amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,150
- 31,300
Tumpeleke kwa mwamposa.Huyu mzee wako anahitaji maombi.
Kuna kitu hakipo sawa.
Akili anazo sana tu.
Ana utu pia sema sasa hiyo roho ya ombaomba inamuangusha...jambo kubwa kwake na tatizo ni ulevi
Tumpeleke kwa mwamposa.Huyu mzee wako anahitaji maombi.
Kuna kitu hakipo sawa.
Akili anazo sana tu.
Ana utu pia sema sasa hiyo roho ya ombaomba inamuangusha...jambo kubwa kwake na tatizo ni ulevi
Hatari!tapeli mdada katisha 😀Lol.
Labda niseme jambo muhimu sana.Ndiyo alikuwa ananipa, nami nampa.
Hata kwenye biashara ni mshauri mzuri sana, alinisaidia wakati naanza mwanzo kabisa.
Alikuwa ananipa nimuwekee, maana ana matumizi mabovu, ananipa kilo kadhaaa labda ikifika tarehe fulani anaanza kuniambia nimtumie kidogo kama buku ten au 15 kila siku.
Lakini sasa unamuamini mtu, unampa kazi ya watu unampa na malipo hafanyi, mbaya zaidi anataka ummalizie na balance, nisingeshtuka alikuwa anachukua 800,000 hivi hivi.
Juzi alinicheki alisema amepata kazi mahala, hana nauli anaomba nimkopeshe akipokea salary atanilipa, nikamuambia waeleze maboss watakusaidia.
Akasema hawezi, na haaminiki sehemu yeyote walau mimi ndo naweza msikiliza.
Lakini hapana, alinifanyia kitu kibaya sana.
Chalii yangu..nikopeshe Basi laki4 nitakurudishia😀Labda niseme jambo muhimu sana.
Huyu ukimweka kwenye kundi la matapeli moja kwa moja hafiti.
Mimi naweza kumuita ni omba omba.
Kwangu alikuwa anakopa na kurudisha.
Na hata senti ndogo alizoomba labda hakurudisha wala siwezi kumuita eti amenitapeli.
Nilishajua alivyo kwa hiyo nilichokuwa nampa nilihesabu kama sadaka hata asiporudisha haikunipa shida.
Pili aliwaweza watu wengi sababu naye akizipata aliwaweka watu kikao na kuwahudumia.
Hapo ndipo aliwaweza mabinti wengi wa humu[emoji28][emoji28]
Sijui kwa upande wa mbususu kuwa wangapi aliwaweza lkn ni mtu mwenye uwezo mkubwa kuwaweka watu kati.
Na wengi humu anawajua kwa sura.
Chalii yangu ninazo basi?[emoji28][emoji28][emoji28]Chalii yangu..nikopeshe Basi laki4 nitakurudishia[emoji3]
Hata siku alipoanzishiwa uzi humu ni tapeli, nilitetea mwanzo mwisho.Labda niseme jambo muhimu sana.
Huyu ukimweka kwenye kundi la matapeli moja kwa moja hafiti.
Mimi naweza kumuita ni omba omba.
Kwangu alikuwa anakopa na kurudisha.
Na hata senti ndogo alizoomba labda hakurudisha wala siwezi kumuita eti amenitapeli.
Nilishajua alivyo kwa hiyo nilichokuwa nampa nilihesabu kama sadaka hata asiporudisha haikunipa shida.
Pili aliwaweza watu wengi sababu naye akizipata aliwaweka watu kikao na kuwahudumia.
Hapo ndipo aliwaweza mabinti wengi wa humu[emoji28][emoji28]
Sijui kwa upande wa mbususu kuwa wangapi aliwaweza lkn ni mtu mwenye uwezo mkubwa kuwaweka watu kati.
Na wengi humu anawajua kwa sura.
Nakubaliana nawe huo ni utapeli.Hata siku alipoanzishiwa uzi humu ni tapeli, nilitetea mwanzo mwisho.
Mpaka leo kuna watu wananimind sana.
Baada ya muda akaja nitapeli, tulikubaliana kazi yeye ndo anaifanya.
Nikamlipa hakuifanya lakini akaniambia ameifanya na nimmizi3 balansi, baada ya kuona maelezo mengi vitu sielewi nikaamua kutafuta no ya muhusika mkuu mfanyaji kazi, akaniambia hakumpa pesa, hakurudi tena, na hapo jamaa ananipa preaha kuwa ameshafanya inatakiwa nimpe balance aniletee kazi
Je kama si utapeli ni nini?
Mimi alinitapeli.
😂😂Pole mwayaHata siku alipoanzishiwa uzi humu ni tapeli, nilitetea mwanzo mwisho.
Mpaka leo kuna watu wananimind sana.
Baada ya muda akaja nitapeli, tulikubaliana kazi yeye ndo anaifanya.
Nikamlipa adavance, hakuifanya lakini akaniambia ameifanya na nimmalizie balance, baada ya kuona maelezo mengi vitu sielewi nikaamua kutafuta no ya muhusika mkuu mfanyaji kazi, akaniambia hakumpa pesa, hakurudi tena, na hapo jamaa ananipa presha kuwa ameshafanya inatakiwa nimpe balance aniletee kazi
Je kama si utapeli ni nini?
Mimi alinitapeli.
Na mimi naomba mwaliko madameBora mje aiseee
Nitapika biriani
Ahsante best.😂😂Pole mwaya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daaaNa mimi naomba mwaliko madame
Masikini, sijui kwanini huruma imeniingia. Huyu mtu anahitaji msaada wa kisaikolojia hayuko sawa. Ni vile tu hizi nchi zetu hazitilii maanani matatizo kama haya[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Ndiyo alikuwa ananipa, nami nampa.
Hata kwenye biashara ni mshauri mzuri sana, alinisaidia wakati naanza mwanzo kabisa.
Alikuwa ananipa nimuwekee, maana ana matumizi mabovu, ananipa kilo kadhaaa labda ikifika tarehe fulani anaanza kuniambia nimtumie kidogo kama buku ten au 15 kila siku.
Lakini sasa unamuamini mtu, unampa kazi ya watu unampa na malipo hafanyi, mbaya zaidi anataka ummalizie na balance, nisingeshtuka alikuwa anachukua 800,000 hivi hivi.
Juzi alinicheki alisema amepata kazi mahala, hana nauli anaomba nimkopeshe akipokea salary atanilipa, nikamuambia waeleze maboss watakusaidia.
Akasema hawezi, na haaminiki sehemu yeyote walau mimi ndo naweza msikiliza.
Lakini hapana, alinifanyia kitu kibaya sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Sema uongo dhambi hela za Don nimekula kwa kweli. Alikua na roho yake kitu alichoniudhi ni kutokua mkweli
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Hiyo ndio kawaida hata kitaa tu kuna vitu vya ovyo vinafanyika usiku kama kutupa uchafu alafu kukipambazuka kila mtu anakemea wakati humo humo kwa wanaokemea kuna ambao walitupa mzigo....hata hawa matapeli wanaokuja kwa ID zingine wanatumia experience ya kitaaFocustz na Ugumu wangu ni Verified Matapeli......
Ubaya wa JF,, mtu anaweza kuacha kutumia ID hio aliyofanyia utapeli,, na akajiunga na nyingine.... Na utakuta yupo hapa na yeye ana comment anamtukana tapeli ilihali yeye ndio tapeli mwenyewe...
Jeiefu ni ngumu sana...
Bado uhuni upo na ukute aliefanya hivyo sio MASHAKA ZAKARIA maana tuliaminishwa kwamba NIDA itakuja kuondoa matapeli wa mitandaoni lakini bado wale wazee wa "ile ela tuma kwa namba hii" bado wapo
Ukitaka kuwa tajiri lazima uwe katiliAisee
Matapeli hayana huruma
Kumbe nae ni tapeli!!!!!!Yule jamaa huwa anamwaga nondo za fursa, hadi viungo vya chai alivitolea mchanganuo wa fursa 🙄