Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

Nikiota msiba,haichukui muda unatokea..

ww nitakushauri mimi..kila siku lala umevaa pampas

kuna siku tumbo lilifuluga nikaota usiku nakata gogo nilikuwa nyumbani kwa nyumba ndogo wacha niharibu mashuka nikamdanganya popobawa kanipitia hane
 
ukitaka kupinga hicho kitu kisitokee je unaweza kufanya hivyo?,inawezekana una nguvu usizojua kama unazo,jaribu ufanye hivyo ukiweza kuvizuia hivyo vitu visitokee utaweza kuokoa mambo mengi sana mkuu.
 
asante sana mkuu

Mimisa usiogope wala kukosa raha, kama ulishasikia kuhusu habari ya maono, ni watu wachache sana wana hiyo bahati ya kuonyeshwa mambo yatakayotokea, sema hujajua maana ya wewe kuota hilo jambo, lengo kubwa la wewe kuona ni kusimama na kuliombea hilo jambo lisitokee, i can tell you mimisa, mimi pia nikiwa na umri wa miaka15 hadi 18 ilikuwa inatokea sana na ndugu zangu wengi walokufa kipindi hiki niliota kabisa lakini kulingana na imani niliolelewa nilijifunza tangu nikiwa mdogo japo kwa mwanzo nilikuwa sitamani kuota ila ilikuwa nachokiota ni lazma kitatokea kama nilivoota, lakini nilianza kumshirikisha baba yangu tukawa tunaomba pamoja na baadae nikaja kujifunza baada ya kumfwatilia mtumishi wa Mungu T.B. Joshua, yeye huwa anaonyeshwa mazuri na mabaya, lakini kwa yale mabaya huliambia kanisa tuombe rehema za Mungu kwa ajili ya jambo flani, na kweli kile alichosema utakuta mfano kama alisema anaoona baloon/ ndege inapata shida angani inatafuta sehemu ya kuland, atataja na nchi husika. next kwenye CNN utaona wanatangaza kuna ndege so n so ilipata shida lakini wamefanikiwa kuokolewa na hakuna aliyekufa.

hapo nataka nikwambie, umepata previllage ya kupewa taarifa kwa ajili ya mambo yajayo, hivyo ukiota ndoto kama hizo na ukakosa amani moyoni kuhusu hiyo ndoto, shirikisha watumishi wa Mungu muombe pamoja kuzuia hilo jambo lisitokee. na ukisimama vizuri na Mungu utakuwa unapa taarifa ya mambo mengi mchanganyiko na sio vifo pkee.

Naungana na Toria, only belivers will understand this .
 
muombe tu Mungu,huenda unatakiwa kuwaombea wengine wasipatwe na vifo,sasa badala ya kusimama ktk nafasi yako unaanza kuona hofu,...simama tu
Wana jamvi naandika hapa nikiwa na hofu na mashaka juu yangu mwenyewe..
hili jambo limekua likinitatiza sana..mwaka 2006,nikiwa shule niliota nyumbani tunalia,tumefiwa,haikuchukua hata wiki mbili..nikapigiwa simu kujulishwa msiba,bibi yangu mzaa mama amefariki..

Mwaka uliofuata nikaota mjomba wangu kafariki..wiki kadhaa baadae mtoto wa mjomba wangu nlomuota (binamu yangu sasa)alifariki kwa kupigwa na radi..nikaanza kujistukia lakini sikumuambia mtu..Mwaka jana niliota kuna msiba umetokea kwao my best frnd kabisa wa toka utoto (tumekua kama ndugu sasa)..haukupita muda,kaka yake akafariki..miezi miwili baada ya huo msiba,nikaota tena msiba tena..baba yake na my best huyo huyo akafariki..

Leo usiku,nimelala usingizi wa mang'amu ng'amu..nimeota niko msibani nalia..sasa hivi tuu nimepata ujumbe wa simu mjomba wa rafiki yangu (sio alofiwa na kaka na baba) amefariki..

Jamani ni nini hii?..wengine husema wakiota msiba maana yake ni jambo la heri mbona mm sio hivo?

