Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

ts a gift Yes..but kama ni juu ya kifo,inatiisha double R
Mi mama yangu, baba alishamwambia akiota baya kuhusu yeye akae kimya asiseme. Anaota mengi, mengine yanatokea hivyo hivyo 100% mengine kunakuwa na tofauti kidogo. Wakati mwingine unaweza kukasirika akiwambia ameota kitu ambacho wewe unatamani iwe tofauti. Zingine huota hata baada ya mwaka ndo hutimia. I think it is a gift.
 
Last edited by a moderator:
asante The Boss..sikumbuki kama nishawahi kuota kitu tofauti na kikatokea..maybe kwa kua siku pay attention..
Kuota jambo likatokea ni kipaji ambacho sio kila mtu anacho wewe unakumbuka misiba tu but kiukweli huwa unaota vitu viingi ambavyo wewe ukiamka hukumbuki au hu pay attention Wengine kama wewe hujifanya waganga wa kienyeji au watabiri mimi ushauri wangu pay more attention na ndoto zako lazima unaota pia mambo meengi mazuri ila hu pay attention ni ulinzi umepewa ili ukusaidie kutambua mambo uki pay attention utaweza kuwatambua wachawi,matapeli wauaji waongo na kadhalika just pay attention kila ukiamka asubuhi jaribu kukumbuka ulichokiota halafu uone
 
Last edited by a moderator:
Basi mie najua ukiota Msiba eti inakuwa harusi na ukiota harusi inakuwa Msiba

Mie huwa nikikaa mara mwili ukinisisimka ghafla na kuishiwa nguvu ,najua kuna taarifa mbaya inanijia ,Na sometimes nikiota niko harusini tunakula chakula cochote na nyama ikiwepo inakuwa msiba ..lakini baadae najipa moyo tu kuwa labda ni ndoto tu..
 
Ukiota kitu kibaya ina maana umepata privilege ya kufahamishwa mapema uovu ambao shetani is about to do so next time ukitokewa na hizo ndoto unaamka na kusali kwa kukemea roho ya mauti .

Ulishawahi sikia mtu kapata ajali mbaya na haikupelekea kifo chake?sometimes kuna watu hunyemelewa na umauti ambapo sio mpango wa Mungu na yamkini akitokea mtu wa kuikemea hiyo roho basi anaponea kwenye tundu la sindano.

Only believers will understand this

very true!
 
wengi husema hivo..kua ukiota msiba ni kinyume chake..ila kwangu ni tofauti..
Basi mie najua ukiota Msiba eti inakuwa harusi na ukiota harusi inakuwa Msiba

Mie huwa nikikaa mara mwili ukinisisimka ghafla na kuishiwa nguvu ,najua kuna taarifa mbaya inanijia ,Na sometimes nikiota niko harusini tunakula chakula cochote na nyama ikiwepo inakuwa msiba ..lakini baadae najipa moyo tu kuwa labda ni ndoto tu..
 
ts a gift Yes..but kama ni juu ya kifo,inatiisha double R
Nakubaliana na wewe inatisha. Kwa sababu hata yeye akiota mtu kafa huwa anasali na hukemea na husema kama ni mapenzi Mungu yatimizwe. Kuna siku aliota mimi nimekufa alisali lakini kile kifo kilimtokea mtu mwingine wa karibu yangu. Aliota hadi mdogo wake alipokufa na asubuhi wakatutaarifu amekufa. Nadhani hizi za vifo hazisemi mara nyingi kama zingine ila huwa anasali hata ndoto nzuri.
 
roho wa bwana yu juu yake asee..na hapa nimejifunza tena kua maombi ni kitu Muhimu sana
Nakubaliana na wewe inatisha. Kwa sababu hata yeye akiota mtu kafa huwa anasali na hukemea na husema kama ni mapenzi Mungu yatimizwe. Kuna siku aliota mimi nimekufa alisali lakini kile kifo kilimtokea mtu mwingine wa karibu yangu. Aliota hadi mdogo wake alipokufa na asubuhi wakatutaarifu amekufa. Nadhani hizi za vifo hazisemi mara nyingi kama zingine ila huwa anasali hata ndoto nzuri.
 
My dear pole sana nakushauri umuombe Mungu kwa Imani yako ikiwezekana shirikisha watu msali pamoja na kufunga kama unaweza naamini hizo ndoto zitakwisha...pole sana.
 
asante sana ma dia
My dear pole sana nakushauri umuombe Mungu kwa Imani yako ikiwezekana shirikisha watu msali pamoja na kufunga kama unaweza naamini hizo ndoto zitakwisha...pole sana.
 
Wana jamvi naandika hapa nikiwa na hofu na mashaka juu yangu mwenyewe..
hili jambo limekua likinitatiza sana..mwaka 2006,nikiwa shule niliota nyumbani tunalia,tumefiwa,haikuchukua hata wiki mbili..nikapigiwa simu kujulishwa msiba,bibi yangu mzaa mama amefariki..

Mwaka uliofuata nikaota mjomba wangu kafariki..wiki kadhaa baadae mtoto wa mjomba wangu nlomuota (binamu yangu sasa)alifariki kwa kupigwa na radi..nikaanza kujistukia lakini sikumuambia mtu..Mwaka jana niliota kuna msiba umetokea kwao my best frnd kabisa wa toka utoto (tumekua kama ndugu sasa)..haukupita muda,kaka yake akafariki..miezi miwili baada ya huo msiba,nikaota tena msiba tena..baba yake na my best huyo huyo akafariki..

Leo usiku,nimelala usingizi wa mang'amu ng'amu..nimeota niko msibani nalia..sasa hivi tuu nimepata ujumbe wa simu mjomba wa rafiki yangu (sio alofiwa na kaka na baba) amefariki..

Jamani ni nini hii?..wengine husema wakiota msiba maana yake ni jambo la heri mbona mm sio hivo?

Hapa sina amani..

Sali sana na fanya maombi....Huenda roho ya mauti inakuandama..
 
kweli Bar pakiwa na wahudumu wa kiume hukai dakika nyingi...asante asigwa
Kwa nini usimuote yule naniliu wa pale LUMUMBA ili iwe kweli banaa........
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom