Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

thank u so much Heaven on earth..it isnt easy dealing with this situation asee.
wish mngejua how i feel now

najaribu kusali usiku,kuomba dua wakati nalala
nisiote those kind of dreams.......,

nimeota mambo mengi ila kuna hili jambo niliota
then likaja kutokea kweli linaniumizaga sana,it has affected me so much.....
 
pole sana,
"itakuwa ni siku za mwisho, asema bwana Mungu; nitawamwagia watu wangu, roho yangu. na wane wenu na binti zenu watatabiri, na watoto wenu wataona maono na wazee wenu wataota ndoto"
 
Wana jamvi naandika hapa nikiwa na hofu na mashaka juu yangu mwenyewe..
hili jambo limekua likinitatiza sana..mwaka 2006,nikiwa shule niliota nyumbani tunalia,tumefiwa,haikuchukua hata wiki mbili..nikapigiwa simu kujulishwa msiba,bibi yangu mzaa mama amefariki..

Mwaka uliofuata nikaota mjomba wangu kafariki..wiki kadhaa baadae mtoto wa mjomba wangu nlomuota (binamu yangu sasa)alifariki kwa kupigwa na radi..nikaanza kujistukia lakini sikumuambia mtu..Mwaka jana niliota kuna msiba umetokea kwao my best frnd kabisa wa toka utoto (tumekua kama ndugu sasa)..haukupita muda,kaka yake akafariki..miezi miwili baada ya huo msiba,nikaota tena msiba tena..baba yake na my best huyo huyo akafariki..

Leo usiku,nimelala usingizi wa mang'amu ng'amu..nimeota niko msibani nalia..sasa hivi tuu nimepata ujumbe wa simu mjomba wa rafiki yangu (sio alofiwa na kaka na baba) amefariki..

Jamani ni nini hii?..wengine husema wakiota msiba maana yake ni jambo la heri mbona mm sio hivo?

Hapa sina amani..

you are good predictor gal.. naomba uote tanznia rushwa imeisha ili tuwena maisha mazuri..
 
Kaunga,naamini maandiko yanatimia..lakini mimi ni binti tuu..na neno linasema wazee wataota ndoto
afu aina hii ya ndoto inanitesa ss..nashinindwa kuzuia kuifikiria familia yangu
pole sana,
"itakuwa ni siku za mwisho, asema bwana Mungu; nitawamwagia watu wangu, roho yangu. na wane wenu na binti zenu watatabiri, na watoto wenu wataona maono na wazee wenu wataota ndoto"
 
Last edited by a moderator:
Ni kwel hii huwa inatokea,mfano mi nikiwa nikaa nawaza kitu mara wazo hunijia kwamba fulani anakuja sasa hivi na kwel haipiti dakika kumi anakuja na ni yule yule ambaye nilikuwa namuwazia.ama nikiota kuwa mtu amekufa wa familia yangu,basi hutokea keshi yake katika jamaa am rafiki ama wafanyakazi wenzangu.mfano juzi nimeota dada yangu kafariki na tunamlilia kabisa kesho yake nikapata taarifa za msiba wa mama yake rafiki yangu.hii ni hatar siku hizi huwa nikiota vifo amatu kapigwa ama ajali basi nackia moja ya jamaa zangu kwel imewatokea hii
 
mimisa rafiki...msome huyu best hapa, binafsi ninaamini kakueleza vyema!

Ukiota kitu kibaya ina maana umepata privilege ya kufahamishwa mapema uovu ambao shetani is about to do so next time ukitokewa na hizo ndoto unaamka na kusali kwa kukemea roho ya mauti .

Ulishawahi sikia mtu kapata ajali mbaya na haikupelekea kifo chake?sometimes kuna watu hunyemelewa na umauti ambapo sio mpango wa Mungu na yamkini akitokea mtu wa kuikemea hiyo roho basi anaponea kwenye tundu la sindano.

Only believers will understand this
 
Last edited by a moderator:
thanks for sharing that..naamini unaweza imagin vile ninavojiskia..inasumbua sana moyo na mawazo
Ni kwel hii huwa inatokea,mfano mi nikiwa nikaa nawaza kitu mara wazo hunijia kwamba fulani anakuja sasa hivi na kwel haipiti dakika kumi anakuja na ni yule yule ambaye nilikuwa namuwazia.ama nikiota kuwa mtu amekufa wa familia yangu,basi hutokea keshi yake katika jamaa am rafiki ama wafanyakazi wenzangu.mfano juzi nimeota dada yangu kafariki na tunamlilia kabisa kesho yake nikapata taarifa za msiba wa mama yake rafiki yangu.hii ni hatar siku hizi huwa nikiota vifo amatu kapigwa ama ajali basi nackia moja ya jamaa zangu kwel imewatokea hii
 
Wana jamvi naandika hapa nikiwa na hofu na mashaka juu yangu mwenyewe..
hili jambo limekua likinitatiza sana..mwaka 2006,nikiwa shule niliota nyumbani tunalia,tumefiwa,haikuchukua hata wiki mbili..nikapigiwa simu kujulishwa msiba,bibi yangu mzaa mama amefariki..

Mwaka uliofuata nikaota mjomba wangu kafariki..wiki kadhaa baadae mtoto wa mjomba wangu nlomuota (binamu yangu sasa)alifariki kwa kupigwa na radi..nikaanza kujistukia lakini sikumuambia mtu..Mwaka jana niliota kuna msiba umetokea kwao my best frnd kabisa wa toka utoto (tumekua kama ndugu sasa)..haukupita muda,kaka yake akafariki..miezi miwili baada ya huo msiba,nikaota tena msiba tena..baba yake na my best huyo huyo akafariki..

Leo usiku,nimelala usingizi wa mang'amu ng'amu..nimeota niko msibani nalia..sasa hivi tuu nimepata ujumbe wa simu mjomba wa rafiki yangu (sio alofiwa na kaka na baba) amefariki..

Jamani ni nini hii?..wengine husema wakiota msiba maana yake ni jambo la heri mbona mm sio hivo?

Hapa sina amani..
Dada habari? hiyo simple Nasema.... " Nabii Daudi " na " Nabii Yousuf " wanusia utoe SADAKA mara nyingi.... in-shaAllah tatizo hilo litaondoka na woga uliokuingia utatoweka. AMIN
 
Kuna kanisa linashugulika sana na ndoto kanisa la ufufuo na uzima pale utapata uponyaji wa ilo tatizo ndugu.
 
Hayo ni maono yapo kwa kila mtu isipokuwa wengine huonyeshwa moja kwa moja na wengine kwa mafumbo ambapo ni vigumu kuelewa kwa akili za kawaida. Unachotakiwa kufanya ni kuvunja ndoto mbaya kwa jina la Yesu Kristo ili zishindwe kuharibu na kwa ndoto njema ni kuziombea kwa jina la Yesu Kristo ili ziwe kama zilivyokusudiwa. Yapo maono ya aina nyingi, wakati mwingine unaweza kusita kupanda gari fulani baadaye ukasikia limepata ajali mbaya sana. Roho Mtakatifu yupo na anafanya kazi kama ukimkaribisha kwenye maisha yako na kumruhusu akuongoze. Kumkaribisha kwa kutenda na kudumu sawasawa na Mungu anavyotaka.
 
Last edited by a moderator:
asante mkuu..naamini katika la Yesu..
lakini,wakat mwingi napatwa na hofu,naanza kujiuliza itakuaje nikimuota huyu,yule nk...inanisumbua
Hayo ni maono yapo kwa kila mtu isipokuwa wengine huonyeshwa moja kwa moja na wengine kwa mafumbo ambapo ni vigumu kuelewa kwa akili za kawaida. Unachotakiwa kufanya ni kuvunja ndoto mbaya kwa jina la Yesu Kristo ili zishindwe kuharibu na kwa ndoto njema ni kuziombea kwa jina la Yesu Kristo ili ziwe kama zilivyokusudiwa. Yapo maono ya aina nyingi, wakati mwingine unaweza kusita kupanda gari fulani baadaye ukasikia limepata ajali mbaya sana. Roho Mtakatifu yupo na anafanya kazi kama ukimkaribisha kwenye maisha yako na kumruhusu akuongoze. Kumkaribisha kwa kutenda na kudumu sawasawa na Mungu anavyotaka.
 
thanks..ila inaniumiza..maana nikiota nakaa nawaza sana..
saiv nakua na hofu,nafikiria who is next..natamani hii hali ikome

My dear mimisa if you could only pray who knows may be you could save their lives yaani badala ya kukaa and waiting for whose next you can just play your part kama una kiimani japo kiduchu kama punje ya haradali and that dream will not come to reality
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom