wanawake wanapiga kazi sana huku(wanajishughulisha) mida ya jioni barabarani utakutana nao sana wakiuza either matunda, dagaa, samaki, maharagwe yaliyochemshwa tu, nyanya na vikorombwezo vingine4, pia wanachoma mahindi na kuyauza.

2. Wengi wa wasichana huku ni waoga sana hasa kwa strangers.

3. Draft la huku wengi hucheza French( hawajui kuhusu British).

4. Kila wanapokaa hudhani wote ni wa huku hivyo huongea tu kilugha.

5. Hotels and Lodge za huku no bei rahis sana sana huanzia 30k.

6. Mwanza ni mji mzuri sana, una mandhari nzuri kuliko Arusha( kwa mtazamo wangu)

Asanteni wakuu
Namba 3&4 ilinishangaza Sana wakati nimefika ila niliwazoea.
 
Ewaaa mwanza is next leval sema wavuta bangi wa Arusha ubishi mwingi
 
Niko huku asee kisukuma nilugha yataifa hapa
Tangiapo Ni kabila kubwa Tanzania inayoongewa na kuelewekwa kwa watu wengi ukiacha kiswahili. Ni Kama Chinese ilivyokwisha kubalika kuwa lugha ya kimataifa kisa inaongewa na watu wengi.

Yaani wasukuma baada ya 100yrs wakiwa wote wamesoma kwa miaka iyo sijui patakuwa panakalika. Na jamaa wamevamia mapori na wanalima ,wanafuga wanafanya biashara yaani kila shughuli ya uzalishaji Mali na wanazaliana so watakuja kuwa wamiliki wa nchi hii nadhani.
Mana watakuwa wanayo ardhi ya kutosha ambayo Ni raslimali muhimu mno.

Cheki Kama wachina walivyoanza kuzagaa duniani. Sema tu Hawa wasukuma wengi sio wasomi wangeweza zagaa kila nchi. Ila wape iyo miaka utakuja kuniambia
 
Suala la muda TU tutatawala hii nchi mfano kule kusini WAKAZI wake wamesinzia sana kama waling'atwa na mbung'o hivo tpo tnachuma tunajenga kwetu
 
Suala la muda TU tutatawala hii nchi mfano kule kusini WAKAZI wake wamesinzia sana kama waling'atwa na mbung'o hivo tpo tnachuma tunajenga kwetu
Mwenyewe nawaza sijui nizame liwale na ng'ombe jike Kama 50 baada ya miaka 10 nadhani nitakuwa Ni untouchable nchi hii. Ardhi ipo ya kutosha na raia kule Ni mwendo wa ngoma tu. Yaani nowdays we're fighting for natural resources. Ama ukipata power tiller Basi wewe unaishia zako huko.
Ila kusini nilipapenda mno. Na smt ukifuga mbuzi wa maziwa wa nyama soko liko karibu hapo dar tu ama uarabuni unapeleka. Yaani sie Ni masikini kichwani. Ile ardhi akija mlowezi pale baadaye tutaaanza kumpiga kuwa akapora ardhi,pia anaishi vizuri Mara anapunja mshahara na kuanza Vita naye Kama kule Zimbabwe ama sauzi.kuna mmoja yupo mbeya analima avocado sijui
 
Back
Top Bottom