Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Status
Not open for further replies.
Emotions and lack of knowledge, but again thirst for power after failures abroad!! I wonder what type of survival you had uhgaibuni to write this mending report. Pole saaaana

- Ni kwa sababu sina mawazo mgando ya kichadema chadema, pole sana bro this is a big shoow tunakwenda kwa mbele jiunge au kaa pembeni!! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Njaa mbaya sana nilikuwa bize natafuta comment zake nashukuru umezipata ndiyo maana Samson Mwigamba alisema inawezekana ukiwa CCM akiliinaharibika

- Njaaa ni kujairbu kutafuta madaraka kwa kutumia maandamano na migomo badala ya kusburi kura za wananchi, ha! ha!

Le Mutuz!!
 
user-offline.png
Field Marshall ES

6th August 2009 21:15
#1
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 27th April 2006
Posts : 13,444
Rep Power : 3775
Likes Received260
Likes Given172

[h=2]
icon1.png
Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu![/h] - Wakuu wote JF, bila kumbagua yoyote nina rafiki wa kike wa kizungu anayefanya kazi kwenye mradi mmoja ambao ukitimiza msharti yake ambayo sio magumu sana, basi wanakupatia viza ya miaka mitano kwenda nchi moja majuu kufanya kazi, ni kwa professional mbali mbali na hata kwa wasio na professional wanakubalika,

- Ameniambia the goal ni matajiri flani hivi wa kizungu wanajaribu kuwasaidia watu kutoka nchi masikini, sasa naomba kusema hivi hapa JF wanaingia hata mabalozi mengi ya majuu bongo kila siku, kwa hiyo siwezi kuweka yote hapa wazi, lakini sina tatizo kumsaidia yoyote yule mwenye kuhitaji huu msaaada mradi tu msaidiwa awe bongo, na kuna fee ya dola mia tatu, mimi sifanyi lolote zaidi tu ya kuhakikisha kwamba una pass na unataka msaada, ninaku-connect una-deal nao mwenyewe, lakini ni lazima unifahamishe ili nimfahamishe huyu dada, aifuatilie fomu yako.

Tuwasiliane kwenye PM, au mtuwameli@yahoo.com. Mods na Utawala naomba muipe nafasi kidogo hapa ingawa sio pake, ili iwafikie ndugu zangu walalahoi, unajua sisi mabaharia huwa ni watu wa kusaidiana sana kwa sababu tusingefikia hapa tulipo bila kusaidiwa na wengine, na huwa hatusahau tulikotoa au kusahau wengine wenye shida.

Ahsanteni Wakuu.

Field Marshall Es, wazee wa sauti ya umeme!
Huu mradi uliishia wapi mheshimiwa mutuz?
 
- Kwa sababu kila nikiondoa mnaanza kunisumbua kila kona kunililia nirudi, nikija mnaaanza kujiakanyaga kanyaga cause hamna hoja ila ninawavumulia tu kuweka mijdala lakini hoja huwa hamna kabisaa!

Le Mutuz!!

Ubaharia na b@ngi=samaki na maji!
 
LE MUTUZ - (KING OF ALL SOCIAL NETWORK MEDIA) & MJUMBE BARAZA KUU LA WAZAZI-CCM TAIFA & BARAZA KUU UVCCM TAIFA!!

Hapo red panataka kufanana na huyu, hope ni swaga tu na si mitazamo pia

"His Excellency Presidentfor Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin, VC, DSO, MC, Lord of All theBeasts of the Earth and Fishes of the Sea, and Conqueror of the British Empirein Africa in General and Uganda inParticular."
The titles that Idi Amin, president of Uganda, gave himself, as reportedin "A Clown Drenched in Brutality", Sunday Times, 27 July2003.

- Tatizo nipo busy sana muda wa kujibu hii nikiupata powa not now, lakini kuna some serious questions zinazotakwia kujibiwa nikiwa na time yes!!

Le Mutuz!!

Mkuu unajiita kuwa ni 'King of all Social networks' thus I believe katika hii idara hasa ya kujibu maswali juu yako ni kitu ipo within your grasp. I appreciate huja ignore na umenijibu utajibu ukipata muda; Ingawa ni wazi kuwa I am a bit perturbed ikiwa a result ya iffiness of your comment to my comment hasa ukizingatia kuna posts nyingi umejibu baada ya post yangu na ni ndefu.

