Zee la Nyeti
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 702
- 470
Nini? Siwezi kabisa yaani sithubutu na sitothubutu kitu kama hicho ili mwisho wake ijekuwaje sasa?
Tulia ulambe dawa wewe, kelele za nini bana!
Nini? Siwezi kabisa yaani sithubutu na sitothubutu kitu kama hicho ili mwisho wake ijekuwaje sasa?
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.
Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.
Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.
Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno .
Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.
Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.
Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa. Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.
Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?
Kikubwa nilichotaka kujibiwa hapa nikwanini wanaume wengi huyo dosari huwanayo sana nikutaka kuvuruga mambo yasiende au? Najua hata nikikubali msaada anaonisaidia utaisha yatabakia mapenzi kitu ambacho sitaki, naninavyokataa naona tutaishia kugombana tuu maana sasahivi kawa na wivu viukaliukali visivyokuwa nampangilio yaani basi tuu ilikunivuruga
Mimi sio muhuni nakukubali kufanya tendo linalowahusu wanandoa tuu Mimi sithubutu hasa kwa MTU ninaemuheshimu kama baba, sasahivi huwa naona aibu sana nikionana nae nasiwezi kumkwepa maana ananisaidia swala flank ambalo lilishakuwa gumu kwangu
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.
Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.
Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.
Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno .
Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.
Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.
Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa. Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.
Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?
Angesema ananichaji shilingi ngapi ningelipa
Hebu kuja tupate morning glory, mi nimeshangaa ila Evelyn Salt akaniusia basi nikatulia...na utu uzima huu....hivi kuna mahali amejibu?
haka kanaonesha ni katoto kabisaa, haiwezekan et namuheshimu so sitegemei anitokeee....ssa anataka atokewe na kka jambaz au??? aache ujima na kuanzisha nyuzi za kitoto...
<umeeleweka mama>
Ameoa ila yupo single kwa sasa!??!! au unamaanisha wametengana na mkewe? Kama humtaki mwambie tu, au unamwambia tu broo me nina mtu basiiii