Niliyoyaona Jijini Mwanza

Niliyoyaona Jijini Mwanza

Huu Uzi unataka my hood aisee
Kijereshi,
Nimeondoka huko zamani sanaaa....
Nimefurah KUONA comment za watu wa nyumbani japo hatufahamiani,
Nasikia pamedamshi
Hata hapo machinjioni Kuna daladala sikuizi,

Kwa Sasa +267
Aaah pamenoga haswaa...Kila sehem pamechangamka....ila kishiri ndo pamechangamka zaid due namba ya watu huku ni kubwa haswa
 
Niliwai kwenda Natta nzega Kule ndipo nili gundua kua Kuna Dunia nyingine Moja Kuna watu walishangaa kwann mm sijui kisukuma...
Wakawa wanadhani najifanyisha throwback 2008
We have a long journey kama taifa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hata ulaya walikuwa ivyo ivyo mkuu. Miaka tu ya 1900 state ya Texas wanawake walikuwa wanapimwa sketi zao yaani Kuna specific kipimo kuanzia gotini downward. So sio kisa umesoma ya mkoloni, unajua kushika smart phone, ku drive na kula yai na kuishi kwenye kigae usidhani kuwa dunia yote iko Kama yako. Bado Kuna binadamu wenzetu wanaishi maisha Yale ya kijima na pia kumbuka changes Ni kizazi mpaka kizazi uelewe. Sio kirahisi unavyodhania.
Hata nchi nyingi za ulaya watu hawajui English mfano tu. Na wapo wanaojua afrika Ni zoopark Wala hakuna wanachojua zaidi ya hayo hapo.
 
Aaah pamenoga haswaa...Kila sehem pamechangamka....ila kishiri ndo pamechangamka zaid due namba ya watu huku ni kubwa haswa
Zamani sana aisee duu
Leo nimekutana na watu wa my hood 😄😄😊😀

Jf ime unganisha watu wengi sana sikutegemea kama mtakuwepo humu 🤚
 
Kwani kuongea kilugha muiko?
Sio muiko Wala mwiko. Hajui wazungu wenyewe Wana kabila zao na hizo lugha za mataifa yao Ni tizi kuzimasta. Franch, Germany language Ni national language Kuna makabila bado humo ndani ndani ya hizo nchi.

Kuna watu wakishasoma ama wakifika USA wakirudi Ni kutema slang ya kufa mtu eg you know,I gonna,I wanna die hard getting this psyy so wanajiona wako juu ama wamestaraabika fulani.
Yaani mtu kukataa vya kikwenu inaonekana kma wewe mjanja Mara mie sijakulia kijijini na wakati Kuna watt wamezaliwa new York wanajua kuongea kikurya Sasa wewe kuzaliwa kwa mtoghole ama igoma unajiona Kama Ni ujanja kutotukuza lugha yako.
 
Hata ulaya walikuwa ivyo ivyo mkuu. Miaka tu ya 1900 state ya Texas wanawake walikuwa wanapimwa sketi zao yaani Kuna specific kipimo kuanzia gotini downward. So sio kisa umesoma ya mkoloni, unajua kushika smart phone, ku drive na kula yai na kuishi kwenye kigae usidhani kuwa dunia yote iko Kama yako. Bado Kuna binadamu wenzetu wanaishi maisha Yale ya kijima na pia kumbuka changes Ni kizazi mpaka kizazi uelewe. Sio kirahisi unavyodhania.
Hata nchi nyingi za ulaya watu hawajui English mfano tu. Na wapo wanaojua afrika Ni zoopark Wala hakuna wanachojua zaidi ya hayo hapo.
Umeandika Kwa makasiriko 😀😊😄☺️😁
Ulicho andika ni sahihi na vise versa is true 🤓

Nakusalimia🤚
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Nimepita meco, buzuruga, igoma, natta na mkolan
There is no way hayo maeneo uliyotaja utakuta wanaongea kilugha. Nilidhani unazungumzia mwanza ndani ndani huko. Maana hata Igombe tuu sio rahisi kukuta wanazungumza kilugha japo ni nje kabisa ya mji.
 
Inaonekana humu wengi vilugha vyenu hamvijui kiasi inawakera mkisikia wenzenu wakiongea lugha zao, mie niko mbali na asili yangu lakini navyokitwanga kilugha km niko home tu, wanaoshangaa watajiju hawanihusu
 
Maeneo mengi yaanza na 'Nya'...

Nyasaka
Nyashishi
Nyakato
Nyambiti
Nyakahoja
Nyamongolo
Nyashana
Nyashishi
Nyamadoke
Nyakanazi. nk
Nyakayondwa
Nyakalilo
Nyandolwa
Nyakasenya
Nyamonge
Nyakafuru
Nyalwanjaja
Nyamisebehi
Nyamitondo
Nyanseke
Nyalutembo
 
Inaonekana humu wengi vilugha vyenu hamvijui kiasi inawakera mkisikia wenzenu wakiongea lugha zao, mie niko mbali na asili yangu lakini navyokitwanga kilugha km niko home tu, wanaoshangaa watajiju hawanihusu

Wewe una mentality kama yangu, yani nipo town lakini nikikutana na wa kabla langu nakipiga tu bila wasiwasi, kwanza ni dalili moja wapo ya mtu kujiamini.
 
Wakuu wazima?

Nafikiri kuna kapost kangu niliwah post humu kuuliza sehem nzuri ya kupumzika kwa hapa Mwanza.
Sasa kwa kipindi hiki cha wiki 2 nilizokaa huku hay ndo niliyoyaona na kujifunza

1. Wanawake wanapiga kazi sana huku(wanajishughulisha) mida ya jioni barabarani utakutana nao sana wakiuza either matunda, dagaa, samaki, maharagwe yaliyochemshwa tu, nyanya na vikorombwezo vingine4, pia wanachoma mahindi na kuyauza
2. Wengi wa wasichana huku ni waoga sana hasa kwa strangers
3. Draft la huku wengi hucheza French( hawajui kuhusu British)
4. Kila wanapokaa hudhani wote ni wa huku hivyo huongea tu kilugha
5. Hotels and Lodge za huku no bei rahis sana sana huanzia 30k
6. Mwanza ni mji mzuri sana, una mandhari nzuri kuliko Arusha( kwa mtazamo wangu)

Asanteni wakuu
Vipi bei za mbususu za huko?
Wanauza bei elekezi au ni kama hao wa Dasalamu?
 
Back
Top Bottom