Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

asante sana my dia
dada mtoa mada pole sana muhimu mi naona ni kuswali sana kumuomba Mwenyezi Mungi akufanyie wepesi. Pili, jaribu kuwa BIZE sana ili ikiwezekana wakati unakwenda kulala uwe umechoka sana hii itakusaidia kwani ukiingia tu kulala unapatwa na usingizi, na kwa kuwa utakuwa umechoka sana naona itasaidia kukupa usingizi mzito sio wa mang'amung'amu tena. POLE SANA MY DEAR ni mitihani tu hiyo na ninamuomba Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na subira, na akuzidishie imani.
 
Usipatwe na uoga rafiki,i truly believe your so luck my dia,ila ukiota jaribu kusali ni kuipinga hiyo roho ya mauti kwa mtu husika uliemuotea then angalia nini kitatokea,unaposali sali kwa imani ukiamini hilo jambo halitatokea,hayo yanaitwa maono na few are blessed so be happy but do something my dia,usikae na kusikitika tu kusubiri habari mbaya.
 
karibu mwaya, ila pia, ikitokea unaota ndoto hizo, hapohapo ukishtuka tu sali muombe Mwenyezi Mingu akuodoshee na kukuepusha na shari ya ndoto hio ili ulale salama. Inshaallah mambo yatakuwa mazuri. tupo pamoja dada.
asante sana my dia
 
thank u PLL
Usipatwe na uoga rafiki,i truly believe your so luck my dia,ila ukiota jaribu kusali ni kuipinga hiyo roho ya mauti kwa mtu husika uliemuotea then angalia nini kitatokea,unaposali sali kwa imani ukiamini hilo jambo halitatokea,hayo yanaitwa maono na few are blessed so be happy but do something my dia,usikae na kusikitika tu kusubiri habari mbaya.
 
Last edited by a moderator:
Ablessed pepo?.Mungu wangu
Rafiki nisamehe kama nimekukwaza. Nilikua najaribu kuangalia tatizo lako nje ya box. Simaanishi lazima uwe na pepo , ushauri wangu ni kwamba ingefaa kama ungeenda kwenye huduma ya maombezi ili hiyo karama ikajaribiwa kama inatoka kwa Mungu au kwa yule muovu. Kumbuka tumeruhusiwa kuzijaribu roho. Nilitoa ushauri huo kutokana na uzoefu mdogo wa huduma , naweza kua nimekosea.
 
haukunikwaza my dia..sema nimeshtuka tu ulipotaja Pepo..nitazingatia ushauri wa maombi..shukran
Rafiki nisamehe kama nimekukwaza. Nilikua najaribu kuangalia tatizo lako nje ya box. Simaanishi lazima uwe na pepo , ushauri wangu ni kwamba ingefaa kama ungeenda kwenye huduma ya maombezi ili hiyo karama ikajaribiwa kama inatoka kwa Mungu au kwa yule muovu. Kumbuka tumeruhusiwa kuzijaribu roho. Nilitoa ushauri huo kutokana na uzoefu mdogo wa huduma , naweza kua nimekosea.
 
Ukiota kitu kibaya ina maana umepata privilege ya kufahamishwa mapema uovu ambao shetani is about to do so next time ukitokewa na hizo ndoto unaamka na kusali kwa kukemea roho ya mauti .

Ulishawahi sikia mtu kapata ajali mbaya na haikupelekea kifo chake?sometimes kuna watu hunyemelewa na umauti ambapo sio mpango wa Mungu na yamkini akitokea mtu wa kuikemea hiyo roho basi anaponea kwenye tundu la sindano.

Only believers will understand this
Una neema sana ya wokovu ila utadaiwa, hao wote hawakufa ndani ya mpango wa Mungu na ungewaombea japo kidogo tuu ungewaokoa na mauti kama wewe ni mkristo yakupasa usimame .
 
Bibie mimisa, naomba uniotee ccm itakuwaje kunako 2015? Nitakununulia pipi kijiti ukinipa jibu safi.
 
Last edited by a moderator:
hisia naona zina afadhali..maana ukigundua zinakuja haraka utakemea..ndoto,inakuja wakati ambao wewe hauwez ku control chochote.

muumba anakupa habari,kabla haijafika kwa wengine,ni watu wachache sana wenye hiyo karma jitahid usali sana ili usiletewe ujumbe mapema.kamuone sheik/mchungaji wako kwa maelezo zaid
 
asante kwa ushauri..nitawaona wachungaji
muumba anakupa habari,kabla haijafika kwa wengine,ni watu wachache sana wenye hiyo karma jitahid usali sana ili usiletewe ujumbe mapema.kamuone sheik/mchungaji wako kwa maelezo zaid
 
asante Loly..
Una neema sana ya wokovu ila utadaiwa, hao wote hawakufa ndani ya mpango wa Mungu na ungewaombea japo kidogo tuu ungewaokoa na mauti kama wewe ni mkristo yakupasa usimame .
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom