Nilimuoa mwaka 2003 ndoa hii ina mambo mengi sana

Nilimuoa mwaka 2003 ndoa hii ina mambo mengi sana

Kwa umri huu wangu anaona kama nimeshakwisha.

Ushauri wenu
Mzee mwenzetu wewe uwe mtu wa Ibada tu km unasali kanisani tafuta kwaya ya Wazee hua wanaimba jioni jiunge na Wazee wenzio ukapunguze stress kidogo za mamsapu la sivyo unaweza ukachukua maamuzi magumu ya kujiwahisha mapema na muda wako bado haujafika
 
55 mboni padogo kwa 40 miaka 15 tu ndio parefu hivyo

Juzi kuna mwingine humu aliandika ana miaka 25 anapenda mwanaume mwenye 45 ukifanya calculator for hapo inakuja 20 minus gap yaan hapo akifika 40 yeye atakua anacheza 65 gap hilo
Katakuwa kanawaza mafao hako!
 
I have noticed that she becomes very cheerful whenever his brothers visit here.

We have already divided the rooms, and she does not feel comfortable sharing a bed with me. In fact, we started sleeping separately a long time ago.

She has younger brothers who used to live with here —one of them I had to send away due to his behavior. Another one is still here, though he is also preparing to leave. These brothers are all over 30 years old, with the eldest being over 36.

Right now, we are all leaving for work. I have strictly forbidden house helpers from coming here.
You’re “wife” is cheating you with someone else,secondly she doesn’t like you because of asking her brothers to live,it’s a pretending marriage but there is no love anymore.
Just start afresh man
 
Hili limeniliza sana😭😭😭😭 kumbe ilikuwa ajali mbaya sana
 
You’re “wife” is cheating you with someone else,secondly she doesn’t like you because of asking her brothers to live,it’s a pretending marriage but there is no love anymore.
Just start afresh man
Mbona usiwaze kama kuna mahali jamaa alimkosea mkewe ikapelekea upendo kwa mkewe kuisha kabisa unawaza kucheat?
 
Age difference: 40 55, anajiona bado binti mdogo harafu wewe age go.

Kuna possibility kubwa Kuna vijana Wana mkaza.

Andaa mazingira ya kuishi peke yako kuliko kukaa na msongo wa mawazo kwa mtu ambaye haoni thamani yako tena.

Itisha kikao na watoto wote na Mke akiwepo na kwenye kikao tumia Mamlaka sio kiwe kikao Cha wewe kuomba ushauri ni Cha kutoka taarifa, waelezee situation na jinsi unvyojisikia na namna maisha na treatment zilivyobadirika ili ikitokea wameona mko separate usiangushiwe mzigo wa lawama peke yako. Watakuelewa hata wasipoelewa hapo hapo Kuna siku watakuelewa.
 
Najitahudi sana. Tuna watoto 5 wakiume 2 wakike 3 hajachoka sana kwa sabab watoto ni wa utotoni. Mmoja yuko chuo wa pili form 6 wa mwisho ni form 3.
Tuna watoto 5, moja yuko chuo, wa pili form six na wa mwisho form three. Hao wawili wako wapi? Hz hbr za uwongo usitupotezee muda. Ukitaka kuwa mwongo jaribu kuwa smart sana, ingawa njia ya mwongo ni fupi
 
Age difference: 40 55, anajiona bado binti mdogo harafu wewe age go.

Kuna possibility kubwa Kuna vijana Wana mkaza.

Andaa mazingira ya kuishi peke yako kuliko kukaa na msongo wa mawazo kwa mtu ambaye haoni thamani yako tena.

Itisha kikao na watoto wote na Mke akiwepo na kwenye kikao tumia Mamlaka sio kiwe kikao Cha wewe kuomba ushauri ni Cha kutoka taarifa, waelezee situation na jinsi unvyojisikia na namna maisha na treatment zilivyobadirika ili ikitokea wameona mko separate usiangushiwe mzigo wa lawama peke yako. Watakuelewa hata wasipoelewa hapo hapo Kuna siku watakuelewa.
Hiki ndicho nnachokiona...Kuna mtu anamkaza..kwa umri wa Mzee wetu huyu ukute hata nguvu zimeanza kupungua...hapa kwa sisi vijana Kuna la kujifunza
 
A few years ago, whenever I returned to my room, everything was well arranged—clothes were washed, bedsheets were clean, even my boxers were laundered.

These changes inspired me to also help with cooking and other chores. I made an effort to buy gifts like clothes, fabrics, and other items.

In our home culture, there is no concept of a "table tax." We ensure that all household needs are well stocked. Money is not an issue when it comes to essentials—we buy everything, from tomatoes to cooking oil, and they are always available.

We also take care of children's expenses and send support to our parents. I personally send money to my wife parents among other responsibilities.

But now, things have changed.
Not necessarily that there is anything fundamentally wrong. No matter how hard you try, marriage life (love) loses its grip in every passing minute. This is what is called tear and wear of marriage life. It there- its really, and what matters is how you deal with it.
 
Habari za usiku.

nina mke yapata miaka mingi imepota. Ana 40 na mimi nina 55
View attachment 3289304View attachment 3289309
Sijawahi kumfumania

Sijawahi kumuona kero

Lakini tangu miaka michache iliyopita naona dalili sizo? Kwamza nimeona ana dalili za PID niliwaza sana nikakosa majibu.

Nilimshauri aone wataalm hospital akaenda akapewa dawa.
Majukumu yanamzidia, huduma zimepungua sana.

Anajali sana nduguze, watoto wake hawajali. Ile malezi ya watoto ikiwa ni pamoja kiwasisitiza mambo ya kimalez hana.

kuna wakati namsaidiankazi zake. Za nyumbani na ofisini. Bali waapi.

Kwa umri huu wangu anaona kama nimeshakwisha.

Ushauri wenu
Am very Christian young, bado sijaoa but vitimbi nilivyovishuhudia kwa watu kuhusu ndoa am very tired. Najikuta nachoka mno tena Sana, kila ndoa ina vitimbi vyake.
 
Habari za usiku.

nina mke yapata miaka mingi imepota. Ana 40 na mimi nina 55
View attachment 3289304View attachment 3289309
Sijawahi kumfumania

Sijawahi kumuona kero

Lakini tangu miaka michache iliyopita naona dalili sizo? Kwamza nimeona ana dalili za PID niliwaza sana nikakosa majibu.

Nilimshauri aone wataalm hospital akaenda akapewa dawa.
Majukumu yanamzidia, huduma zimepungua sana.

Anajali sana nduguze, watoto wake hawajali. Ile malezi ya watoto ikiwa ni pamoja kiwasisitiza mambo ya kimalez hana.

kuna wakati namsaidiankazi zake. Za nyumbani na ofisini. Bali waapi.

Kwa umri huu wangu anaona kama nimeshakwisha.

Ushauri wenu
Mzee unakumbuka shuka kukiwa kumekucha. Anyways mji adjust tu kwa kadri itakavyowekana ili muumalize mwendo salama. Samaki hawezi kukunjwa akiwa mkavu.
 
Back
Top Bottom