Nilimuoa mwaka 2003 ndoa hii ina mambo mengi sana

Nilimuoa mwaka 2003 ndoa hii ina mambo mengi sana

Habari za usiku.

nina mke yapata miaka mingi imepota. Ana 40 na mimi nina 55
View attachment 3289304View attachment 3289309
Sijawahi kumfumania

Sijawahi kumuona kero

Lakini tangu miaka michache iliyopita naona dalili sizo? Kwamza nimeona ana dalili za PID niliwaza sana nikakosa majibu.

Nilimshauri aone wataalm hospital akaenda akapewa dawa.
Majukumu yanamzidia, huduma zimepungua sana.

Anajali sana nduguze, watoto wake hawajali. Ile malezi ya watoto ikiwa ni pamoja kiwasisitiza mambo ya kimalez hana.

kuna wakati namsaidiankazi zake. Za nyumbani na ofisini. Bali waapi.

Kwa umri huu wangu anaona kama nimeshakwisha.

Ushauri wenu
Samahani Kuna dawa za miti shamba unaweza kumuwekea chukua point hii hapa nilipo Kuna wazee wanawake wanne lakini sili Yao wanawapumbaza wake zao kwa madawa so karibu kama vipi tumpige dawa atulie
 
I have decided to use this to avoid flies and foam.
Flies and foam!
Jambo la kuhitaji ushauri wa umma kwa jambo lako usije ukahofia mawazo hasi, bali yote yapokee ili mwisho wa siku uweze kuyaconclude kiyakinifu.
 
A few years ago, whenever I returned to my room, everything was well arranged—clothes were washed, bedsheets were clean, even my boxers were laundered.

These changes inspired me to also help with cooking and other chores. I made an effort to buy gifts like clothes, fabrics, and other items.

In our home culture, there is no concept of a "table tax." We ensure that all household needs are well stocked. Money is not an issue when it comes to essentials—we buy everything, from tomatoes to cooking oil, and they are always available.

We also take care of children's expenses and send support to our parents. I personally send money to my wife parents among other responsibilities.

But now, things have changed.
Probably she is emotionally attached to someone else, there may be other reasons but I see this one to be stronger, or else she may be going through menopause period.
 
Tofauti kubwa sana ya umri, miaka 15, yasni una miaka 35 ukaoa binti wamiaka 20, tofauti kubwa hiikwa mimi
mie mwanamke nikimuacha hata miaka mi5 tu, najionaje sijui, kifupi siwezi kudate nae, nie awe sawa at least au yeye ndio awe mkubwa, hapo aahh, ni burudani.
 
Habari za usiku.

nina mke yapata miaka mingi imepota. Ana 40 na mimi nina 55
View attachment 3289304View attachment 3289309
Sijawahi kumfumania

Sijawahi kumuona kero

Lakini tangu miaka michache iliyopita naona dalili sizo? Kwamza nimeona ana dalili za PID niliwaza sana nikakosa majibu.

Nilimshauri aone wataalm hospital akaenda akapewa dawa.
Majukumu yanamzidia, huduma zimepungua sana.

Anajali sana nduguze, watoto wake hawajali. Ile malezi ya watoto ikiwa ni pamoja kiwasisitiza mambo ya kimalez hana.

kuna wakati namsaidiankazi zake. Za nyumbani na ofisini. Bali waapi.

Kwa umri huu wangu anaona kama nimeshakwisha.

Ushauri wenu
Tatizo hawa wanawake wakipata vijana ni majanga. Mwanaume unaweza kuwa na wake 4 na ukawa powa tuu.
Usiombe mwanamke apate mchepuko, kwa umri huuutajuta.
 
Wanadamu ndio tulivyo kadri muda unavyoenda tunabadili mitazamo juu ya machaguo yetu ya mwanzoni na hii hutokana na matarajio kuzidi au kutofautiana na uhalisia.....

Tofauti ni kwamba tumetofautiana kwenye kukabiliana na hali hii maana kuna wengine huwaletea msongo wa mawazo, hasira za hapa na pale na maugomvi yasiyo na msingi hasa kwa wanawake.......

Kwa wanaume athari zake si kubwa sana kutokana mitindo ya maisha kwenye jamii kama inavyojulikana.....

Kama ni kwenye NDOA hakuna tiba juu ya jambo hilo zaidi ya kujitahidi kuligundua kwa haraka ili uweze kukabiliana nalo na mimi huwa naonaga njia nzuri kwa mwanaume ni kujitahidi kupunguza ukaribu usio na Sababu za kimsingi ili kupunguzia kero.....

Hili jambo ndio hasa inaloleta maana ya ndoa ni kuvumiliana
.…👿
 
Natafuta Ajira njoo utoe ushauri hapa, huyu alifata ushauri wako wa kuoa binti wa miaka 18 ila bado mambo yameenda upside down.
Hajataja umri wa mwanamke wakati anamuoa, kataja mwaka wa waliofunga ndoa na gap ya umri aliomzidi. Kikubwa anachokiongelea hapa ni changamoto za kuoa career woman.

Career women sio sample space nzuri ya kuchagua mke
 
Tuna watoto 5, moja yuko chuo, wa pili form six na wa mwisho form three. Hao wawili wako wapi? Hz hbr za uwongo usitupotezee muda. Ukitaka kuwa mwongo jaribu kuwa smart sana, ingawa njia ya mwongo ni fupi
Kazi kweli kweli
 
Hivi kunakuaga na ishu gani ndani ya nyumba inasababisha haya mambo ya kugawana vyumba mke na mume? Wazazi wangu ni wazee nao tangu 2008 hawalali chumba kimoja na wanaishi poa tu!
Naomba nikujibu kwaniaba ya mama yako..
Tunaamua kutengana rooms au beds kwasababu ya kero ndogondogo..mtu analewa anafika analala hata haogi..yaan kuna kero mob.nyinine kuzaa nje...inakata mzuka..mambo ni mengi
 
Tafuta furaha yako mkuu ..jitoe out jipenraha mwenyewe...jipe kivacay utakaa sawa.usimfatilie wala kumuuliza kitu
 
I have noticed that she becomes very cheerful whenever his brothers visit here.

We have already divided the rooms, and she does not feel comfortable sharing a bed with me. In fact, we started sleeping separately a long time ago.

She has younger brothers who used to live with here —one of them I had to send away due to his behavior. Another one is still here, though he is also preparing to leave. These brothers are all over 30 years old, with the eldest being over 36.

Right now, we are all leaving for work. I have strictly forbidden house helpers from coming here.
Hiyo mizee unaishi nayo kwanini?..fukuza aisee.
 
Wanaume,
Wanawake hupoteza hisia na upendo nanyi kulingana na matendo au maneno ya rejareja mnayowapa. Hasa ukimuonyesha humjali hasa nyakati anaumwa, amejifungua, mjamzito. Hizo ni permanent damage.
Nakusalimia Madam💕
 
Back
Top Bottom