Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,285
- 35,806
Hata nyie mnaetapeli wenu...Huo ni utapeli pia, kama mlikubaliana mkutane ukatumiwa 10k ya nauli usipoenda bila tangible reasons lazima uitwe tapeli, tapeli wa mapenzi.
Sasa itategemea atakayemuwahi mwenzake[emoji23]