Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,267
- 3,647
oya eeeh sio mbele na nyuma mnakokufikiria nyinyi ni draft š¤£Sahihi Toka ukanda wa Singida wanacheza mbele na nyuma nilishangaa sana mara ya kwanza
oya eeeh sio mbele na nyuma mnakokufikiria nyinyi ni draft š¤£Sahihi Toka ukanda wa Singida wanacheza mbele na nyuma nilishangaa sana mara ya kwanza
Panya road ni waalifu, and they came and go!!Kila mkoa unawatu wa hovyo.
Au umesahau hapo Dar es Salaam kuna vijana wa hovyo wanajiita panya road?
Sasa watu wakianza kuandika uhalifu uliowakuta wakiwa miji mingine hapa Tanzania hatutafika mwisho?
Kingine. Mambo ya ubabe enzi za ujana ni kawaida tu. Tena vijana umri miaka 16 - 20?
Hiyo age vijana wengi wadogo wakiume ni kawaida kuonyeshana ubabe wa hapa na pale. Hasahasa shuleni.
Na mimi nasema hiyo ni sawa tu. Miaka hiyo ndiyo miaka ambayo vijana wadogo wanajifunza namna yakuwa wakakamavu lakini pia namna yakujilinda kama kundi.
Ni survival skills. Kama hutokei mtaa utashindwa kuelewa.
Mwisho hongera kwa kumbukumbu nzuri ulipokuwa A town.
Hata 1,500 unapata nzuri sana, ambayo Dar ungepigwa 30,000 hadi 40,000Sema
Haki ya nani
Lilihamishiwa igogoDuh mlango mmoja mbalii afu bei kubwaaaa kishenz
Yaniii makoroboi ilikua ukienda hata na 20 tu unarudi na nguo rundoo za jero buku huku 2 nguo nzureeeāŗļø
Eh...sehem maarufu sanaa kwa kutengeneza huyo mnyamaAsante sana...nilikuwa hapo ndam jana maeneo ya Eden nikipga kitimoto saaf kabisaaa
tatizo meno mkuuš šHV akili mnazo akili kufananisha Arusha na mwanza toeni upuuzi Arusha Ni half London
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mashikolo mageni Wigeeāŗļø!Obhe nang'ho
Oli cheng'we ghete
Lol noumaaa sanaa!! Nimepamiss sana Mwanza!Bonasera Ni zaidi na hapo kasiki unapoongelea karibu na Rocky city mall
Nitajie kama tatu hivi ambazo ni standard.Hotel zao ni bei rahs sana...kuna moja iko nata..ni classic sana ila vyumba vinaanzia 30k ukitaka nitaje jina naweza
Hii ipo Kama unaenda bonasera. Sato 30k hummaliziLol noumaaa sanaa!! Nimepamiss sana Mwanza!
NadhanI MWANZA ISIFANANIShWE na VITU vya AJaBU.Baada ya kusoma maoni ya wadau mbali mbali naomba ku funga mjadala kua MWANZA IPO AHEAD....
Sijui halafu sisi hatuna muda nao kazi kuanzisha sired na kulinganisha kijiji chao na jiji la Arusha. Ushamba mzigo mkuu wasukuma washamba Sana halafu ni watu wasiojua mambo mengi.Arusha cjui iliwakosea nin watu wa Mwanza, ikumbukwe hapa TZ jiji ni moja tu Bongo Dar es salaam
Has hahahaha mkuu tuwaambie tu kila mji ni mzuri kuliko Arusha. Maana wamekosa kitu cha kulinganisha nacho wameona Arusha tu? Kwanini Arusha? Hahah hii inadhihirisha jinsi gani A TOWN ni moja ya jiji kubwa Sana DunianiMzee, maandishi yako yanaakisi vile ulivyo.
Ninahakika watu wanaosoma hapa wanaona shida ilipo.
Point ya kuchukua ni hii; jiamini, usiogope watu wengine wanapoamua kuacha unyonge na kujiamini.
A town wameamua kujiamini na kupenda mkoa wao. Je, kuna shida hapo?
NaHuu Uzi unataka my hood aisee
Kijereshi,
Nimeondoka huko zamani sanaaa....
Nimefurah KUONA comment za watu wa nyumbani japo hatufahamiani,
Nasikia pamedamshi
Hata hapo machinjioni Kuna daladala sikuizi,
Kwa Sasa +267