Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sikutoaga hizo Assist Eve...na kipindi hicho PM yangu ilikuwa na tatizo la kiufundi[emoji28]
Wewe na Dina Mungu anawaona...hamkupaliwa kweli?[emoji28]
😂😂😂😂aaah wapi tena hakunaga pombe tamu kama ya kununuliwa, ukinunua mwenyewe inakua imepoa 😂😂😂
 
Wadada kwa nini mnapenda kutetea ujinga wa Wangari Maathai mnakumbuka watu walishawahi leta Uzi juu yake hadi vielelezo na waliishia kupigwa Life BAN?? Wangari Maathai Ni tapeli, tena uikiingia kwenye 18 zake anakula pesa zako, kwa miadi ya kukupa Chaka la business za migodini huko! Tulishapigwa,tumekaa kimya,funika Kombe mwana haramu apite

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hujajua bado haiba za kike, wanataka mtiririke kwa sababu wao hawana hizo data
 
Kabla nyete kuna yule wa masufuria na mashuka.
Ila kwa yote nyete nae ana roho ngumu aiseee kutumia picha ya mtoto, na mtoto ni kweli alikuwa amelazwa hospital
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jf imepitia mengi sana.
Nyete alitetewa humu kuwa Ni kweli Ana mgonjwa na MshanJr.

Akisema alihakikisha kwamba Ni kweli nyete Ana mgonjwa!
 
Kabla nyete kuna yule wa masufuria na mashuka.
Ila kwa yote nyete nae ana roho ngumu aiseee kutumia picha ya mtoto, na mtoto ni kweli alikuwa amelazwa hospital
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jf imepitia mengi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Nyete mshenzi sana..
Zile picha ziliniumiza jamani...
Huwezi amini pengine nami ningepatikana...
Maana nilikuwa najisemea walioenda Lugalo wakileta taarifa kamili nami niende nikamuone mtoto....

Walivyoleta ule mrejesho nilichoka...
 
Back
Top Bottom