Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,349
- 201,629
DaaahWanaune wa humu mbona mna njaa hivi[emoji2297][emoji2297][emoji2297] mnatapeli watu wenye shida kweli bila hata aibu!!
DaaahWanaune wa humu mbona mna njaa hivi[emoji2297][emoji2297][emoji2297] mnatapeli watu wenye shida kweli bila hata aibu!!
Kutokana na ile screenshoot ya mazungumzo tapeli ni mdadaWanaune wa humu mbona mna njaa hivi[emoji2297][emoji2297][emoji2297] mnatapeli watu wenye shida kweli bila hata aibu!!
Mtu ana struggle bado unamkandamizaPole sana sana
Washenzi kama hawa tunao wengi tu
Elfu 20 kweli? Kama una shida nayo si uandike tu uzi watatokea wasamaria wema wakupe kuliko kwenda kumtapeli mtu mwenye shida zake!!Nilikuwa nakutag saa hii!!!
Balaa jingine tena...
Mikosi mingine ni ya kujitakia hivi watu wanafahamu chozi la aliye dhulumiwa linavyojibu kwa harakaElfu 20 kweli? Kama una shida nayo si uandike tu uzi watatokea wasamaria wema wakupe kuliko kwenda kumtapeli mtu mwenye shida zake!!
Yaaaani!!!!Elfu 20 kweli? Kama una shida nayo si uandike tu uzi watatokea wasamaria wema wakupe kuliko kwenda kumtapeli mtu mwenye shida zake!!
Mashaka huwa ni jina la kike?Kutokana na ile screenshoot ya mazungumzo tapeli ni mdada
Mzee wafursa akamtapeli dada wa watu penzi na pesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila matapeli huwa wanamwaga nondo humu balaa, wanajua kuwakoleza haswaaa mtu anatoa nondo za fursa unaona mtu si ndio huyu....kumbe mzee mtei tu.
pole kwa kutapeliwa
Kwa kuweka rekodi sawa.Kutokana na ile screenshoot ya mazungumzo tapeli ni mdada
Watu ni wengi, Binadamu wachache...Mtu ana struggle bado unamkandamiza
Huyo jamaa fff kbsa
Ova
Sijui huwa ni laana au wana matatizo gani!!!Mikosi mingine ni ya kujitakia hivi watu wanafahamu chozi la aliye dhulumiwa linavyojibu kwa haraka
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mzee wafursa akamtapeli dada wa watu penzi na pesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]