Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Jamaniii pesa ilivyo ngumu hivi inawezekanaje utoe pesa kirahisi hivyo mimi ili nikupe pesa yangu nikujue mpaka mzizi wa ukoo wako na tuandikishiane serikali za mtaa[emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaaaani!!!!

Mtu ana matatizo bado kumuongezea matatizo mengine tena...
Inawezekana ni mchezo wake huyo..hizo 20 anawaliza watu wengi, mbali na hapa JF...

Mimi nadhani ifike mahali Uongozi wa JF uangalie namna ya kuwaadhibu hawa watu...Kwa njia yoyote ile..
Nafikiri makosa ni ya wanachama kuamini kivuli yaani usiyemjua
 
Tena huyo jamamimi sikuwahi kumjaji kabisa, na nilisimama nae kipindi kile.

Weee alinipiga laki 3...
Nikampotezea mazima mpaka leo.
Juzi kati akanicheki tena ana shida eti atanilipa mwisho wa mwezi, haaminiki sehemu yeyote walau mimi naweza msikiliza.

Rafiki yetu mimi na Mzigua90 .
Daah ulikuwa unamsifia balaa.
Acha nisikukumbushe bure[emoji28]
 
Nilimfataga jukwaa la sports alipokuwa anashinda.
Kumuambia nipe pesa.
Weee akaona hapa nitaanzishiwa uzi akapotea.
Embu fikiria, mimi pesa sina namuombe kwa mwanaune wangu.
Halafu akanipiga kizembe.
Na pesa ya mwanaume wangu, halafu hata angesema nimuombee tu pia angempa.
Lakini akakubalo kupoteza urafiki na uaminifu kila pesa.
Sijui nikukumbushe au basi.
Kuna wakati ulimsifia sana kuwa huyo ni sawa na baba mtoto?
Tahadhari yangu ukaidharau?
Uliniponda hadi nikabadili mada[emoji28]

Moyoni nikasema...siku zitaongea...hatimaye leo siku zimesema kwa sauti.
 
Sijui nikukumbushe au basi.
Kuna wakati ulimsifia sana kuwa huyo ni sawa na baba mtoto?
Tahadhari yangu ukaidharau?
Uliniponda hadi nikabadili mada[emoji28]

Moyoni nikasema...siku zitaongea...hatimaye leo siku zimesema kwa sauti.
Lakini si alikuwa mshkaji wako pia???
🤣🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Nyete mshenzi sana..
Zile picha ziliniumiza jamani...
Huwezi amini pengine nami ningepatikana...
Maana nilikuwa najisemea walioenda Lugalo wakileta taarifa kamili nami niende nikamuone mtoto....

Walivyoleta ule mrejesho nilichoka...
Kilitokea nini lugalo, mrejesho ulinipita ila hiyo habari ya kuuguliwa na mtoto niliiona.
 
Usijute mmekula sana pesa zake nyie[emoji28][emoji28][emoji28]
Ndiyo alikuwa ananipa, nami nampa.
Hata kwenye biashara ni mshauri mzuri sana, alinisaidia wakati naanza mwanzo kabisa.
Alikuwa ananipa nimuwekee, maana ana matumizi mabovu, ananipa kilo kadhaaa labda ikifika tarehe fulani anaanza kuniambia nimtumie kidogo kama buku ten au 15 kila siku.

Lakini sasa unamuamini mtu, unampa kazi ya watu unampa na malipo hafanyi, mbaya zaidi anataka ummalizie na balance, nisingeshtuka alikuwa anachukua 800,000 hivi hivi.
Juzi alinicheki alisema amepata kazi mahala, hana nauli anaomba nimkopeshe akipokea salary atanilipa, nikamuambia waeleze maboss watakusaidia.

Akasema hawezi, na haaminiki sehemu yeyote walau mimi ndo naweza msikiliza.
Lakini hapana, alinifanyia kitu kibaya sana.
 
Back
Top Bottom