TCRA bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] TRA tena haki nimecheka espy
Unatetea matapeli, unapewaga 10%?Wangari Maathai hajawahi kutapeli mtu.
Sema huwa mnajipendekeza kimapenzi na yeye anatembea na beat
Ila hajawahi tapeli mtu.
Kuna watu wana mabifu yao tu ya kunyimwa papuchi.
Espy id gani nitajie?Alirudigi na id nyingine watu wakamstukia, akaja tena na nyingine akakaaa baadae nayo imepotea. Sijui kapotea au yupo tena kwa id nyingine!! Nae kiasi alichokuwaga anataka si ndio kama hiki hiki[emoji848][emoji848][emoji848]
Haijawahi kuthibitika wala kuthibitishwa kuwa alitapeli mtu.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Tena huyo jamamimi sikuwahi kumjaji kabisa, na nilisimama nae kipindi kile.
Weee alinipiga laki 3...
Nikampotezea mazima mpaka leo.
Juzi kati akanicheki tena ana shida eti atanilipa mwisho wa mwezi, haaminiki sehemu yeyote walau mimi naweza msikiliza.
Rafiki yetu mimi na Mzigua90 .
Sie labla ukorofi wa vitu vingine ila sio Utapeli😬😂😂😂🤣🤣🤣🤣 waache kutusingizia wapambane na jinsia zao.
Wanataka kupindua meza eti😬😂😂😂😂Haijawahi kuthibitika wala kuthibitishwa kuwa alitapeli mtu.
Unatetea matapeli, unapewaga 10%?
Kweli kabisa, hakuna alowahi kuthibitisha utapeli wake. Wana chuki zao binafsi nae tu.Wangari Maathai hajawahi kutapeli mtu.
Sema huwa mnajipendekeza kimapenzi na yeye anatembea na beat
Ila hajawahi tapeli mtu.
Kuna watu wana mabifu yao tu ya kunyimwa papuchi.
kuna siku alimwaga nondo nikajisemea "huyu jamaa nimechelewa sana kumjua" nikamfolo kusoma madini.....🙄 mara paap katapeli pesa katapeli na chiuMzee wafursa akamtapeli dada wa watu penzi na pesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu Dada amewahi kumtapeli nani Mkuu?
Ahsante.Haijawahi kuthibitika wala kuthibitishwa kuwa alitapeli mtu.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Nani tena?
Kweli kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sie labla ukorofi wa vitu vingine ila sio Utapeli[emoji51][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nilicheka sana.TCRA bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njaa mbaya nyie!
Niliwahi kuuliza swali mahali kama hilo kuhusu Wangari sikupata jibu...Wangari Maathai hajawahi kutapeli mtu.
Sema huwa mnajipendekeza kimapenzi na yeye anatembea na beat
Ila hajawahi tapeli mtu.
Kuna watu wana mabifu yao tu ya kunyimwa papuchi.
Huyu nae kakazana na kumuita wangari tapeli sijui alitapeliwa nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi siwezi mtetea, ila nasema nachokijua.
Sijawahi kuona mtu amesema wangari alimuomba hela ampe connection, wala sijawahi ona utapeli wa wangari.
Kama umeona naomba niwekee hapa uzi nami nione.