So far nimekusoma toka mwanzo... Na you seem to be interested in people who bash you (esp kama ni CDM) na who praise you (but sio walio neutral). Taking in mind the journey you have ahead of your political ambition in conjunction with the fact kuwa you LOVE social media, i give a word of advice (which you are free to accept or refute); you do not have to wear a jovial mood kila wakati kwa jambo likuhusulo (hata kama it is controlled by your super-Ego). Sometimes it is worth it to get down to business...

All in all Hongera sana kwa your positive vibe.
 
- Tatizo nipo busy sana muda wa kujibu hii nikiupata powa not now, lakini kuna some serious questions zinazotakwia kujibiwa nikiwa na time yes!!

Le Mutuz!!

Majibu yako na umri wako haviendani,hv huna hata mtu wa kukushauri kuwa majibu yako ni PUMBA?! Miaka 50 ndo unakuja kuhangaikia siasa bongo?! Vp dingi amefulia?! Tunakushangaa sana KUBWA JINGA
 
Majibu yako na umri wako haviendani,hv huna hata mtu wa kukushauri kuwa majibu yako ni PUMBA?! Miaka 50 ndo unakuja kuhangaikia siasa bongo?! Vp dingi amefulia?! Tunakushangaa sana KUBWA JINGA

- Kufulia ni kushindwa Urais kwa miaka yote ya masiha ya chama na kushindwa Viti 22 vya udiwani na bado upo tu kwenye siasa kama kuna kufulia tuanze na huko kwanza, au? ha1 ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Huu mradi uliishia wapi mheshimiwa mutuz?

- Mkuu una maana ule mradi wa kuiba picha za Mastar na kuwauzia magazeti ya udaku bongo au? maana huu unaousema hauna uhusiano wowote na NEC au? ha1 ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Mkuu unajiita kuwa ni 'King of all Social networks' thus I believe katika hii idara hasa ya kujibu maswali juu yako ni kitu ipo within your grasp. I appreciate huja ignore na umenijibu utajibu ukipata muda; Ingawa ni wazi kuwa I am a bit perturbed ikiwa a result ya iffiness of your comment to my comment hasa ukizingatia kuna posts nyingi umejibu baada ya post yangu na ni ndefu.

So far nimekusoma toka mwanzo... Na you seem to be interested in people who bash you (esp kama ni CDM) na who praise you (but sio walio neutral). Taking in mind the journey you have ahead of your political ambition in conjunction with the fact kuwa you LOVE social media, i give a word of advice (which you are free to accept or refute); you do not have to wear a jovial mood kila wakati kwa jambo likuhusulo (hata kama it is controlled by your super-Ego). Sometimes it is worth it to get down to business...

All in all Hongera sana kwa your positive vibe.

- What the hell is this? daaamn! ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
Hapo red panataka kufanana na huyu, hope ni swaga tu na si mitazamo pia

"His Excellency Presidentfor Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin, VC, DSO, MC, Lord of All theBeasts of the Earth and Fishes of the Sea, and Conqueror of the British Empirein Africa in General and Uganda inParticular."
The titles that Idi Amin, president of Uganda, gave himself, as reportedin "A Clown Drenched in Brutality", Sunday Times, 27 July2003.

- Naona hakuna hoja tena so people naomba ku-retreat na see you soon again, kama vipi nipo busy sana downtown kama kawaida, na heshima wka watu wote!!

REPSECT MUCH!!

Le Mutuz!!
 
Watu wana chuki na le mutuz mbaya ha ha ha.

Gap za maisha na ugumu wa maisha unaleta chuki kwa watanzania..

Le mutuz umezaliwa dar ocean road ukakulia oystrbay na masaki hujui daladala toka utoto then after secondary school ukala zako flight majuuu na kufaidi national cake tu hadi unarudi una uhakika wa maisha na kizazi chako as mzee anakulinda hata ukicheza maulithi yapo ya kutosha..

Sasa wenzako tumezaliwa sitimbi na kukulia mpera mpera tumecheza mashambani huko tukifukuza ndege, shule za sekondari unajifundisha mwenyewe za kata, vyuo udsm bila mgomo haki haziji daily tunapigwa mabomu, tumemaliza ajira nazo nagumashi mshahara inarange lak 5 hadi 1m, yaani life stress tupu, ulithi upo mikoani huko tena mashamba ambayo hadi yatutoe ni kilio tosha,, kila tukipigana kwa kufanya kazi kwa bidii wenye baba zenu mnatupiga gaps kwa kupendelewa nafasi..

So le mutuz bora usijibu tu but watanzania tuliokulia shida kukupenda le mutuz haiwezekani hata iweje although ukweli tunajua ana advantage kubwa sana maishan mwako tanzania as surname yako inakubeba...

But ukweli lazima nikwambie wewe ni mzembe kwa surname yako hiyo kuwa na cv kama hiyo ni uzembe utasomaje vi college wakati school fees ipo ya kutosha, ulitakiwa udondoke havard, oxford, alabama au states university yeyote ya kueleweka as university of california etc..

Pili nina imani mtaji unao as familia bora wewe ulitakiwa uwe na bonge la kampuni hapa bongo utuajiri watanzania wenzako choka mbaya tusio na mitaji kama wanavyofanya watoto wa kishua waliojanjaruka.

3. Hata kama kuajiriwa ulitakiwa uwe kwenye top position kama kina mwamvita, january, abdala shelukindo, twissa na wenginea as ni watoto wa kishua wenzako na nina imani wewe kwenu mna uwezo kuliko hao wote.

4. Wife, ulitakiwa kwa umri wako uwe umeseto na familia yako mnakula kuku tu na kuheshimika mjini hapa kuliko unavyoruka ruka na bongo movies.

5. Hata kama akili za darasani hazikuwa nzuri ulitakiwa utumia nafasi uliyonayo kutoka kimaisha hata kimichezo kama kina luel deng baba yake alikuwa waziri sudan akatumia nafasi kusoma vyuo vikubwa, kukodisha basketball coaches wamtrain hadi akafika NBA,,, Enes kanter nae NBA, kobe brayant, Andrea pirlo italian soccer players hawa watu utajiri wa familia zao ndo umewafikisha mbali kwenye michezo as walikuwa na access ya ku hire proffessional coaches wawa train toka watoto
 
U-DC utakufanya William utamke lolote lile la kuwafurahisha"wakubwa" ili wakukumbuke!
 
Le Mtuuz,
Usichanganye mambo hapa ongelea hoja ya kushindwa kwako kihalali na usijifananishe na Chadema kwani Chadema hawashindwi kihalali na ushahidi ni Igunga na Sumbawanga mjini na Shinyanga mjini ambapo msimamizi wa uchaguzi hajulikani alipo mpaka sasa.
Huku kuchanganya kwako mambo utatufanya tuamini kuwa huna uwezo wa kujenga hoja na ndiyo maana walikupiga chini.
 
- Kufulia ni kushindwa Urais kwa miaka yote ya masiha ya chama na kushindwa Viti 22 vya udiwani na bado upo tu kwenye siasa kama kuna kufulia tuanze na huko kwanza, au? ha1 ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

Unakumbuka shuka uzeeni,mzee ilikuwa hazipandi na Jk,so hata ukuu wa wilaya never hutopata,nenda bongo movie.Mama katoswa na baba kapigwa chini. Hapo unatafuta ntokee vipi?!
 
Pole sana Ashadii kwani hayo maswali kamwe hayato jibiwa labda unge muuliza kuhusu kupiga picha ange kujibu!

Siasa haiwezi hata kidogo huyu ni king of photos!

Hakika siku akikujibu hayo maswali ndio utajua ni mtu wa aina gani!

Maswali uliyo muuliza yana pima uelewa wake na hayuko tayari watu wajue, japo tumeanza kufahamu!

Hakika huto pata majibu!
Mkuu W. J. Malecela,

Nawasilisha upya hii post kwako... Naomba majibu kama hutajali. Else useme wazi umeshindwa nitaridhia.
 
Last edited by a moderator:
Huwa najiuliza lakini sipati jibu,labda le Mutuz utupe jibu hapa, miaka 30 yoote kukaa nje na kufanya kazi (naamini kama professional) huna kweli cha kufanya mpaka ukimbilie kwenye siasa? Kisa baba ako alikuwa mwana siasa? Ki ukweli huna mvuto wa siasa na huna kipaji cha uongozi.

Kwanza ulisaliti nchi kwa miaka yote 30, leo umekuwa babu ndo unarudi, mtu uko tayari kwenye 50s sasa una nguvu kazi gani kwa taifa hili?

CCM yetu ya sasa siyo ya zamani kurithishana vyeo, na taratibu waliopo watachomoka tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom