Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 185
Najua umelewa usije ukachanganya haya maneno bikra na birika maana yanafana
Hahahaaa Lily unalo tunaomba jibu kabla hatujalala
Najua umelewa usije ukachanganya haya maneno bikra na birika maana yanafana
Najua umelewa usije ukachanganya haya maneno bikra na birika maana yanafana
Mie sijambo hofu kwako wewe ulie mbali na upeo wa macho yanguDaaah nimecheka eti birika lol....una mambo wewe...mzima lakin?
Iseee kweli niamini wanaume sio watu wakuaminika hata umuite kaka hata umuite baba tpuu
Kila mtu akieka tongozo lake hapa tutakosa hata pa kuandika
pole kwa kutongozwa mwayego
Samahani Loly, ww bado Bikra?
Kaizer uliuliza lile swali ili???Oooh Evelyn Salt asante kwa angalizo hilo, ngoja mdogo mdogo nisepe nimtafute atoto alipo