Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,318
- 35,934
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] .
Nimeikumbuka, jf aisee[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ile thread huwa nacheka jamani, mzee mtei wa dar huyo, anatoa koneksheni za kuwa usalama wa Taifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Controla huyo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Bora wewe umetapeliwa 20K.
Kuna mtu huku alitapeliwa 200K, akaliwa utamu kimasihara, akambiwa ana gono lisilotibika na vitisho juu Kwamba atamjua yeye ni mtu mbaya kiasi gani na akashtaki popote anapojua.[emoji35][emoji35]
Such a menace and savage humanoid [emoji35][emoji35]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuuumbe, ndio aliamua arudishe pesa zake kwa njia ya assist sasa.
Aaah wewe ulivyo na gubu ungemsimanga hadi ajute.Mimi hapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuuumbe, ndio aliamua arudishe pesa zake kwa njia ya assist sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ile thread huwa nacheka jamani, mzee mtei wa dar huyo, anatoa koneksheni za kuwa usalama wa Taifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuuh!! Yaani hadi id mpya aliendelea na mabalaa[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Heeeee hivi kumbe ile ni ID yake??? kumbe angenipiga sema tu nini namie ni mchoyo wa hela zangu [emoji23][emoji23][emoji23] alitaka mkopo
Mimi kama wewe sikuwepo hiyo siku ila sijui alimtapeli mchango wa kufungua biashara sheba, wakachanga..Hii mbona mpya kwangu amu? Alichanyaje?
Ni kwenye lile lalamiko la Binti sheba?
Kabisa...ukiwauliza chuki zao amewafanyaje? Utasikia eti mjuaji kila kitu anajua, kila Biashara kafanya[emoji849]We jf walivyo na midomo na wanavyomchukia huyu dada wa watu angekuwa aliwahi kutapeli mtu pangechimbika mbona!! Wangemuanzishia nyuzi mia mia. Ila sijui aliwafanya nini walah, kuna mahali aliwashika vibaya sio bure!! Maana hizi chuki ni too much.
Humble alifanywaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna nyuzi humu zikiletwa utacheka ulie..
Mimi hadi leo sijawahi kuusahau ule uzi wa Humble African alivyofanywa..
Nimejaribu kuutafuta ila siuoni. Sasa sijui mods walikuja kuufuta..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heeeee hivi kumbe ile ni ID yake??? kumbe angenipiga sema tu nini namie ni mchoyo wa hela zangu [emoji23][emoji23][emoji23] alitaka mkopo
Ana shida gani? Au ana uraibu wa kubet[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Nilimfataga jukwaa la sports alipokuwa anashinda.
Kumuambia nipe pesa.
Weee akaona hapa nitaanzishiwa uzi akapotea.
Embu fikiria, mimi pesa sina namuombe kwa mwanaune wangu.
Halafu akanipiga kizembe.
Na pesa ya mwanaume wangu, halafu hata angesema nimuombee tu pia angempa.
Lakini akakubalo kupoteza urafiki na uaminifu kila pesa.
Mimi sijui shida ni nini.Ana shida gani? Au ana uraibu wa kubet[emoji2297][emoji2297][emoji2297]