Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

mimisa

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
2,511
Reaction score
1,441
Wana jamvi naandika hapa nikiwa na hofu na mashaka juu yangu mwenyewe..
hili jambo limekua likinitatiza sana..mwaka 2006,nikiwa shule niliota nyumbani tunalia,tumefiwa,haikuchukua hata wiki mbili..nikapigiwa simu kujulishwa msiba,bibi yangu mzaa mama amefariki..

Mwaka uliofuata nikaota mjomba wangu kafariki..wiki kadhaa baadae mtoto wa mjomba wangu nlomuota (binamu yangu sasa)alifariki kwa kupigwa na radi..nikaanza kujistukia lakini sikumuambia mtu..Mwaka jana niliota kuna msiba umetokea kwao my best frnd kabisa wa toka utoto (tumekua kama ndugu sasa)..haukupita muda,kaka yake akafariki..miezi miwili baada ya huo msiba,nikaota tena msiba tena..baba yake na my best huyo huyo akafariki..

Leo usiku,nimelala usingizi wa mang'amu ng'amu..nimeota niko msibani nalia..sasa hivi tuu nimepata ujumbe wa simu mjomba wa rafiki yangu (sio alofiwa na kaka na baba) amefariki..

Jamani ni nini hii?..wengine husema wakiota msiba maana yake ni jambo la heri mbona mm sio hivo?

Hapa sina amani..
 
Ujue israel mtoa roho anakunyemelea, jaribu tizama mwenendo wako. an uje ufanyiwe maombi.
 
Israel atatuchua wote kila mmoja kwa wakati wake..mie hii hali sasa naiogopa sana..sijui ni kwa nn mie
Ujue israel mtoa roho anakunyemelea, jaribu tizama mwenendo wako. an uje ufanyiwe maombi.
 
wana jamvi naandika hapa nikiwa na hofu na mashaka juu yangu mwenyewe..
Hili jambo limekua likinitatiza sana..mwaka 2006,nikiwa shule niliota nyumbani tunalia,tumefiwa,haikuchukua hata wiki mbili..nikapigiwa simu kujulishwa msiba,bibi yangu mzaa mama amefariki..

Mwaka uliofuata nikaota mjomba wangu kafariki..wiki kadhaa baadae mtoto wa mjomba wangu nlomuota (binamu yangu sasa)alifariki kwa kupigwa na radi..nikaanza kujistukia lakini sikumuambia mtu..mwaka jana niliota kuna msiba umetokea kwao my best frnd kabisa wa toka utoto (tumekua kama ndugu sasa)..haukupita muda,kaka yake akafariki..miezi miwili baada ya huo msiba,nikaota tena msiba tena..baba yake na my best huyo huyo akafariki..

Leo usiku,nimelala usingizi wa mang'amu ng'amu..nimeota niko msibani nalia..sasa hivi tuu nimepata ujumbe wa simu mjomba wa rafiki yangu (sio alofiwa na kaka na baba) amefariki..

Jamani ni nini hii?..wengine husema wakiota msiba maana yake ni jambo la heri mbona mm sio hivo?

Hapa sina amani..

ooohoooo israeli huyo anakunyemelea.....siku si nyingi utakuwa ni wewe mwenyewe
 
Siku ukiota umekufa anza kuandaa wosia ili kuondoa ugomvi kwa ndugu.
 
Ukiota kitu kibaya ina maana umepata privilege ya kufahamishwa mapema uovu ambao shetani is about to do so next time ukitokewa na hizo ndoto unaamka na kusali kwa kukemea roho ya mauti .

Ulishawahi sikia mtu kapata ajali mbaya na haikupelekea kifo chake?sometimes kuna watu hunyemelewa na umauti ambapo sio mpango wa Mungu na yamkini akitokea mtu wa kuikemea hiyo roho basi anaponea kwenye tundu la sindano.

Only believers will understand this
 
pole sana hivyo vitu vipo na sijui inasababishwa na nini ukiota kitu kinatokea.

labda wachungaji wanaweza kusaidia au waganga wa kienyeji au mtabiri
 
asante kashesho..itabidi nikamuelezee mchungaji wangu..hii hali ishaanza kuninyima raha sana
pole sana hivyo vitu vipo na sijui inasababishwa na nini ukiota kitu kinatokea.

labda wachungaji wanaweza kusaidia au waganga wa kienyeji au mtabiri
 
Last edited by a moderator:
Hauko peke yako,ila mi kwangu tofauti c ndoto bali mawazo na hisia,nikiwaza ki2 flani lazma kitokee au nikihisi jambo lazima liwe linafanyika Kwa wakati huo,yan hadi ishara sometms! nikagundua njia ni moja tu kutoruhusu mawazo mabaya kichwani kwangu na endapo inatokea mawazo mabaya yananijia ghafla fasta nawahi kumwomba mungu ayaondoe ama kuyabadili! Ila had sasa huwa sijui kwanini inakuwaga hvyo labda kuna wataalam wa mambo haya 2wasubiri watueleze mana inakosesha amani!
 
pole my dia mimisa

This happens to me too and sometimes it kinda freaks me out!!!
 
Last edited by a moderator:
thanks..ila inaniumiza..maana nikiota nakaa nawaza sana..
saiv nakua na hofu,nafikiria who is next..natamani hii hali ikome
Ukiota kitu kibaya ina maana umepata privilege ya kufahamishwa mapema uovu ambao shetani is about to do so next time ukitokewa na hizo ndoto unaamka na kusali kwa kukemea roho ya mauti .

Ulishawahi sikia mtu kapata ajali mbaya na haikupelekea kifo chake?sometimes kuna watu hunyemelewa na umauti ambapo sio mpango wa Mungu na yamkini akitokea mtu wa kuikemea hiyo roho basi anaponea kwenye tundu la sindano.

Only believers will understand this
 
hisia naona zina afadhali..maana ukigundua zinakuja haraka utakemea..ndoto,inakuja wakati ambao wewe hauwez ku control chochote.
Hauko peke yako,ila mi kwangu tofauti c ndoto bali mawazo na hisia,nikiwaza ki2 flani lazma kitokee au nikihisi jambo lazima liwe linafanyika Kwa wakati huo,yan hadi ishara sometms! nikagundua njia ni moja tu kutoruhusu mawazo mabaya kichwani kwangu na endapo inatokea mawazo mabaya yananijia ghafla fasta nawahi kumwomba mungu ayaondoe ama kuyabadili! Ila had sasa huwa sijui kwanini inakuwaga hvyo labda kuna wataalam wa mambo haya 2wasubiri watueleze mana inakosesha amani!
 
Wana jamvi naandika hapa nikiwa na hofu na mashaka juu yangu mwenyewe..
hili jambo limekua likinitatiza sana..mwaka 2006,nikiwa shule niliota nyumbani tunalia,tumefiwa,haikuchukua hata wiki mbili..nikapigiwa simu kujulishwa msiba,bibi yangu mzaa mama amefariki..

Mwaka uliofuata nikaota mjomba wangu kafariki..wiki kadhaa baadae mtoto wa mjomba wangu nlomuota (binamu yangu sasa)alifariki kwa kupigwa na radi..nikaanza kujistukia lakini sikumuambia mtu..Mwaka jana niliota kuna msiba umetokea kwao my best frnd kabisa wa toka utoto (tumekua kama ndugu sasa)..haukupita muda,kaka yake akafariki..miezi miwili baada ya huo msiba,nikaota tena msiba tena..baba yake na my best huyo huyo akafariki..

Leo usiku,nimelala usingizi wa mang'amu ng'amu..nimeota niko msibani nalia..sasa hivi tuu nimepata ujumbe wa simu mjomba wa rafiki yangu (sio alofiwa na kaka na baba) amefariki..

Jamani ni nini hii?..wengine husema wakiota msiba maana yake ni jambo la heri mbona mm sio hivo?

Hapa sina amani..

Hauko peke yako,ila mi kwangu tofauti c ndoto bali mawazo na hisia,nikiwaza ki2 flani lazma kitokee au nikihisi jambo lazima liwe linafanyika Kwa wakati huo,yan hadi ishara sometms! nikagundua njia ni moja tu kutoruhusu mawazo mabaya kichwani kwangu na endapo inatokea mawazo mabaya yananijia ghafla fasta nawahi kumwomba mungu ayaondoe ama kuyabadili! Ila had sasa huwa sijui kwanini inakuwaga hvyo labda kuna wataalam wa mambo haya 2wasubiri watueleze mana inakosesha amani!

Haya mambo ya kawaida sana, wala msohofu mie pia nina ya kwangu ila nimeshayazoea kabisaa!
Kwa kifupi haya ndio maono yenyewe sasa! you so much lucky kuwa hv! nawa-admire kichizi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom