Duuuh[emoji33][emoji33]Bora wewe umetapeliwa 20K.
Kuna mtu huku alitapeliwa 200K, akaliwa utamu kimasihara, akambiwa ana gono lisilotibika na vitisho juu Kwamba atamjua yeye ni mtu mbaya kiasi gani na akashtaki popote anapojua.[emoji35][emoji35]
Such a menace and savage humanoid [emoji35][emoji35]
Mkuu kwa hili unakosea sana jaribu kuangalia thread zangu za nyuma wala sijamsingizia!Kuna scenario nyingine hapa, you never know. Huenda pia mleta mada akaja kwa namna nyingine ill apate sympathy toka kwa wanajf wenye huruma sana. Hili chaka kwa sasa siliamini hata kidogo.
...22,000/- na ya kutolea!!..Njaaa mbaya sana….jamaa hana huruma kabisa na hela yenyewe 20,000!?
CONTROLAKwa hyo tumuongeze kwenye list yetu pendwa ya matapel Kama.@Ugumu wangu Nyete
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ukiona mtu hazungumzii sana kitu ujue nae anaumia sehemu fulani, huyo jamaa we amewahi kukutapeli?
Hata mm nasubiri jibu??Ukiona mtu hazungumzii sana kitu ujue nae anaumia sehemu fulani, huyo jamaa we amewahi kukutapeli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sikutoaga hizo Assist Eve...na kipindi hicho PM yangu ilikuwa na tatizo la kiufundi[emoji28]
Wewe na Dina Mungu anawaona...hamkupaliwa kweli?[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaah wapi tena hakunaga pombe tamu kama ya kununuliwa, ukinunua mwenyewe inakua imepoa [emoji23][emoji23][emoji23]
Makaveli unataka nivamiwe yule alimtapeli kwini na vitisho juu[emoji16]
Atujibu maana ame-mention hapo kama ni tapeli atuoneshe ushahidi sio kumchafua tu mwanaume mwenzake kishambHata mm nasubiri jibu??
Makuu pia alikula enhee[emoji1787][emoji1787]Ila aliokuwa anawaomba assist karibu wote nao tulikuwa tunakula hela zake.
Binafsi nimekula hela zake.
Nae amekula zangu.
Ila aliniharibu pale nilipomuamini kama rafiki tykakubaliana kazi fulani nikampa advance 300,000 ndo ikawa nitoleee.
Hadi leo.
Nikamuona hapa kweli huyu hana maana.
Kumbe!Alirudigi na id nyingine watu wakamstukia, akaja tena na nyingine akakaaa baadae nayo imepotea. Sijui kapotea au yupo tena kwa id nyingine!! Nae kiasi alichokuwaga anataka si ndio kama hiki hiki[emoji848][emoji848][emoji848]
DingiiiTRUST NO ONE...
Hii ni formula unayotakiwa kuitumia popote pale si online au katika maisha halisi
Hasa unapokua na shida,tembea kwa machale na umakini uongezeke hasa unapo
hitajiwa kutoa pesa ili tatizo lako litatulike,sijawahi ona mtu anaesaidia mtu mwingine
mwenye shida akimuhitaji atoe pesa,sijawahi shuhudia msaada wenye Gharama,nadhani
maana halisi ya neno Msaada ni BURE,ndio maana ikaitwa MSAADA.. Anaetaka kukusaidia
hakuombi chochote,hatohitaji chochote toka kwako na ukiona yanatokea hayo yakuombwa
chochote kitu basi ni haki yako kutumia Akili iliyo ndani ya UBONGO wako kuamua jambo sahihi.
Pole Mkuu,siku nyingine Usiongozwe na shida na taabu zako,Hakunaga mwanadamu aliyeumbiwa
Mateso milele,Usikubali kuendelea kutumika kama daraja la mtaji kwa hao wasio na huruma na wenye matatizo.
Ankali[emoji23]Vile focustz anachungulia huu uzi kwa mbali kana kwamba haumuhusu[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2196357