Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Focustz na Ugumu wangu ni Verified Matapeli......

Ubaya wa JF,, mtu anaweza kuacha kutumia ID hio aliyofanyia utapeli,, na akajiunga na nyingine.... Na utakuta yupo hapa na yeye ana comment anamtukana tapeli ilihali yeye ndio tapeli mwenyewe...

Jeiefu ni ngumu sana...
Simu yake ina jina halisi,

Sema tu mengine ni kumwachia Mungu
 
Ila binadamu....

Kitu nimegundua hapa JF wanaoruhusiwa kujivuna ni ME, KE akijisifia ni kosa..

Kuna watu humu wana matambo ila sijawahi kuona wakisemwa wala kunyooshewa vidole...sasa ukiwauliza kwanini Wangari akijifanya mjuaji kwamba kila biashara anafanya kuna shida gani...Majibu hawana...
Wengine wanam'attack hadi maisha yake binafsi sababu tu eti anajifanya mjuaji[emoji849]....

Mahangaiko yao ni mengi aisee...
Hii ni kweli, ME wa JF hawataki mwanamke ajitambe lazima walimpue. Sijui inakuaga hasira au chuki ya kitu gani. Wao wakijitapa sisi tunaona fresh tu ila wao hawawezi kuvumilia.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
TRUST NO ONE...

Hii ni formula unayotakiwa kuitumia popote pale si online au katika maisha halisi

Hasa unapokua na shida,tembea kwa machale na umakini uongezeke hasa unapo

hitajiwa kutoa pesa ili tatizo lako litatulike,sijawahi ona mtu anaesaidia mtu mwingine

mwenye shida akimuhitaji atoe pesa,sijawahi shuhudia msaada wenye Gharama,nadhani

maana halisi ya neno Msaada ni BURE,ndio maana ikaitwa MSAADA.. Anaetaka kukusaidia

hakuombi chochote,hatohitaji chochote toka kwako na ukiona yanatokea hayo yakuombwa

chochote kitu basi ni haki yako kutumia Akili iliyo ndani ya UBONGO wako kuamua jambo sahihi.

Pole Mkuu,siku nyingine Usiongozwe na shida na taabu zako,Hakunaga mwanadamu aliyeumbiwa

Mateso milele,Usikubali kuendelea kutumika kama daraja la mtaji kwa hao wasio na huruma na wenye matatizo.
Daaaaah Mzee Una moyo umeeza timba na upigaji wote ule uliofanya Kwa Queen Sheba
 
Mi alitumiwa mzigua akanigawia utapeli wa kistaarabu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Sema uongo dhambi hela za Don nimekula kwa kweli. Alikua na roho yake kitu alichoniudhi ni kutokua mkweli

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom