Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Status
Not open for further replies.
Aliaga kuchangia post za wengine ila si kuanzisha post zake. Hatutamuelewa mpaka tutakapokufa> Au nimekosea ze mutuz muzee ya ulaya na "yurope" miaka kibao

- Siku mtakaponielewa sitakuwa tena The King Of All Social Network Media, ninakuwa kwa sababu siawaruhusu kunielewa wala simruhusu anybody kunielewa ndio the rule of the game of how to make money through the media!!

Le Mutuz!!
 
Mazezeta wa magamba wote lazima waitaje Chadema kila baada ya sentensi moja. Hata kura kwenye uchaguzi wenu mlikuwa mnaomba kwa kuitaja Chadema. Na kila zezezta aliyetaja Chadema alishangiliwa sana na maccm.
Kama si kuwa na mpunga kidogo ukilinganisha na magamba wenzako basi ungeweza kushinda ujumbe wa Nec. Ndani ya moyo wako una maumivu ya kuliwa na kutoswa hata kama unajishebedua hapa.
Endelea kuiota Chadema kwakuwa ndiyo itakayowaondoa vilaza kama wewe msio na vision lakini mnahonga ili muwaongoze watanzania.

- Msema njia lazima aliipitia so kumbe bado mna mamumivu ya kupigwa vile viti 22 vya Udiwani, sawa umeeleweka!!

Le Mutuz!
 
This is so weird, yaani kuwa na thread ya page 20 in 20 minutes tayari umeshakuwa King of All Social Network Media!!??Wow... Kweli WAZAZI-CCM kuna kazi, maana hawa ndiyo Great Thinkers wa SISIEMU. Mtu kama Trump kuwa na watu zaidi ya 30,000 kwenye Twitter page yake ambao hawakukubaliana na tirade yake baada ya Obama kuchaguliwa doesn't make him a King of all social network media. Sasa sijui akina Mwanakijiji na wengineo ambao michango yao huwa ina idadi kubwa ya wasomaji na responders wangekuwa wanapenda hayo majina sijui wangejiita akina nani. I guess hii ndiyo definition ya KING OF ALL SOCIAL NETWORK MEDIA ndani ya WAZAZI-CCM......

- Unakuwa The King Of All Social Network Media, kwanza kwa kuweza ku-attract all the people sio wanaopenda Chadema tu, halafu making money through what you do in the Internent, watu wengi wana blog lakini muhumu ni how big of a star the owner of the blog is kutokana na vurugu zake, so understand that!
utuz!!

Le Mutuz!!
 
Candid Scope,

- Labda nikuulize eti ni Degreee ya pili ni nini kwa uelewa wako? Otherwise naona unatumia nguvu kubwa sana kushindana na ukweli kwamba ninayo Degree ya pili ya Criminology na Police Science ndio kuna Chuo kimoja kikubwa hapa mjini ambacho nipo kwenye mazungumzo nacho kuwa mhadhiri wake part time kufundisha masuala hayo ya Criminology na Police, so relax bro!!

Le Mutuz!1
 
ukimtazama uyu mzee usoni unaona kabisa anaupungufu flani kichwani...magonjwa ya akili yanatokea sana kwa watu kama le ushuzi tokana na stress,cha muhimu ni kufanya check up ya mara kwa mara.

Kuhusu siasa yeye na familia yake wana lahana ya Nyerere.

- ahsante sana yaani unanishobokea mpaka umeeenda kuwaletea Great Thinkers picha yangu the King Of All Social Network Media, saafi sana sina cha kukulipa mkuu sana, ndio maana ya Big Celeb yaani watu wanazimikia mpaka picha zako na kukutangaza kila kona ya dunia!!

Le Mutuz!!
 
Candid Scope - Unaweza kwenda Ulaya anytime na kurudi anytime, ukisikiliza this nonsense hutaenda wala hutarudi, sijawahi kusikiliza anybody kwenye ishus muhimu za masiha yangu, hizi foolish theory ndio zinawaogopesha watu kurudi nyumbani!

- Ukiamua kwenda unaenda na ukiamua kurudi unarudi at any of your time!!

Le Mutuz!!
 
Last edited by a moderator:
Le Mutuz umemalizia prime time ya maisha yako ukijirusha ulaya na kodi za watanzania kupitia baba yako mzee Cigwie Misi, sasa unakuja na uzee wako ndo uje kutafuta uongozi, ni dharau kwa wanaCCM wenzako ndo maana wanakunyima kura! Wewe jikite kwenye biashara ya mashamba achana na siasa!

- Changamoto unasema MWenyekiti wako wa Chadema ana umri mkubwa sana aachane na siasa arudi kule Bilicanas, maana umri wake wa Miaka 50 mni mzee sana kwa maneno yako, unaona mnavyojua kuandika nonsense na ujinga ujinga, yaani sikutakiwa hata kukujibu kwa sababu this is foolish!!

Le Mutuz!!
 
But on a serious note,le mutuz usiwe unasusa jf banaa. I dearly miss your dramas.

- Sijawahi kususa mimi ni mfanyabiashara mkubwa wa media so kuna rules za kuongeza stocks zako kwenye media, ndio maana ninasema sijawahi kumruhusu anybody kunijua cause siku nikifanya hilo ndio stocks zangu zote kwenye network media zitaisha!!

Le Mutuz!!
 
anaglia tu wasikumalize kama kaka yetu mpwa ndio uwoga wangu
 
- Ohh yeah nimeshindwa kama Chadema wanavyoshindwa Urais toka ianzishwe mpaka leo, maneno ya baba ni too low of argument ni simply waste of my time hata kujibu!!

Le Mutuz!
LE MUTUZ: Uzoefu umedhihirisha kuwa siasa haina mahaba na wewe,hivi hakuna means nyingine za ku-survive uzijaribu kuliko kug'ang'ania siasa ambayo haikupendi?au kwa vile umekulia na kuzoea vi- privellege vya wanasiasa na unaona its the easiest way to to cheat people and win life.Try another game my friend you are not a born politician,labda jaribu kama promotion za U miss etc za wakina Lundenga,labda unaweza toka kupitia mlango huo.
 
Candid Scope,

- Labda nikuulize eti ni Degreee ya pili ni nini kwa uelewa wako? Otherwise naona unatumia nguvu kubwa sana kushindana na ukweli kwamba ninayo Degree ya pili ya Criminology na Police Science ndio kuna Chuo kimoja kikubwa hapa mjini ambacho nipo kwenye mazungumzo nacho kuwa mhadhiri wake part time kufundisha masuala hayo ya Criminology na Police, so relax bro!!

Le Mutuz!1

Part time Mhadhiri wa criminology
Kumbe Mzee ushawahi kuwa mhadhiri marekani, karibu uje kutoa darasa... All the best

lakini nimesoma kwenye hii thread umeandika kuwa umeombwa kuwa mtangazaji wa TV, sasa utakuja kutufundisha criminology kweli?
 
Huyu sasa ndiye The Le Mutuz kipindi hicho akiwa bado na akili timamu!

Njaa mbaya sana nilikuwa bize natafuta comment zake nashukuru umezipata ndiyo maana Samson Mwigamba alisema inawezekana ukiwa CCM akiliinaharibika
 
Mkuu W. J. Malecela,

Nawasilisha upya hii post kwako... Naomba majibu kama hutajali. Else useme wazi umeshindwa nitaridhia.


Le Mutuz, kwa kweli unastahili pongezi kwa 'DRIVE' uliyo nayo juu ya nafasi ambazo huwa wagombea. Nashangaa sana kuwa all this has been in just ten months. Kimzaha zaha pamoja na kejeli zote hizi utafika tu mahala unataka ingawa bahati mbaya sana ukijulikana kwa tabia za kejeli, majidai, kujigamba kupenda watoto (most wanapenda lakini si kwa kujigamba) na kujiamini kupita kiwango stahili. However nina maswali kwako ambayo naomba ujibu kama hutajali;

1. Unadhani kuwa katika mchakato wote wa kupiga kura wanachama wapo huru kama inavyostahili? Kuwa kweli kabisa mtu anapiga kura vile anavyotaka na sio anavyo tarajiwa kupiga kura hasa kwa inapo husisha viongozi wakubwa katika hilo zoezi?

2. Mapungufu yepi unayaona yapo ambayo yanatakiwa kusimamiwa na kurekebishwa ili yasirudiwe tena uchaguzi ujao kama huo?

3. Chadema ni threat kiasi gani kwa kwa CCM?

4. Kuna interview uliwahi ongea na Pascal Mayalla (sio Pasco wa JF :smile🙂 kuwa moja ya azma yako ni kuhakikisha CCM inaongioza miaka 50. Do you still believe CCM ina uwezo huo and why? (Nimeuliza sababu wewe mwenyewe ulijicheka saana hii kauli kana kwamba hukuwa na hakika na hii hoja yako).

5. BTW mara ya mwisho mkuu nilibahatika kuona mabandiko na maandishi yako kadhaa (na nje ya jf pia) jinsi gani huwezi kurudi mahala hapa, kwa maneno ya kejeli kana kwamba kweli huwezi thubutu na inaweza kuwa dhambi ukifanya hivyo (kurudi mahala hapa). Nini kimefanya change of heart?

Karibu tena mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Emotions and lack of knowledge, but again thirst for power after failures abroad!! I wonder what type of survival you had uhgaibuni to write this mending report. Pole saaaana
 
LE MUTUZ: Uzoefu umedhihirisha kuwa siasa haina mahaba na wewe,hivi hakuna means nyingine za ku-survive uzijaribu kuliko kug'ang'ania siasa ambayo haikupendi?au kwa vile umekulia na kuzoea vi- privellege vya wanasiasa na unaona its the easiest way to to cheat people and win life.Try another game my friend you are not a born politician,labda jaribu kama promotion za U miss etc za wakina Lundenga,labda unaweza toka kupitia mlango huo.

- Nonsense waambie Chadema haya maneno kwanza maana wao ndio mabingwa wa kushindwa na bado wapo na majuzi wamepigwa kwenye Udiwani na bado wapo anza na hao kwanza kama vipi! ha! ha! ha!

Le Mutuz!
 
Part time Mhadhiri wa criminology
Kumbe Mzee ushawahi kuwa mhadhiri marekani, karibu uje kutoa darasa... All the best

lakini nimesoma kwenye hii thread umeandika kuwa umeombwa kuwa mtangazaji wa TV, sasa utakuja kutufundisha criminology kweli?

- Yaap nimewaomba hicho niwafanyie Part Time, TV itakuwa ni lisaa limoja tu kwa siku nilipokuwa US nilikuwa ninafanya kazi masaa 18 kwa siku huoni this is a peace of cake!!, jipange huna hoja mkuu!!

Le Mutuz!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom