Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

Kwani kuna ubaya gani ukimpatia papuchi kwa kuwa jamaa mwenyewe si ndugu wa damu haf aibu ya nini wakati wengine unawapa bure kabisa
 
Nini cha ajabu mimi mbona nilishawahi kumttongoza shemeji/ mke wa bro na nakula mzigo mpaka leo (Sema kwa SIRI SANA) nikienda nikimkuta na Bro namsalimia SHIKAMOO NZITO kumbe mazee huwa nakamua tena KAVU
 
We una hatari sana
 
Sasa si umpe, kwani kitaisha hapo. Acha kumringishia hata yeye ana chake, mpe vikutane, vipeane heshima
 
Mtu akikutaka pia amekuheshimu sana Loly.

Ulitegemea aweje ili akutongoze?

Sometimes nashindwa kuwaelewa baadhi ya wasichana kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?

we piga teke mume tu,utamkumbuka!!
 
Kumbuka kuwa neno kaka ni title inayobound relation but falling in love is something natural and inevitable!
 
nimesham-pm aniachie mimi hiyo fursa

Usisahau ku attach na CV Khwantwe,uelezee uzoefu wako katika nyanja mbali mbali
Uandike kua unaezoefu wa kifo cha mende,mbuzi mbishi,sarakasi na unafundishika kirahisi.
Usisahau kuandika umekulia katika mazingira magumu hivyo unaweza popote,kwenye godoro,chaga,mkeka au hata sakafuni na juu ya mti ikibidi.
Umuelezee pia kutokana na uzoefu wa kusafiri mikoa mbali mbali pamoja na nje ya nchi, unaweza ku handle mama mkwe na mawifi wa makabila yote:Wazaramo,Wakwere,Wachaga,Wajita,Wagogo,Wamasai,Wachina,Waanaijeria etc

Mimi nitakua referee wako,pamoja na babu Asprin,Masai dada na Miss Chaga.
Achana na huyo mtoto opportunity anaipiga dana dana. Kwa CV yako huyo kaka atageuza direction.
 
This is how it applies
 
Attachments

  • 1439921813069.jpg
    1439921813069.jpg
    18.2 KB · Views: 226
Umenufaila na vyake na hutaki kuvisema alivyokusaidia kutongozwa ndo unataka ushauri, Halafu kutongozwa sihaki ya mwanamke kaka ni uliezaliwa nae acha kujificha kwenyekichaka cha karanga subiri akuoe huyo
 
Usisahau ku attach na CV Khwantwe,uelezee uzoefu wako katika nyanja mbali mbali
Uandike kua unaezoefu wa kifo cha mende,mbuzi mbishi,sarakasi na unafundishika kirahisi.
Usisahau kuandika umekulia katika mazingira magumu hivyo unaweza popote,kwenye godoro,chaga,mkeka au hata sakafuni na juu ya mti ikibidi.
Umuelezee pia kutokana na uzoefu wa kusafiri mikoa mbali mbali pamoja na nje ya nchi, unaweza ku handle mama mkwe na mawifi wa makabila yote:Wazaramo,Wakwere,Wachaga,Wajita,Wagogo,Wamasai,Wachina,Waanaijeria etc

Mimi nitakua referee wako,pamoja na babu Asprin,Masai dada na Miss Chaga.
Achana na huyo mtoto opportunity anaipiga dana dana. Kwa CV yako huyo kaka atageuza direction.

hehehee.... yan vyote hivyo nimeshatuma nasubiria tu niitwe kwenye interview
 
hehehee.... yan vyote hivyo nimeshatuma nasubiria tu niitwe kwenye interview

Aya somo usiniangushe.Kwenye interview usivae ma vitenge ya wax kama mtoto wa bosi wa Mwatex...Vaa kanga zile za India au tupia kamtandio ka dera kepesiiii.
Utupie na tushanga twa kunogesha kiuno mwayego.
Mengine Preta atakuelekeza...
 
Kwani mtu akikutaka heshima inaisha? Kwa hiyo mmeo hutamheshima kwa sababu anakunanihiiiii? Heshima heshima tu labda kana ulikuwa unaigiza kumheshimu.
 
Ambao umeisha wapa huwasemi, huyo tu, ebu kula raha acha ubush na ugod mast be craz
 
Wanawake bwana! kwani tatitizo hapo liko wp? kwani wewe unataka kupendwa na watu baki tu? amakuona na anaona utamfaa, akaukeleza jambo lake ili ulitafakari kwa mapana! kaka wa watu kajitolea kwa kila hali ili ufanikiwe lakini pia siyo mbaya kwake kukueleza ukweli uliyoko moyoni mwake. As long as siyo ndg wa damu ww ni halali na siyo haramu. Kama humtaki mwambie tu kwa ustarabu atakuelewa lakini siyo kumfanya kaka wa watu aonekaene kama ni wa ajabu vile!

Hamtaki ila anapenda aendelee kupata misaada yake!
 
Back
Top Bottom