Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,039
- 8,238
Uko sawa binafsi nimekaa Arusha na mwanza pia,ila kwangu mwanza naipa saluteArusha isingekuwa usela mavi wa wale machalii clearly hii battle ya Arusha vs Mwanza wala isingekuwa ngumu. Tatizo la Arusha ni vijana wengi wana usela wa miaka ya 90 karne hii..
Arusha ipo mbele ya Mwanza kwa karibia kila kitu, kitu pekee kinachoichafua Arusha ni tabia za vijana wengi wenyeji wa hapo hawana lugha wala charisma ya kuwapokea na kukaa na wageni. Wao kwao mgeni wanamwona ni Mzungu tu.