Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Dah kuna swali nilitaka nikuulize ila majibu uyatoayo yamenifanya nisite!
Cdhan kama ataweza kukujibu. He is too low to argue with u.
Dah kuna swali nilitaka nikuulize ila majibu uyatoayo yamenifanya nisite!
Le Mutuz!
nakumbuka uliaga jf, mbona waenda mbele na kurudi tena nyuma mkuu.
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!
Le MutuZ
- Haijalishi wote ni Chadema mnaotaka kila mtu awe na mawazo kama yenu tu ya maandamano, matusi na migomo, kazi yenu ni kila mkishindwa uchaguzi kulilia mmeibiwa kura mimi sina mawazo mabovu kama hayo ni mtu huru so ni lazima nikupe darasa kwa lines za Chadema chama chako cha maandmano na migomo kila siku!!
Le Mutuz!!
This is so weird, yaani kuwa na thread ya page 20 in 20 minutes tayari umeshakuwa King of All Social Network Media!!??Wow... Kweli WAZAZI-CCM kuna kazi, maana hawa ndiyo Great Thinkers wa SISIEMU. Mtu kama Trump kuwa na watu zaidi ya 30,000 kwenye Twitter page yake ambao hawakukubaliana na tirade yake baada ya Obama kuchaguliwa doesn't make him a King of all social network media. Sasa sijui akina Mwanakijiji na wengineo ambao michango yao huwa ina idadi kubwa ya wasomaji na responders wangekuwa wanapenda hayo majina sijui wangejiita akina nani. I guess hii ndiyo definition ya KING OF ALL SOCIAL NETWORK MEDIA ndani ya WAZAZI-CCM.
Sio wote wanaokwenda abroad wanapata uelewa au
kuwa na elimu kutokana na mazingira ya wenzetu
walivyosonga mbele au exposure..... Like William.... ndio kawa kituko.... kiroja...!!!
Wengine wanskuwa wajinga zaidi akienda nje...
William aibu tupu.... anaandika hadi miaka aliyokaa nje....
Bila kujua... anajiaibisha buree..... WHY..?? sbb MTU ALIYEKAA NJE ANGEKUJA NA MAWAZO POSITIVE, KAPATA NA KAONA MAZURI MAENDELEO YA KUIGA
HIVYO NI RAHISI WATU ALIOKUTA HUKU YY AWE MFANO.... BADALA YAKE YY NA ANTI EZEKIEL, Wema & other nasty stuff ndio anapiga nao mapicha of which yy hata haendani nao..... His ways of life kwa nje tu hafai kuigwa...... Tabia hafai kuigwa.... Not creative.... to dull.... Schooled but not educated...... So he is still kilaza......CALLING HIMSELF FAMOUS WILLIAM....!!! Is this guy famous au ...!!! Kondoo ni kondooo ...!!!
I believe KONDOOO HUZAA KONDOO.....
Sungura huzaa sungura.....
- Lakini kiongozi anayeiba mke wa mtu ndiye anafaaa kuwa Rais wa JAmhuri, sawa bana!!
Le Mutuz!!
- Kamati Kuu ya CCM ilinipitisha kugombea NEC Viti 10 Bara, uchaguzi ulifanyika juzi Kizota Dodoma kura zangu hazikutosha, na nimeridhika sana na matokeo: Uchaguzi ulifanyika kihalali na haki na ninakubali kushindwa nitajipanga upya na kujikita tena next time zikitokea nafasi zingine za Chama changu CCM, chama Dume!!
- I am proud na kushika nafasi ya 12, kati ya wagombea 31 ambao wote wengine ni wazoefu wa muda mrefu sana ndani ya CCM, kulinganisha na mimi niliyerudi Bongo Miezi 10 iliyopita, baada ya kuishi Miaka 30 Ulaya na USA, so leo kugombea na miamba hii ya CCM na kushika nafasi ya 12, na kuwapiga wengine 19 it is great honor to me I mean A Luta Continua yaani Mapambano Bado kabisaa yanaendelea, next time tutapigana mpaka kura zitoshe.
- Again, ninakishukuru Chama changu CCM kwa kutoa nafasi kwa kila mwananchi kushiriki kikamilifu bila kubagua wala kuonea, na pia ninawashukuru CCM-WAZAZI kwa kunichagua kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa na pia kuiwakilisha kwenye Baraza Kuu la UV-CCM Taifa, na kesho kitakuwa ni kikao changu cha pili katika Baraza hapa Dodoma, I am grateful for that!!
- Ndugu zangu milioko nje rudini tujenge taifa letu, hakuna wa kutujengea huku tuje wenyewe, na pia tuchukue fomu za uongozi tujikite huko ndani kuleta mabadiliko badala ya kukaa kulia lia tu bila sababu na huku ni watuwazima na tuna akili timamu, tukazane tuingie wenyewe! KURUDI HOME SIO A DEATH SENTENCE!! HA! HA! HA! HA! HA!
RESPECT MUCH PEOPLE!!
LE MUTUZ - (KING OF ALL SOCIAL NETWORK MEDIA) & MJUMBE BARAZA KUU LA WAZAZI-CCM TAIFA & BARAZA KUU UVCCM TAIFA!!
- Tatizo lako ni moja tu kwamba sina mawazo kama yako so for that uko radhi kutaka kupindisha ukweli wa kwamba nimesoma hivyo vyuo, naomba nirudie tena vyuo nilivyosoma na nina Degree na Diploma zake:
1. Antwerpen School of MArine Engineering, Belgium - Diploma
2. Westchester College - New York State, USA - Degree ya pili ya Criminology & Police Science.
3. Lehman College - New York City, USA - BA Political Science
- Naona katika kuhalalisha uongo wako umeingiza mpaka nyumba za mabalozi ssijui wa wawapi jamani kweli Great Thinker anaweza kwenda this low? ha1 ha! ha! yaani hata kuendelea nimeshindwa!! ha1 ha1 ha! ha!, maneno makubwa sana ya bluu lakini pumba tupu vipi ulipokuwa shule hukusoma darasa la Communications Skills, maana upo all over for nothing!! duh!1
Le Mutuz!
Print-Friendly Page[/TD]Wewe si umesema unaenda Costa Rica, au Canada? Sasa mbona unaniangusha? Mimi nitamtembelea nani huko CostaRica/Canada?Le Mutuz,
Safi sana mkuu. Siasa ni kushiriki na vilevile kukubali matokeo pale unaposhindwa. Kuhusu sisi wengine kurudi nyumbani, kwa upande wangu bado najipanga. Kwa neema za Mungu, nikifanikiwa nitarudi.
Le Mutuz,
Safi sana mkuu. Siasa ni kushiriki na vilevile kukubali matokeo pale unaposhindwa. Kuhusu sisi wengine kurudi nyumbani, kwa upande wangu bado najipanga. Kwa neema za Mungu, nikifanikiwa nitarudi.
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!
Le MutuZ
Wewe si umesema unaenda Costa Rica, au Canada? Sasa mbona unaniangusha? Mimi nitamtembelea nani huko CostaRica/Canada?