Mbona wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kipigo cha Jana na Horoya FC?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Nimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona Kokote wakitucheka Simba SC kwa Kimoko cha Nguruwe tulichopigwa Jana huko nchini Guinea.

Na hii siyo Kawaida ya Watu wa Yanga SC ninaowajua Mimi je, ni kwanini wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kufungwa Goli Moja na Horoya FC nchini Guinea Jana?

Nawatakia kila la Kheri Watunisia leo huko nchini Kwao Tunisia na kwa Mpira wao mkubwa wanaoucheza najua zikipungua sana ni Goli 7 au 9 Kudadadeki.
 
Uzalendo kwanza
 
Sisi wananchi ni wazalendo,animals(Thimbaa) ndio sio wazalendo kwakuwa ni wanyama wa mwituni kama ulivyo wewe.Poleni club ya simba tunawatakia kila la kheri kwa mechi yenu inayofuata ,na hata ile ya marudio.Wanaichi kila kheri pia,tunataraji kupata ushindi sii chini ya goli mbili kule Tunisia leo, 🤔
 
Mtaani Mbona mi mwananchi nimcheka sana na kumnanga sana mwanasimba Sima70 kwa kuniandikia comment eti mi utopolo Lia Lia Mr Zuga eti sijui mpira eti nikae kimya kwa vile tu nilitabiri Simba atapigwa kama Ngoma na Horoya huko Guinea!

Ona hapa chini jibu langu nililompa mwanasimba Sima70 baada ya Zuwena fc kupelekwa kibla na kuchinjwa huko Guinea Jana.

ikiwa wewe ni mwanasimba na usipochukia baada ya kumaliza kusoma my comment hapa chini basi uwahi zahanati!!

"Najibu Sasa!

" Baada ya Mnyama kukaa mkao WA kuliwa akaelekezwa kibla na kupigwa kimoja Cha nguruwe Nimeitafuta sana hii comment yako bwana Sima70 hadi nikaipata.

Yani mi utopolo Lia Lia nitabiri nawewe utabiri huo hautakuwa utabiri Tena Bali ramli! Mi Huwa sikosei Mr mbwiga.

Mi nakuzidi mbali sana Sima70 kimpira sema hunijui tu. Sasa kuanzia Leo wanasimba wote mi nikiwa naongea kuhusu nani atapumuliwa muwe mnakaa kimya na kupiga makofi.

That time Sima70 Uliniboa sana we jamaa kwa comment ya kijinga eti mi Zuga sijui mpira nikae kimya nilichukia hadi nikaenda kwa mganga wa kienyeji kukucheki kama kweli wewe Una mguu wa kuku na ni askari au bwana jela mwenyewe kabisa maana Si Kwa kunipa amri hiyo!!

Kuanzia Leo nikisema Simba atapasuka Zuwena fc wote muwe mnakubali na kutulia dawa na sindano viingie sawia sawa Zuwena wote?

Wewe Sima70 ni nani wa kunifunga mdomo utopolo Lia Lia. Unatumia mamlaka gani? Maana najua mwendazake kalala! Wengine sisi mfumo dume guys, Sasa mnatuwekea makapi tu. Sketi kibaoooo!!

Wakati mechi inapigwa Horoya vs Simba Mimi Zuga nilikuwa nimekaa paleee juu ya mti nawa-zoom tu Makolo nasubiri Zuwena fc wapigwe kama Ngoma wapasuke niruke ruke na kweli yakatimia! Jamaa Horoya wakapiga kimoja tu Cha nguruwe watoto mia nane! Kimoja kinauma asikwambie mtu!!

We jamaa Sima70 wa Zuwena fc ni mbumbumbu kweli kweli kama Makolo wengine wote Wana macho na hawaoni Yani timu Ina kina Boko na Kibu mshinde ugenini? Nyie kina nani!

Hivi we jamaa Sima70 ni WA kunishinda akili Mimi Mr Zuga, eti nawewe una akili za kujua mpira kweli?

Kisa tu Mimi ni utopolo?

Ujue Sima70 mi Nina uchungu sana kuniambia sijui mpira na Mi nimebeba sana viatu vya wachezaji Ili kuingia uwanjani Bure kuiona Yanga ikicheza live nikiwa na miaka sita na Leo hii Nina mvi kwa mbaaali!

Hivi we Sima70 uliona wapi timu mbovu ikashinda? Labda kwa bahasha za Mo!!

Hivi we mbwiga Sima70 Bado tu huukubali mziki wa Yanga ? we jamaa Sasa ukapimwe akili. Hivi Bwana Sima70 huoni jinsi Yanga tunapossess ball. Huoni jinsi Yanga tunakaba timu nzima? Huoni jinsi Yanga tunafunga magoli timu nzima hadi kina Dickson Job? Hivi we jamaa unaJua kama Al Hilal wasingejiangusha dkk 60 nzima tungewaua pale pale kwao na tungekuwepo klabu bingwa na nilitabiri Al Hilal watafungwa mechi zote za makundi na tayari washapigwa mechi moja Jana na Mamelodi Sundown, wale uwezo wao na Zuwena fc hawachekani!!

Jana kocha wa Simba sijui jina lake nani na Wala sijisumbui kulitafuta na KiLaza mwenzake sijui wanamwita Mgunder walitia huruma sana niliona walijikunyata kwenye benchi kama vifaranga vya kuku walionyeshewa mvua Huku mama kuku wao hawajui kumbe akiwa ameshachinjwa kitoweo Cha sikukuu ya krismasi.
Yaani makocha wa Zuwena fc Jana baada ya kupasuliwa moja bila walionesha hawana uwezo kabisa wa kuusoma mchezo na kubadili mfumo kama ilivyo kwa Professa Nabi wa Yanga kipindi Cha pili Huwa balaa lake si la bongo. Ila pia Simba Jana ilikosa ubunifu na ilisomeka timu Ina wachezaji afya mgogoro na Simba hawana kikosi kipana Tena ni kina Kibu na Boko umemaliza!! Jana Simba wachezaji wengi first eleven walipanic na walikula Kadi za njano nyingi sana kwa rafu za kiboya kwa kushindwa kwao mziki mnene wa Horoya sasa mechi za Simba zijazo za klabu bingwa ni za kina Israel Mwenda na Gadiel Michael! Simba kweli mbovu this time! Hivi Raja wamepiga mtu tano kwa bila wakija Kwa Mkapa Simba asipopasuka 8 - 0 mi nahamia Zuwena fc na kama kawaida mechi ikianza Simba vs wababe Raja Casablanca Mimi Mr Zuga nitakuwa nimekaa paleeee juu ya mti nawa-zoom tu wanaSimba na kamwe sitaacha kuwazomea!! Nitakuwa napayuka Masimba hayo hayajui mpira promo kibaoooo Dunia nzima spika za matangazo kuuuuubwa huku Mpira hamna!!

Eti Chama na Phiri ni magalasa hawa jamani hamuoni tayari ni wazee hawa wako jioni kabisa now hawakimbii Tena na hawakabi mechi zao za ku-shine ni kwa Mkapa tu ugenini popote hawa ni makapi tu! Mabua! Hawana maajabu!!

Hii watu wengi Zuwena fc hawajui Sisi utopolo sote tumebukua madarasa ya kutosha umri wa mtu mzima tunatabiri kwa facts sio ushabiki , Ona hii logic, Yanga haijafungwa mechi nyingi sana hivyo Ina maana ukuta wake ni imara Simba inapigwa pigwa tu kama Ngoma ndo kigezo nilichotumia kusema Simba atapigwa Guinea na imejibu!!.

Mimi uto Lia Lia najua Hakuna mwanayanga ambae hajaenda shule na Huwa hatucomment kishabiki Bali kwa facts na logic!ila Simba tunajua imejaa mashabiki maandazi hawajielewi kushabikia timu mbovu na kutaka ushindi ni ujuha!!

Halafu Makolo fc mbona kama naona vijana wenu hawavai Tena jezi za Simba mitaani nowadays? Ni jezi za Yanga tu zinatesa Mtaani!! Mashabiki wa Simba hawavai jezi Wanaona aibu kuwa mashabiki wa Zuwena fc itakayoshika mkia kundi lao ligi ya mabingwa? Au Mimi ndo sijui Nini kimetokea? Miaka ya nyuma kidogo 2020 jezi za Simba ilikuwa ndo vazi la taifa! kweli Prof Nabi kiboko ya Makolo fc!! Wakilala wanamuota! Ni maajabu eti Jezi za Simba Leo hii zimekuwa mbaya mara ooh zimekuwa nzito na eti ukivaa unasikia joto kali sana hata uwe umejificha ndani ya friza!! Mikia mayowe hayataisha kwa five years ni Yanga tu!!

Haya sasa Zuwena fc mshaharibu timu lenu mbovu kina Kibu na Boko butu na Zimbwe mpira umeisha rudini home kwenu bongo Buza kwa Mpalangers mtulie na tayari mshatia hasara kubwa mno ya kulipa mabilioni ya kuweka kambi Dubai! Timu mbovu hata uipe mechi ya kujipima nguvu na Brazil na Real Madrid watapigwa tu. Dubai my foot!!

Leo wanaume Yanga ndo tunacheza huko Kwa waarabu mbumbumbu Zuwena fc wote nawakaribisha njooni vibanda umiza vyote muwazomee Aziz Ki na Musonda! Ila mjue tu Yanga Tunaua mtu Leo sisi sio Zuwena fc Boko Jana mechi na Horoya apewe nini yeye na goli kapiga nje Sasa njoo huku Sasa Namungo vs Yanga Dida akabutua mpira ukamfikia Aziz Ki, usijisumbue we kaangalie kwenye nyavu tu!"

Daima mbele nyuma mwiko! Yanga Kila la Kheri Leo huko Tunisia!
 
Tunasubiria weekend iishe kwani jambo bado halijakamilika.

masaa 24 sito mengi hivyo tunaweka akiba ya maneno...

Na nyie ongezeni tambiko. Tukiroboa leo hamlali.
 
Nimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona Kokote wakitucheka Simba SC kwa Kimoko cha Nguruwe tulichopigwa Jana huko nchini Guinea.

Na hii siyo Kawaida ya Watu wa Yanga SC ninaowajua Mimi je, ni kwanini wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kufungwa Goli Moja na Horoya FC nchini Guinea Jana?

Nawatakia kila la Kheri Watunisia leo huko nchini Kwao Tunisia na kwa Mpira wao mkubwa wanaoucheza najua zikipungua sana ni Goli 7 au 9 Kudadadeki.
Jana wakati tunaangalia mpira kati ya Horaya na Simba, nilimsikia mtu mmoja aliyewahi kuishi nchini Misri akisema kwamba mashabiki wa huko wanaungana kushangilia timu ya club ya nchini kwao inapocheza na timu kutoka nje bila kujali ushabiki wa club zao za ndani. Labda na sisi tunaanza kubadilika
 
Hamna kitu ni hofu tu waliyonayo hawa. Na jana watakuwa wamemsoma Simba kwa makini ili leo wakacheze kama yeye. Watunisia hawawezi kukubali kufungwa na timu hiyo hiyo mara mbili ndani ya miezi michache katika ardhi yao.

Leo Yanga mna kazi sana. Sipendagi kutumia majina ya utani maana nadhani ni utoto.
 
Jana wakati tunaangalia mpira kati ya Horaya na Simba, nilimsikia mtu mmoja aliyewahi kuishi nchini Misri akisema kwamba mashabiki wa huko wanaungana kushangilia timu ya club ya nchini kwao inapocheza na timu kutoka nje bila kujali ushabiki wa club zao za ndani. Labda na sisi tunaanza kubadilika
Jamaa kawapiga kamba maana hakuna mshabiki wa zamalek atakayeshangila Al ahly eti kisa wanacheza na timu ya nje.
 
Nimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona Kokote wakitucheka Simba SC kwa Kimoko cha Nguruwe tulichopigwa Jana huko nchini Guinea.

Na hii siyo Kawaida ya Watu wa Yanga SC ninaowajua Mimi je, ni kwanini wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kufungwa Goli Moja na Horoya FC nchini Guinea Jana?

Nawatakia kila la Kheri Watunisia leo huko nchini Kwao Tunisia na kwa Mpira wao mkubwa wanaoucheza najua zikipungua sana ni Goli 7 au 9 Kudadadeki.
Popoma bado tu hujala ban huku....
 
Jana wakati tunaangalia mpira kati ya Horaya na Simba, nilimsikia mtu mmoja aliyewahi kuishi nchini Misri akisema kwamba mashabiki wa huko wanaungana kushangilia timu ya club ya nchini kwao inapocheza na timu kutoka nje bila kujali ushabiki wa club zao za ndani. Labda na sisi tunaanza kubadilika
Mtanzania sio wa kubadilika kirahisi,cc.Minocycline anashangaa yanga tutowazomea simba kwa matokeo ya jana na kuimbea yanga mabaya😀
 
Nimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona Kokote wakitucheka Simba SC kwa Kimoko cha Nguruwe tulichopigwa Jana huko nchini Guinea.

Na hii siyo Kawaida ya Watu wa Yanga SC ninaowajua Mimi je, ni kwanini wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kufungwa Goli Moja na Horoya FC nchini Guinea Jana?

Nawatakia kila la Kheri Watunisia leo huko nchini Kwao Tunisia na kwa Mpira wao mkubwa wanaoucheza najua zikipungua sana ni Goli 7 au 9 Kudadadeki.
Nilikuwa nawaza kitu kma hiki ndgu yangu, kumbe hata wewe huko uliko pamoja na kwamb tumefungwa kuna utulivu wa hali ya juu. Hamna wa kunicheka ila ikitokea washinde jioni..tutakoma!
 
Back
Top Bottom