muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,968
- 15,006
Bado mkuu, kama anatunza mwili wake vyema, na mazoezi...ila kama anafakamia mipombe hapo changamoto.Kwani uongo mkuu? 55 vs 40? Kwisa habari yako !
Bado mkuu, kama anatunza mwili wake vyema, na mazoezi...ila kama anafakamia mipombe hapo changamoto.Kwani uongo mkuu? 55 vs 40? Kwisa habari yako !
uzi wako hujaandika kindani zaidi hivyo sidhani kama utasaidika sana,anyway let's keep it this way, womens brains it's not like us they don't have focus and deeply thinking, so maybe you do have to tell her about what you're thinking and what to change as you mentioned here
Kwa dishi langu linavyochezaga pakiwa na mawingu tu ni ngumu sana kuishi maisha hayo, namwomba sana Mungu aniepushie mtindo huo wa maisha ni heri tu tuachane na Ke kwa amani kuliko tuishi nyumba 1 sawa na Kaka na Dada.Hivi kunakuaga na ishu gani ndani ya nyumba inasababisha haya mambo ya kugawana vyumba mke na mume? Wazazi wangu ni wazee nao tangu 2008 hawalali chumba kimoja na wanaishi poa tu!
40??? You are kidding, kwa mwanaume sawa sio Ke.Gap la miaka 15 sio mchezo mkuu
Umri wako kwasasa,kazana kula matunda yenye vitamini c(kuongeza Kinga zamwili)
Kama kakuzalia watoto 5 ,basi jifanye mjinga na yeye akifika miaka 55 atatulia
umri wake ndo wenyewe kwa ngono .........jitulize mkuu
Kama lugha ya Malkia haimpatii pesa yoyote ni heri tu aachane nayo isimpotezee muda.ndio usome, au ulikimbia lugha hiyo shuleni?
It seems like you are in a really bad situation. If you had money, how much would it be in shillings?Kama lugha ya Malkia haimpatii pesa yoyote ni heri tu aachane nayo isimpotezee muda.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
mkuu ,kama hujanielewa hapo kama unalosema sahihi ,wahi kituo Cha ushauri nasaha soon utajiua40??? You are kidding, kwa mwanaume sawa sio Ke.
Orodhesha mashangazi yenye 40yrs. Yake unayoyajua
Icheki vzr unaniambia. 40 mbali kwa me. 35 tu mwanamke hana lake.
Mwanamke anaanzia 20- 27 hapo akigusa 30 tu anamalizia urembo wake. Ikianza 31 ndio anaishia. Trust me wanawake wenye 35 tayari mzee. Mwanaume anaenda mbali ya hapo
A few years ago, whenever I returned to my room, everything was well arranged—clothes were washed, bedsheets were clean, even my boxers were laundered.
These changes inspired me to also help with cooking and other chores. I made an effort to buy gifts like clothes, fabrics, and other items.
In our home culture, there is no concept of a "table tax." We ensure that all household needs are well stocked. Money is not an issue when it comes to essentials—we buy everything, from tomatoes to cooking oil, and they are always available.
We also take care of children's expenses and send support to our parents. I personally send money to my wife parents among other responsibilities.
But now, things have changed.
Honestly, this soccer guy is a really humble and well-loved man, and it pains me deeply. It has truly touched me.The main mistake you did is to be the Nice Guy instead of being Good Guy "neutral by being unpredictable in decision making and executing family responsibilities" or Rude Man.
Didn't you hear what Kaka - the world's footballer Ballon D'or champion 2007 what he got from her devorced Woman "Caroline Celico"?
Quotation from Caroline Celico;
"Kaka never betrayed me, he treated me well, he gave me a wonderful family, but I was not happy, something was missing. The problem was, he was too perfect for me."
Living by IQ with women creatures doesn't mean to be very punctual, humble and respectful at all time to them but also being very hush in unexpected time, because even women themselves do know nothing about what their mindsets need to be comfortable to Men's family relationships.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Si kaandika jamani.uzi wako hujaandika kindani zaidi hivyo sidhani kama utasaidika sana,anyway let's keep it this way, womens brains it's not like us they don't have focus and deeply thinking, so maybe you do have to tell her about what you're thinking and what to change as you mentioned here
🤣Naunga mkono hoja, awapishe kuepuka kusambaratisha familia, apate ka mwali huko shamba ajirudishe utotoni
Kwahiyo inabidi uoe pisi ya miaka 18 isiyo na kazi (mama wa nyumbani).Hajataja umri wa mwanamke wakati anamuoa, kataja mwaka wa waliofunga ndoa na gap ya umri aliomzidi. Kikubwa anachokiongelea hapa ni changamoto za kuoa career woman.
Career women sio sample space nzuri ya kuchagua mke
Sio lazima awe 18 yrs kwa sababu kila mtu ana preferences zake. Advantage ya kuoa mwanamke akiwa bado mdogo (18-23) anakua bado ana ile innocence, tofauti na mwanamke wa 26+ ambae anakua ashapitia heartbreakings nyingi ambazo zinaweza kusababisha awe toxic and traumatizedKwahiyo inabidi uoe pisi ya miaka 18 isiyo na kazi (mama wa nyumbani).