Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

what if unakufa arife itakuwa bomba kweli maana tutapost kinoma jf..

Shindwa in the powerful name of Jesus Christ! I will die in the power of God only! Daaaa naogopa kufa mkuu kuna mengi nitayamis mkuu!
 
dah hiyo hatari my dear mimisa
ukiota kitu kama hicho uwe unaomba
na kuvunja nguvu za shetani,kemea pepo la kifo
pia washirikishe wachungaji ktk hili,huenda unaweza
kuzuia kifo kile kisitokee kwa maombi yako!!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa unaweza kuvunja hizo nguvu kwa jina la Yesu,na unapovunja hakikisha unataja watu wengi uwezavyo maana wkt mwingine ni mtu tofauti na uliyemuota!Hakika unaweza kuzuia!
 
asante sana makiangio
Ni kweli kabisa unaweza kuvunja hizo nguvu kwa jina la Yesu,na unapovunja hakikisha unataja watu wengi uwezavyo maana wkt mwingine ni mtu tofauti na uliyemuota!Hakika unaweza kuzuia!
 
Last edited by a moderator:
so sad! nimeshtuka sana kuuona uzi huu kwa wakati huu!!
 
pole kwa mambo hayo mdau. naomba nikuulize, wewe ni mwombaji? kwenu kuna mambo ya uganga uganga? ukinijibu ndo nitajaribu fafanua?
 
Na siku ukiota umepata pesa,mabilioni
utaamka na kupiga goti ukemee?
just asking
Jamani The Boss, nikiota hivyo naamka kumuomba Mungu itimie nakusema asante Yesu, tunakemea mabaya na tunashukru mazuri. hujasikia ile story ya mchungaji alikuwa akimuombea mtu mwenye mapepo, mapepo yakasema tumetumwa tumletee milion kumi mchungaji kusikia hivyo akabadili badala ya kusema pepo toka akasema tokeni kwake mje kwangu.
 
mimi sio mwombaji..familia yetu hakuna mambo ya uganga..ni wacha Mungu vizuri tu
pole kwa mambo hayo mdau. naomba nikuulize, wewe ni mwombaji? kwenu kuna mambo ya uganga uganga? ukinijibu ndo nitajaribu fafanua?
 
mimi sio mwombaji..familia yetu hakuna mambo ya uganga..ni wacha Mungu vizuri tu

nimesema hivyo kwa kuwa mtu ambaye ni mwombaji(prayer worrier) mara nyingi Mungu anamfunulia vitu vingi sana vya mbeleni hata vilivyopita. Mdogo wangu wa kike ana kipawa hichi na nimwombaji mzuri na amekuwa akitwambia mambo mbalimbali in our family. the most recent ni kifo cha kaka yetu mkubwa and it happened. Nimekutana naye wiki iliyopita akanambia kitu cha ukweli kinachotokea in my life ila mimi sikumwambia kuwa ni kweli ila nilijua ni kweli alichokisema. Kama mngekuwa na mambo ya kiuga uganga tungesema pia mikoba ya bibi inakuandama hiyo pia huwa inatokea.
 
Dada mimisa, Nianze kwa kukupa pole kwa aina ya ndoto unazoota na matokeo yake. Mimi naudhuria sana mahubiri ya baadhi ya watumishi wa Mungu, sio wote. Wakati fulani nilihudhuria mafundisho ya Mwalimu Mgisa Mtebe na Grace Kisuu. Katika mafundisho hayo walifundisha maana ya ndoto na jinsi ya kukabiliana na ndoto nzuri na mbaya. Nataka nikuambie mambo makuu mawili. 1. JITAHIDI UWE NA MAOMBI MAZITO YA USIKU(MIDNIGHT PRAYERS), HAKIKISHA UNAOMBA IPASAVYO KABLA HUJALALA NA UKIWEZA AMKA USIKU KWENYE SAA NANE UFANYE MAOMBI MAZITO, HASA UKIKEMEA NA KUKATAA KUOTA NDOTO MBAYA. 2. PINDI UNAPOOTA NA KUSHTUKA AMKA NA UANZE KUIKEMEA ILE NDOTO KATIKA JINA LA YESU KRISTO. IKATAE NA KUITUPA KUZIMU ILE NDOTO.
 
pole sana mimisa bila shaka umeshakwenda kumuona mchungaji au mtumishi wa mungu.
Alaf ukiwa unaota uwe una sali maana si kila ndoto ni mpango wa mungu pengine ni shetani tuuu.
 
Last edited by a moderator:
dreams can come from 3 sources:- God
- Satan
- Your flesh
When a dream is from God, it…
- Encourages
- Assures
- Comforts
- Directs
- Instructs
- Guides
- Corrects
- Reveals

When a dream is from the enemy, satan, it is
- Absurd
- Mysterious
- Unreasonable
- Confusing
- Terrifying
 
Jamani The Boss, nikiota hivyo naamka kumuomba Mungu itimie nakusema asante Yesu, tunakemea mabaya na tunashukru mazuri. hujasikia ile story ya mchungaji alikuwa akimuombea mtu mwenye mapepo, mapepo yakasema tumetumwa tumletee milion kumi mchungaji kusikia hivyo akabadili badala ya kusema pepo toka akasema tokeni kwake mje kwangu.

i see ..kwenye pesa hakuna mapepo naona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom