Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Yaani hukuona hata uandishi wake wa message umefanan na wale jamaa wa "ile hela tuma kwa namba hii jina litakuja __"

Kuna msemo maarufu wa jf huwa unasema Ukiona mtu anakuitia fursa ujue fursa ni wewe.
Msemo huu ukiufanyia kazi utaepuka mengi dunia ya leo
 
Sasa mtu mwenye mwili mkubwa kama Mipango, anatapeli watu wenye shida utasema huyo ana ubongo?
Umemchagulia tusi kubwa sana, hivi ulishawi tapeliwa humu ndani?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
eti wanamchukia mjuaji sana, kila kitu anajua, kila biashara amefanya.
Nao si wafanye, kwani kawashikia mitaji au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wao mbona ndi mabingwa wa ujuaji humu ndani na hakuna mtu yuko na habari nao!! Wanaume wa humu wana shida nyingi qisee, ukiachilia mbali utapeli, wako na wivu wa ajabu ajabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Focustz na Ugumu wangu ni Verified Matapeli......

Ubaya wa JF,, mtu anaweza kuacha kutumia ID hio aliyofanyia utapeli,, na akajiunga na nyingine.... Na utakuta yupo hapa na yeye ana comment anamtukana tapeli ilihali yeye ndio tapeli mwenyewe...

Jeiefu ni ngumu sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti unakuta na yeye anatukana matapeli
 
Ndio huyo huyo sasa mzee wa assist, kapotea sijui ana id mpy[emoji2297][emoji2297]
Nilimfataga jukwaa la sports alipokuwa anashinda.
Kumuambia nipe pesa.
Weee akaona hapa nitaanzishiwa uzi akapotea.
Embu fikiria, mimi pesa sina namuombe kwa mwanaune wangu.
Halafu akanipiga kizembe.
Na pesa ya mwanaume wangu, halafu hata angesema nimuombee tu pia angempa.
Lakini akakubalo kupoteza urafiki na uaminifu kila pesa.
 
Ila aliokuwa anawaomba assist karibu wote nao tulikuwa tunakula hela zake.
Binafsi nimekula hela zake.
Nae amekula zangu.
Ila aliniharibu pale nilipomuamini kama rafiki tykakubaliana kazi fulani nikampa advance 300,000 ndo ikawa nitoleee.
Hadi leo.
Nikamuona hapa kweli huyu hana maana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuuumbe, ndio aliamua arudishe pesa zake kwa njia ya assist sasa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
eti wanamchukia mjuaji sana, kila kitu anajua, kila biashara amefanya.
Ila binadamu....

Kitu nimegundua hapa JF wanaoruhusiwa kujivuna ni ME, KE akijisifia ni kosa..

Kuna watu humu wana matambo ila sijawahi kuona wakisemwa wala kunyooshewa vidole...sasa ukiwauliza kwanini Wangari akijifanya mjuaji kwamba kila biashara anafanya kuna shida gani...Majibu hawana...
Wengine wanam'attack hadi maisha yake binafsi sababu tu eti anajifanya mjuaji[emoji849]....

Mahangaiko yao ni mengi aisee...
 
Watu inabidi wakajifunze utapeli kutoka huko Nigeria..., yaani unatumia ID yako ya kweli, Contact zako za kweli kwa kula pesa ndogo hivyo ?, Si kama kula mtaji wako wote au kuuchezea kwenye tundu la choo...

Hapo hakuna sustainability ukitapeli mmoja tu tayari umechoma mtandao..., Huyu atakuwa sio Tapeli labda na yeye shida zilimjaa (simba akizidiwa anakula mpaka majani)

Sio kwamba natetea wizi / utapeli bali mimi am of the belief of you want to do something atleast to it well.., There is an art on everything
 
Ila aliokuwa anawaomba assist karibu wote nao tulikuwa tunakula hela zake.
Binafsi nimekula hela zake.
Nae amekula zangu.
Ila aliniharibu pale nilipomuamini kama rafiki tykakubaliana kazi fulani nikampa advance 300,000 ndo ikawa nitoleee.
Hadi leo.
Nikamuona hapa kweli huyu hana maana.
Weeee!!! Pole Dear..

Na siku hizi amekuwa kimya huyo[emoji23]kuna jukwaa moja tu ndiyo huwa namuona mara nyingi...
 
Hivi rafiki mwema huwa ana alama gani nasi tujifunze?
[emoji1787] [emoji1787] Kwa mfano tu Wewe ni rafiki mwema je una alama? Huna alama ila tabia yako inaweza kujielezea tu kitabia, lakini ntu za deal, tapeli zipo ki deal deal tu na ni rahisi kumtambua tu haitaji taaluma yoyote
 
Back
Top Bottom