Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Status
Not open for further replies.
- Ohh yeah nimeshindwa kama Chadema wanavyoshindwa Urais toka ianzishwe mpaka leo, maneno ya baba ni too low of argument ni simply waste of my time hata kujibu!!

Le Mutuz!

Hapo kwenye red unataka kutuambia nini? maana umesema ulishindwa kihalali afu tena umeshindwa kama Chadema wanavyoshindwa uraisi! HUELEWEKI! labda nikufafanulie kidogo, hakuna mwana Chadema including mgombea wa Uraisi (2010) anaamini kuwa chadema ilishindwa kihalali. So futa kauli yako au kubali kuwa umeyakubali mayokeo kishingo upande
 
- Ohh yeah nimeshindwa kama Chadema wanavyoshindwa Urais toka ianzishwe mpaka leo, maneno ya baba ni too low of argument ni simply waste of my time hata kujibu!!

Le Mutuz!

Mkuu heshima mbele,
Hongera kwa kukubali kushindwa.Ni hatua nzuri.
Hata hivyo, kwa kuwa uliyekuwa unamjibu hajasema yuko Chadema usingetumia mfano wa chadema ambayo hata hivyo, haina uzoefu wa miaka 30 ambayo ni umri uliokaa wewe nje.
I respect your opinion, however.
 
- WEll, nimeshindwa kwa sababu walioshinda ni wazoefu wakubwa zaidi yangu ndani ya chama, wameshinda Viongozi wa Taifa wote 10 naamin inajisema yenyewe ni kwa nini nimeshindwa, tatizo sio kushindwa ila ni ulipoangukia ni wapi!!

Le Mutuz!
Maza wako wa kambo nae asema kashindwa vipi? kihalali ama kama chadema( kuchakachuliwa matokeo na TISS) ama kama wewe?
 
Mkuu heshima mbele,
Hongera kwa kukubali kushindwa.Ni hatua nzuri.
Hata hivyo, kwa kuwa uliyekuwa unamjibu hajasema yuko Chadema usingetumia mfano wa chadema ambayo hata hivyo, haina uzoefu wa miaka 30 ambayo ni umri uliokaa wewe nje.
I respect your opinion, however.
Mkuu dont argue with the fool kwa sababu@W.J.Malecela, anajua Chadema ilichakachuliwa matokeo na TISS, mbona anajigonga? mara kihalali mara kama chadema!
 
- Kamati Kuu ya CCM ilinipitisha kugombea NEC Viti 10 Bara, uchaguzi ulifanyika juzi Kizota Dodoma kura zangu hazikutosha, na nimeridhika sana na matokeo: Uchaguzi ulifanyika kihalali na haki na ninakubali kushindwa nitajipanga upya na kujikita tena next time zikitokea nafasi zingine za Chama changu CCM, chama Dume!!

- I am proud na kushika nafasi ya 12, kati ya wagombea 31 ambao wote wengine ni wazoefu wa muda mrefu sana ndani ya CCM, kulinganisha na mimi niliyerudi Bongo Miezi 10 iliyopita, baada ya kuishi Miaka 30 Ulaya na USA, so leo kugombea na miamba hii ya CCM na kushika nafasi ya 12, na kuwapiga wengine 19 it is great honor to me I mean A Luta Continua yaani Mapambano Bado kabisaa yanaendelea, next time tutapigana mpaka kura zitoshe.

- Again, ninakishukuru Chama changu CCM kwa kutoa nafasi kwa kila mwananchi kushiriki kikamilifu bila kubagua wala kuonea, na pia ninawashukuru CCM-WAZAZI kwa kunichagua kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa na pia kuiwakilisha kwenye Baraza Kuu la UV-CCM Taifa, na kesho kitakuwa ni kikao changu cha pili katika Baraza hapa Dodoma, I am grateful for that!!

- Ndugu zangu milioko nje rudini tujenge taifa letu, hakuna wa kutujengea huku tuje wenyewe, na pia tuchukue fomu za uongozi tujikite huko ndani kuleta mabadiliko badala ya kukaa kulia lia tu bila sababu na huku ni watuwazima na tuna akili timamu, tukazane tuingie wenyewe! KURUDI HOME SIO A DEATH SENTENCE!! HA! HA! HA! HA! HA!


RESPECT MUCH PEOPLE!!


LE MUTUZ - (KING OF ALL SOCIAL NETWORK MEDIA) & MJUMBE BARAZA KUU LA WAZAZI-CCM TAIFA & BARAZA KUU UVCCM TAIFA!!


JF ni kama maji...
Usipoyaoga ukiwa hai, basi utaogeshwa ukiwa maiti...
Welcome back son
 
Pole sana mkuu,kwa kusema kweli umejitahidi sana kupambana,lakini ukweli unabaki pale pale kuwa umeshindwa.ushauri wangu kwako ni kuendelea na mapambano bila kuchoka na ifike mahali watoto wa viongozi wa zamani mfahamu kuwa siasa ya Tanzania imebadilika,hivyo majina ya baba na mama zenu hayatowasaidia tena.

Hongera
 
ukimtazama uyu mzee usoni unaona kabisa anaupungufu flani kichwani...magonjwa ya akili yanatokea sana kwa watu kama le ushuzi tokana na stress,cha muhimu ni kufanya check up ya mara kwa mara.

Kuhusu siasa yeye na familia yake wana lahana ya Nyerere.

- Yaap katika miezi 10 niliyoishi bongo toka nirudi nimegombea:-

1- Ubunge EAC - Nimeshindwa
2. Katibu MWenezi na Elimu na Mazingira wa Wazazi Kata Kivukoni - Nikashinda
3. Ujumbe wa CCM Wilaya ya ILALA - Nikashinda
4. Ujumbe wa WAZAZI_CCM Mkoa wa Dar - Nikashinda
5. Katibu MWenezi CCM Mkoa wa Dar - Nikashindwa
6. Ujumbe Baraz la Wazazi-CCM Taifa - Nikashinda
7. NEC Viti 10 Bara - Nimeshindwa

- So haya yote in 10 months, ni supa sana na tupo vizuri sasa ni kutulia na kujipanga tena mapambano bado sana!!


Le Mutuz!!


Angekuwa mpishi, angepata kazi Ikulu.
 
Wee baba ujanawako ufunge box USA umezeeka sasa ndo unarudi nyumbani ,Ccm hawakutaki
 
mi nafikiri ni bora kama ukatafta chakufanyia hili taifa kama kweli unania ya kweli na ndo kilichokurudisha bongo. siyo lazima kufanya kazi aliyofanya babako huo ni utumwa wa kifikra bro kiukweli mie naamini SIASA hasa ya CCM inabeef na familia ya MALAECELA kama huamini endelea but one day utakiri hili labda waliopo wote wafe.
 
- Unakuwa The King Of All Social Network Media, kwanza kwa kuweza ku-attract all the people sio wanaopenda Chadema tu, halafu making money through what you do in the Internent, watu wengi wana blog lakini muhumu ni how big of a star the owner of the blog is kutokana na vurugu zake, so understand that!
utuz!!

Le Mutuz!!

Kama leo nawe waweza kujiita Big Star wa Tanzania basi tuna kazi kweli. Waache wananchi watambue mchango wako kwa jamii kuliko kujiita majina. Oganaizi wazazi wenzako basi hata mkafanye usafi pale hospitali ya Mwananyamala au kutandika hata vitanda kwenye vituo vya kulelea watoto YATIMA jamii ione volunteering yako kuliko kujiita majina.

Uko so obsessed sana na Chadema. Unakuta mazungumzo hayahusiani na chama but unakuta unaingiza Chadema irrelevantly. Not sure if that strategy will help you on ur next move lakini hata hivyo sipendi ku-disappoint hiyo strategy if it works for you.

Hata hivyo nakubaliana nawe kuhusu vurugu zako zaonekana maana picha kwenye blog yako represent something....jitahidi hoping kuvuta watu zaidi (bila kuegemea jinsia moja) ambao utawatumia kukupigia kura aidha ndani au nje ya chama. Ningekushauri uwe more strategic kwenye media ili tofauti na income, jamii pia yaweza kukusadia kufika pale unafikiria.
 
Candid Scope - Unaweza kwenda Ulaya anytime na kurudi anytime, ukisikiliza this nonsense hutaenda wala hutarudi, sijawahi kusikiliza anybody kwenye ishus muhimu za masiha yangu, hizi foolish theory ndio zinawaogopesha watu kurudi nyumbani!

