Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

Wana jamvi naandika hapa nikiwa na hofu na mashaka juu yangu mwenyewe..
hili jambo limekua likinitatiza sana..mwaka 2006,nikiwa shule niliota nyumbani tunalia,tumefiwa,haikuchukua hata wiki mbili..nikapigiwa simu kujulishwa msiba,bibi yangu mzaa mama amefariki..

Mwaka uliofuata nikaota mjomba wangu kafariki..wiki kadhaa baadae mtoto wa mjomba wangu nlomuota (binamu yangu sasa)alifariki kwa kupigwa na radi..nikaanza kujistukia lakini sikumuambia mtu..Mwaka jana niliota kuna msiba umetokea kwao my best frnd kabisa wa toka utoto (tumekua kama ndugu sasa)..haukupita muda,kaka yake akafariki..miezi miwili baada ya huo msiba,nikaota tena msiba tena..baba yake na my best huyo huyo akafariki..

Leo usiku,nimelala usingizi wa mang'amu ng'amu..nimeota niko msibani nalia..sasa hivi tuu nimepata ujumbe wa simu mjomba wa rafiki yangu (sio alofiwa na kaka na baba) amefariki..

Jamani ni nini hii?..wengine husema wakiota msiba maana yake ni jambo la heri mbona mm sio hivo?

Hapa sina amani..

Mimi pia ni kama wewe nilikuwa naota msiba na unatokea kweli, nilichofanya ni kwamba nikiota naamka nakemea pepo la mauti katika jina la Yesu, siku hizi imepungua hiyo hali naweza pitisha mwaka sijaota, ila nikiota tu Nikiamka napiga magoti nakemea hautokei msiba. Nakushauri ujitahidi kila ukiota amka ukemee.
 
to be honest sijafanyia maombi hii hali..nakua tu nahofu..ninapotaka kuomba juu ya hali hii mawazo ya vifo vya nyuma yanakuja..naishia kuogopa tu
some one told me,God has something special for me,spiritually,i have to be strong to save souls..but how?..mimi mwenyewe naogopa
My dear mimisa if you could only pray who knows may be you could save their lives yaani badala ya kukaa and waiting for whose next you can just play your part kama una kiimani japo kiduchu kama punje ya haradali and that dream will not come to reality
 
itabidi niwe naamka kwa maombi asee..nianze na kukemea hofu
Mimi pia ni kama wewe nilikuwa naota msiba na unatokea kweli, nilichofanya ni kwamba nikiota naamka nakemea pepo la mauti katika jina la Yesu, siku hizi imepungua hiyo hali naweza pitisha mwaka sijaota, ila nikiota tu Nikiamka napiga magoti nakemea hautokei msiba. Nakushauri ujitahidi kila ukiota amka ukemee.
 
Wana jamvi naandika hapa nikiwa na hofu na mashaka juu yangu mwenyewe..
hili jambo limekua likinitatiza sana..mwaka 2006,nikiwa shule niliota nyumbani tunalia,tumefiwa,haikuchukua hata wiki mbili..nikapigiwa simu kujulishwa msiba,bibi yangu mzaa mama amefariki..

Mwaka uliofuata nikaota mjomba wangu kafariki..wiki kadhaa baadae mtoto wa mjomba wangu nlomuota (binamu yangu sasa)alifariki kwa kupigwa na radi..nikaanza kujistukia lakini sikumuambia mtu..Mwaka jana niliota kuna msiba umetokea kwao my best frnd kabisa wa toka utoto (tumekua kama ndugu sasa)..haukupita muda,kaka yake akafariki..miezi miwili baada ya huo msiba,nikaota tena msiba tena..baba yake na my best huyo huyo akafariki..

Leo usiku,nimelala usingizi wa mang'amu ng'amu..nimeota niko msibani nalia..sasa hivi tuu nimepata ujumbe wa simu mjomba wa rafiki yangu (sio alofiwa na kaka na baba) amefariki..

Jamani ni nini hii?..wengine husema wakiota msiba maana yake ni jambo la heri mbona mm sio hivo?

Hapa sina amani..

Usihofu, hii ni kalama ambayo Mungu kakupa. Yaani unapewa taarifa kabla ya tukio. Kwa namna nyingine ungekuwa umefikisha kiwango cha juu cha maisha ya kiroho ungeitwa Nabii kwasababu ungekuwa unaona mambo memgi na makubwa kabla hayajatokea
 
usiogope maana wote tupo njia moja. bora wewe unaejua mapema nini kitatokea unapata hata muda wa kwenda saluni, wengine tunakurupushwa tu.
 
Usihofu, hii ni kalama ambayo Mungu kakupa. Yaani unapewa taarifa kabla ya tukio. Kwa namna nyingine ungekuwa umefikisha kiwango cha juu cha maisha ya kiroho ungeitwa Nabii kwasababu ungekuwa unaona mambo memgi na makubwa kabla hayajatokea
ingebidi amshukuru mungu na afurahie jambo hilo.
 
thank u ndetichia..but,we dont choose what to dream about

wanasaikolojia wanasema ndoto ni yale mambo uliyoyawaza au kuyafanya mchana na inatokea ubongo kuyakumbuka ndio wewe sasa unaota..
 
Last edited by a moderator:
...muombe Mungu,acha hofu ni dhambi...
 
Haya mambo ya kawaida sana, wala msohofu mie pia nina ya kwangu ila nimeshayazoea kabisaa!
Kwa kifupi haya ndio maono yenyewe sasa! you so much lucky kuwa hv! nawa-admire kichizi!

mh! Yanatesa ujue! Mana kama mim cku ikitokea nadondosha vi2 hovyo,mara nimeshika peni imedondoka,mara nimeshika gras nimevunja,nikitembea kdogo najikwaa! Yan kesh yake lazima taarifa mbaya inifikie loh! Sipend hata kdg!
 
Mi mama yangu, baba alishamwambia akiota baya kuhusu yeye akae kimya asiseme. Anaota mengi, mengine yanatokea hivyo hivyo 100% mengine kunakuwa na tofauti kidogo. Wakati mwingine unaweza kukasirika akiwambia ameota kitu ambacho wewe unatamani iwe tofauti. Zingine huota hata baada ya mwaka ndo hutimia. I think it is a gift.
 
Kuota jambo likatokea ni kipaji ambacho sio kila mtu anacho wewe unakumbuka misiba tu but kiukweli huwa unaota vitu viingi ambavyo wewe ukiamka hukumbuki au hu pay attention Wengine kama wewe hujifanya waganga wa kienyeji au watabiri mimi ushauri wangu pay more attention na ndoto zako lazima unaota pia mambo meengi mazuri ila hu pay attention ni ulinzi umepewa ili ukusaidie kutambua mambo uki pay attention utaweza kuwatambua wachawi,matapeli wauaji waongo na kadhalika just pay attention kila ukiamka asubuhi jaribu kukumbuka ulichokiota halafu uone
 
Nafikiri ni kawaida sali zaidi unapopata ishara kabla jambo halijatokea
 
hisia naona zina afadhali..maana ukigundua zinakuja haraka utakemea..ndoto,inakuja wakati ambao wewe hauwez ku control chochote.

pole aisee! Cjui ni nini jaribu kwenda kwa mchungaji yes kama ulivyoshauriwa ati itakusaidia!
 
Mimi pia ni kama wewe nilikuwa naota msiba na unatokea kweli, nilichofanya ni kwamba nikiota naamka nakemea pepo la mauti katika jina la Yesu, siku hizi imepungua hiyo hali naweza pitisha mwaka sijaota, ila nikiota tu Nikiamka napiga magoti nakemea hautokei msiba. Nakushauri ujitahidi kila ukiota amka ukemee.

Na siku ukiota umepata pesa,mabilioni
utaamka na kupiga goti ukemee?
just asking
 
Wana jamvi naandika hapa nikiwa na hofu na mashaka juu yangu mwenyewe..
hili jambo limekua likinitatiza sana..mwaka 2006,nikiwa shule niliota nyumbani tunalia,tumefiwa,haikuchukua hata wiki mbili..nikapigiwa simu kujulishwa msiba,bibi yangu mzaa mama amefariki..

Mwaka uliofuata nikaota mjomba wangu kafariki..wiki kadhaa baadae mtoto wa mjomba wangu nlomuota (binamu yangu sasa)alifariki kwa kupigwa na radi..nikaanza kujistukia lakini sikumuambia mtu..Mwaka jana niliota kuna msiba umetokea kwao my best frnd kabisa wa toka utoto (tumekua kama ndugu sasa)..haukupita muda,kaka yake akafariki..miezi miwili baada ya huo msiba,nikaota tena msiba tena..baba yake na my best huyo huyo akafariki..

Leo usiku,nimelala usingizi wa mang'amu ng'amu..nimeota niko msibani nalia..sasa hivi tuu nimepata ujumbe wa simu mjomba wa rafiki yangu (sio alofiwa na kaka na baba) amefariki..

Jamani ni nini hii?..wengine husema wakiota msiba maana yake ni jambo la heri mbona mm sio hivo?

Hapa sina amani..
Mbeba maono!
 
shukrani..ila nabii ni mtu aonae mambo mbali mbali na yakatimia right?..sasa mimi naota vifo tu ndivo vinakua vinatokea
Usihofu, hii ni kalama ambayo Mungu kakupa. Yaani unapewa taarifa kabla ya tukio. Kwa namna nyingine ungekuwa umefikisha kiwango cha juu cha maisha ya kiroho ungeitwa Nabii kwasababu ungekuwa unaona mambo memgi na makubwa kabla hayajatokea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom