Niliapa na nilimaanisha Kazi imeisha Yanga SC anakufa 'nyingi' tarehe 11 Disemba, 2021 Wana Simba SC wote 'furikeni' Uwanjani

Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!!

Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu.

Yanga SC kama wakitaka Kukibadilisha nilichowafanyia Wakubali Mmoja wa Kiongozi wao au Mmoja wa Mfadhili wao au Mmoja wa Msemaji wao atangulie mbele ya Haki.

Kama GENTAMYCINE pamoja na akina Kassim Dewji ( KD ), Iddi Kajuna, Mzee Dalali na Wataalam wetu Wawili wa Morogoro, Tanga na Kikwajuni Zanzibar tuliicheza 'Kimafia' ile Mechi Yanga SC iliyofungwa Goli 4 kwa 1 hii ya Jumamosi ( tarehe 11 Disemba, 2021 ) kwa namna tulivyoicheza kwa 'Hasira' hamna hamna Yanga SC 'anakufa' Goli 5 au 6 ila wakizipunguza sana zitabakia Goli 4 au 3 Kudadadeki.

Na kama kawaida yangu huwa nikiisaidia Simba SC yangu huwa sihitaji Malipo yoyote kwani naisaidia kwa Umafia na Utamaduni kwakuwa ninaipenda Simba SC yangu kutoka Damuni na Jumamosi tunataka Wapigane, Wafukuzane na ikibidi hata watoane na Roho kabisa kwa Kipigo cha Kishalubela ( Kitakatifu ) ambacho Yanga SC itakipata.

Popote mlipo wana Simba SC tambeni, furahini na furikeni Kununua Tiketi zenu kwa Wingi ili mjae Uwanjani. Yanga SC ameshakufa!!
Mashabiki wa simba mazuzu sana huyu mpuuzi kila derby huwa anakuja na propaganda zake mwisho wa siku mnapigwa cha ajabu mkipigwa hamumuulizi chochote mechi ijayo anakuja tena na ngonjera zake hii sijui mechi ya ngapi anaendelea na upuuzi wake jmosi mtapigwa tena km kawaida yenu na hamtamuuliza chochote
 
Tarehe 11 nikiona mvua imenyesha nitaamini huu umbea. Lakini jua likiwaka kama kule Zambia nitajua ni zamu ya Mayele kushangilia kwa ile staili yake pendwa.
 
Siku zote anayeingia uwanjan kwa kujiamin Sana ndie anatinduliwa. Save hii comment yanga Safari hii kajiamini kupita kiasi plus na ujanja ujanja wa manara ndio Basi Ila baada ya dakika 90 Kuna watu watavurugana Sana ,na naona inaenda kutokea ,na ubaya wa mnayama akishakaa kwenye kilele kumtoa Tena Ni kazi ,yaan liwake,inyeshe ngoma itaisha Ivo Ivo had msimu unaisha.
Game ya jumamosi inaenda kuamua Nan atakua bingwa ,yaan atakae mzidi mwenzie point 5 ndie bingwa na atakae mzidi mwenzie point 1 ndie bingwa . Save hii kitu.
 
Tumeshawaonga wachexaji wa Utopoli nini sababu ndiyo zetu kuweza kushida ni lazima tutembeze mlungula kwa marefa na baadhi ya wachezaji wa wapinznai wetu
 
Nina Nyota Kali ambapo nikianzisha tu Jambo lolote au Uzi wowote utakuwa na Mvuto na utacbangamkiwa.

Endelea na Roho yako Mbaya na ya Chuki Kwangu ila Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na nilichobarikiwa na Mwenyezi Mungu kamwe hutokipata.

Mbona 'threads' zangu nyingi tu ambazo zinachangiwa hapa na zinafikia Kurasa nyingi huwa huji kusema zimebuma?

Ulisema kuwa huu Uzi umebuma sasa mbona naona Wadau wanauchangia? Pumbavu utabaki Kunichukia na Mimi kuwa Juu tu Kimvuto na Kiumaarufu JamiiForums mpaka natajwa na Watu Intelligent akina Dk. Wilbroad Slaa huko TBC1.
Mkuu kweli we nyoko,, nimeona tbc juzi dr slaa kakurusha wewe na lemutuz
 
Mkuu kweli we nyoko,, nimeona tbc juzi dr slaa kakurusha wewe na lemutuz
Sasa kama GENTAMYCINE Kiasili ni Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer nitaachaje Kutajwa hivyo, kuwa na Mvuto, kuwa Maarufu na Kufuatiliwa ( Kusomwa ) na Wakubwa wengi nchini Tanzania akiwemo huyo Balozi Dk. Wilbroad Slaa na hata Rais Samia Suluhu Hassan Mwenyewe ambaye 'ananifolo' hapa JamiiForums tokea akiwa Makamu wa Rais?

Cc: TEAM 666
 
Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!!

Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu.

Yanga SC kama wakitaka Kukibadilisha nilichowafanyia Wakubali Mmoja wa Kiongozi wao au Mmoja wa Mfadhili wao au Mmoja wa Msemaji wao atangulie mbele ya Haki.

Kama GENTAMYCINE pamoja na akina Kassim Dewji ( KD ), Iddi Kajuna, Mzee Dalali na Wataalam wetu Wawili wa Morogoro, Tanga na Kikwajuni Zanzibar tuliicheza 'Kimafia' ile Mechi Yanga SC iliyofungwa Goli 4 kwa 1 hii ya Jumamosi ( tarehe 11 Disemba, 2021 ) kwa namna tulivyoicheza kwa 'Hasira' hamna hamna Yanga SC 'anakufa' Goli 5 au 6 ila wakizipunguza sana zitabakia Goli 4 au 3 Kudadadeki.

Na kama kawaida yangu huwa nikiisaidia Simba SC yangu huwa sihitaji Malipo yoyote kwani naisaidia kwa Umafia na Utamaduni kwakuwa ninaipenda Simba SC yangu kutoka Damuni na Jumamosi tunataka Wapigane, Wafukuzane na ikibidi hata watoane na Roho kabisa kwa Kipigo cha Kishalubela ( Kitakatifu ) ambacho Yanga SC itakipata.

Popote mlipo wana Simba SC tambeni, furahini na furikeni Kununua Tiketi zenu kwa Wingi ili mjae Uwanjani. Yanga SC ameshakufa!!
Sawa sheikh Yahya tusikimbiane tu.
 
Back
Top Bottom