- Ukiamua kwenda unaenda na ukiamua kurudi unarudi at any of your time!!


Le Mutuz!!

Majibu haya yanatokana na bandiko gani? Halafu matusi hayo ya nini kwa mtu mwenye staha kama wewe ukifikirika kama great thinker na kiongozi na mwomba kura kwa wazawa?

Dunia hii si ngeni kwangu, labda unafikiria isivyo, ila mie si mtu wa kupenda kujionyesha na kujisifia, hapa tupo kuelimishana, kubadilishana mawazo na kupashana habari. Tunashindana kwa hoja, ikinishinda au kuniumiza bora ninyamaze kuliko kuruhusu hamasa ichukue mkondo wake kitu ambacho kitanivunjia heshima yangu mbele ya jamii.

Take it easy Le Mutus, never panic, kwani hapa jamvini na ulimwegu hutakutana na watu ambao mnaakisiana kifikra na mengineyo, tofauti hizi ni za kawaida na ndizo zinazotuchochea katika kuleta mabadiliko katika jamii na ulimwengu.
 
Pole sana Ashadii kwani hayo maswali kamwe hayato jibiwa labda unge muuliza kuhusu kupiga picha ange kujibu!

Siasa haiwezi hata kidogo huyu ni king of photos!

Hakika siku akikujibu hayo maswali ndio utajua ni mtu wa aina gani!

Maswali uliyo muuliza yana pima uelewa wake na hayuko tayari watu wajue, japo tumeanza kufahamu!

Hakika huto pata majibu!

Ulipo nionya kuwa maswali ni magumu hawezi kujibu niliona wewe ni mkorofi na ni mzaha waleta... Lol! Kumbe you knew better. Hata hivyo yoote kheri.

Mkuu AshaDii unamuuliza maswali magumu hivyo? Ataishia kukuita mabebi na ha! Ha! Ha! Ha!

Apparently you may be right katika hili...
 
eeh hivi hii jumuia ya wazazi ndio nini na ina mchango gani kwa taifa?au kua kiongozi huko then what does one gain careerwise?
Ila kaka, 30yrs in europe/america coming back for uongozi jumia ya wazazi, sjui katibu wa shina..haaaaa are you really serious?? With the invistment tena ya goodwill tu alio kutengenezea mzee wako bongo plus the 30 years abroad m sure wala siasa uchwara isingekupotezea muda..but anyway that u le biiig show...super kiongozi wa wazazi....
unaweza kuwa mjumbe wa wazazi wakati hauna familia?
 
Kuna vijana wengi sana wamerudi Tanzania toka ughaibuni na vyeti vizito sana vya shule lakini bado wako mitaani. Na hawa vijana wamerudi Tanzania kabla ya W.J.Malecela kurudi Tanzania lakini kwa sababu hawana connection ndiyo maana hawana kazi.

W.J.Malecela, umekuta mzee wako ameandaa mtandao ambao kwa sasa unakubeba wewe kama vile mtandao huohuo ulivyombeba January Makamba, John Mongela, mtoto wa Mzindakaya ambaye ni DC, Rizwan,Hussein Mwinyi na mdogo wake, Jacob Msekwa na wale watoto wa vigogo pale BOT.

Kwa sasa unaweza kupata lolote ndani ya Tanzania kwa sababu mna hati miliki ya kumiliki Tanzania, lakini muda si mrefu mtajua nini maana ya maisha.
 


LE MUTUZ HANGING OUT NA THE GIANTS MHESHIMIWA KINGWANGWALA AND MH. BASHE, AT KIZOTA, DODOMA!!
 
- Changamoto unasema MWenyekiti wako wa Chadema ana umri mkubwa sana aachane na siasa arudi kule Bilicanas, maana umri wake wa Miaka 50 mni mzee sana kwa maneno yako, unaona mnavyojua kuandika nonsense na ujinga ujinga, yaani sikutakiwa hata kukujibu kwa sababu this is foolish!!

Le Mutuz!!

kweli mwanaCCM bila kuitaja chadema anakuwa kama kapungukiwa kitu vile..mtu mzima anamwambia mtu mzima mwenzake maneno ya kitoto!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom