mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,040
Kaizer umemuelewa hapa?ashakubali sema anaogopa hatima yake!! Loly mkubalue bana mwenzio umepewa bure ,we hutaki ndoa?Kikubwa nilichotaka kujibiwa hapa nikwanini wanaume wengi huyo dosari huwanayo sana nikutaka kuvuruga mambo yasiende au? Najua hata nikikubali msaada anaonisaidia utaisha yatabakia mapenzi kitu ambacho sitaki, naninavyokataa naona tutaishia kugombana tuu maana sasahivi kawa na wivu viukaliukali visivyokuwa nampangilio yaani basi tuu ilikunivuruga
Last edited by a moderator: