Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,283
- 35,797
Enzi zile za Forex imepamba moto humuHumble alifanywaje?
Humble naye alipigwa na kitu kizito[emoji23]Humble akaleta Uzi na si unajua ana yale maneno yake ya kuchekesha...
Kwenye comment ndiyo ilikuwa vunja mbavu[emoji23][emoji23]