Niliapa na nilimaanisha Kazi imeisha Yanga SC anakufa 'nyingi' tarehe 11 Disemba, 2021 Wana Simba SC wote 'furikeni' Uwanjani

Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!!

Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu.

Yanga SC kama wakitaka Kukibadilisha nilichowafanyia Wakubali Mmoja wa Kiongozi wao au Mmoja wa Mfadhili wao au Mmoja wa Msemaji wao atangulie mbele ya Haki.

Kama GENTAMYCINE pamoja na akina Kassim Dewji ( KD ), Iddi Kajuna, Mzee Dalali na Wataalam wetu Wawili wa Morogoro, Tanga na Kikwajuni Zanzibar tuliicheza 'Kimafia' ile Mechi Yanga SC iliyofungwa Goli 4 kwa 1 hii ya Jumamosi ( tarehe 11 Disemba, 2021 ) kwa namna tulivyoicheza kwa 'Hasira' hamna hamna Yanga SC 'anakufa' Goli 5 au 6 ila wakizipunguza sana zitabakia Goli 4 au 3 Kudadadeki.

Na kama kawaida yangu huwa nikiisaidia Simba SC yangu huwa sihitaji Malipo yoyote kwani naisaidia kwa Umafia na Utamaduni kwakuwa ninaipenda Simba SC yangu kutoka Damuni na Jumamosi tunataka Wapigane, Wafukuzane na ikibidi hata watoane na Roho kabisa kwa Kipigo cha Kishalubela ( Kitakatifu ) ambacho Yanga SC itakipata.

Popote mlipo wana Simba SC tambeni, furahini na furikeni Kununua Tiketi zenu kwa Wingi ili mjae Uwanjani. Yanga SC ameshakufa!!
Unajifariji na kuwafariji wanyama pori wenzio.Siku ya jumamosi Nyama pori inaliwa na kunywewa supu tena kipigo Cha kufa mtu
 
Back
Top Bottom