Nilimuoa mwaka 2003 ndoa hii ina mambo mengi sana

Nilimuoa mwaka 2003 ndoa hii ina mambo mengi sana

Unapunguzaje ukrb kwa mtu upo nae kila siku, hasa mke in broad perspective!
Ukaribu ninao uzungumzia ni ule ukaribu wa ziada nje ya mahusiano ya kindoa....si unajua kuna baadhi ya wanandoa ni zaidi ya marafiki alafu kuna baadhi yao ni kwenye muunganiko wa ndoa tu
 
I have noticed that she becomes very cheerful whenever his brothers visit here.

We have already divided the rooms, and she does not feel comfortable sharing a bed with me. In fact, we started sleeping separately a long time ago.

She has younger brothers who used to live with here —one of them I had to send away due to his behavior. Another one is still here, though he is also preparing to leave. These brothers are all over 30 years old, with the eldest being over 36.

Right now, we are all leaving for work. I have strictly forbidden house helpers from coming here.
For your own betterment kick your wife with all her brothers out of your house and remain with your children.

That's the best you can do for you mental health, right?
 
Not necessarily that there is anything fundamentally wrong. No matter how hard you try, marriage life (love) loses its grip in every passing minute. This is what is called tear and wear of marriage life. It there- its really, and what matters is how you deal with it.
Aliwakaribisha ndu wa kiume wa mkewe bila shida halafu akamfukuza mmoja kutokana na tabia yake halafu anategemea mkewe anaendelea kumpenda, kweli!

Tabia ya kukaribisha ndugu bila sababu ya msingi ni mbaya Sana.
 
Unapunguzaje ukrb kwa mtu upo nae kila siku, hasa mke in broad perspective!
Inawezekana tu,ila kila mtu ana njia yake.
Unatafuta kitu mbadala unachokipenda kisha unakuwa unashinda huko huko siku nzima unarudi usiku wa manane unalala kisha alfajiri unaamka unapotea.
Na ikiwezekana chakula chake anachopika usile,unakula huko huko kabla hujafika nyumbani
 
Hivi kunakuaga na ishu gani ndani ya nyumba inasababisha haya mambo ya kugawana vyumba mke na mume? Wazazi wangu ni wazee nao tangu 2008 hawalali chumba kimoja na wanaishi poa tu!
Actually siku hizi mkijenga nyumba order 2 master bedrooms - kila mtu na chake ila viwe vinatazamana na mlango wa kuingilia uwe mmoja. Ndiyo mtindo wa kisasa.

Nadhani inafika mahali watu mnachokana tu na ili kupeana space inabidi iwe hivyo. Na kulana mnakulana tu kama kawaida...
 
Ungekuwa mkoani ningekushauri utafute kiwanja nje ya mji ujenge ufunge na mifugo hapo halafu hamia huko uishi alone,usikose kifriji kidogo cha viBIA viwili viTATU vya kutafutia usingizi,jiunge na vikundi vya kwaya au mpira wa miguu huko mtaani,ujaze muda wako na activities,maana umri huo sio wa kuridhishana kimapenzi,
Lastly focus kwa watoto wako kuhusu kesho yao
 
Naunga mkono hoja, awapishe kuepuka kusambaratisha familia, apate ka mwali huko shamba ajirudishe utotoni
 
Wanaume,
Wanawake hupoteza hisia na upendo nanyi kulingana na matendo au maneno ya rejareja mnayowapa. Hasa ukimuonyesha humjali hasa nyakati anaumwa, amejifungua, mjamzito. Hizo ni permanent damage.
 
Hivi kunakuaga na ishu gani ndani ya nyumba inasababisha haya mambo ya kugawana vyumba mke na mume? Wazazi wangu ni wazee nao tangu 2008 hawalali chumba kimoja na wanaishi poa tu!
Mambo ya kulala kitanda kimoja kila siku yalianza kuja miaka ya juzi....mimi sikuwahi kuwaona wazazi ama babu zangu wakilala pamoja..na wana raha mbaya kabisa
 
Vumilia umri wako sio wa kukimbizana na wanawake , ingekuwa chini ya 40 yrs, ningekupa ushauri wa kishujaa , na nawambia vijana chagua haya mawili tu 1.kutokuoa kabisa( hapa lazima uzae watoto na mama tofauti wakusanye ishi nao) 2. Oa mke mmoja na hakikisha una mpango kando(mke asiyejulikana na wengi huyu Huwa mfariji)
 
Hivi kunakuaga na ishu gani ndani ya nyumba inasababisha haya mambo ya kugawana vyumba mke na mume? Wazazi wangu ni wazee nao tangu 2008 hawalali chumba kimoja na wanaishi poa tu!
Hapo ndoa washaivunja kwa hiari yao siku nyingi na sasa wanaishi kwa mazoea, kila mmoja akilinda interests zake.
 
Back
Top Bottom