Hapa sina amani..
 
kama sheikh yahya tena?..aah hapana
Yani tafuta mtu mwenye ujuzi wa vitu hivyo, ili akusaidie uweze kucontrol vitu unavyoota, inawezekana ukawa mtabiri mzuri sana kama marehem sheikh yahya
 
asante Luggy
muombe tu Mungu,huenda unatakiwa kuwaombea wengine wasipatwe na vifo,sasa badala ya kusimama ktk nafasi yako unaanza kuona hofu,...simama tu
 
Last edited by a moderator:
thank u..am a bealiver too..tho nahisi imani yangu haijafikia chembe ya haladari
Mimisa usiogope wala kukosa raha, kama ulishasikia kuhusu habari ya maono, ni watu wachache sana wana hiyo bahati ya kuonyeshwa mambo yatakayotokea, sema hujajua maana ya wewe kuota hilo jambo, lengo kubwa la wewe kuona ni kusimama na kuliombea hilo jambo lisitokee, i can tell you mimisa, mimi pia nikiwa na umri wa miaka15 hadi 18 ilikuwa inatokea sana na ndugu zangu wengi walokufa kipindi hiki niliota kabisa lakini kulingana na imani niliolelewa nilijifunza tangu nikiwa mdogo japo kwa mwanzo nilikuwa sitamani kuota ila ilikuwa nachokiota ni lazma kitatokea kama nilivoota, lakini nilianza kumshirikisha baba yangu tukawa tunaomba pamoja na baadae nikaja kujifunza baada ya kumfwatilia mtumishi wa Mungu T.B. Joshua, yeye huwa anaonyeshwa mazuri na mabaya, lakini kwa yale mabaya huliambia kanisa tuombe rehema za Mungu kwa ajili ya jambo flani, na kweli kile alichosema utakuta mfano kama alisema anaoona baloon/ ndege inapata shida angani inatafuta sehemu ya kuland, atataja na nchi husika. next kwenye CNN utaona wanatangaza kuna ndege so n so ilipata shida lakini wamefanikiwa kuokolewa na hakuna aliyekufa.

hapo nataka nikwambie, umepata previllage ya kupewa taarifa kwa ajili ya mambo yajayo, hivyo ukiota ndoto kama hizo na ukakosa amani moyoni kuhusu hiyo ndoto, shirikisha watumishi wa Mungu muombe pamoja kuzuia hilo jambo lisitokee. na ukisimama vizuri na Mungu utakuwa unapa taarifa ya mambo mengi mchanganyiko na sio vifo pkee.

Naungana na Toria, only belivers will understand this .
 
nitamshukuru Mungu..lakini kua ka shekhe yahaya..hapana mkuu
We kataa lakn ndo hali halisi, unaweza kusaidia watu wengi, siku ukiota unakufa ww, utafanyaje?
 
thank u..am a bealiver too..tho nahisi imani yangu haijafikia chembe ya haladari

only god knows the plan he has for you, huwezi jua Amekupangia nn na anataka umtumikiaje? soln ni prayer agaist the bad vision.
 
Usihofu, kuna watu wanaota ndoto zinakuwa za kweli na wengine zinakuwa za uongo au ni opposite kwa ile ndoto. Hiyo ni strength kwako. Vipi na ndoto nyingine ukiacha za msiba unaota? Na majibu yake unayapata? Unajua wewe unalalamika ndoto ila kuna wengine pia wakisema jambo huwa linatimia. Mimi binafsi nikisema jambo kwa kudhamiria huwa linatimia hasa la kama nimeonewa!!!! Kwa mfano ukinidhulumu mali yangu na kama ni kweli na ikifikia mwoshowe nikakuambia kuwa sitakudai tena ila itapeperuka kama upepo, na itatokea kweli. Kama ni jambo jema pia ninataka kumwomba Mungu anifanyie nikiaminia huwa linatokea. Kwa hiyo huwa mara nyingi najitahidi sana kuchunga ulimi wangu pale ninapopata hasira ya jambo la mtu kuniudhi au kunidhulumu maana nikitamka haipiti muda inaanza kutumia. Kwa mantiki hii binadamu kila mtu ana kitu ambacho kipo kwenye asili yake. Cha msingi pia omba Mungu na tafuta watumishii wa Mungu wakuombee waifunge hiyo ndoto ya mauti. Pole sana. binafsi naota mara chache sana na sijawahi kuona zikitimia!!!! Nikilala ni fofo fofo kama mtoto mdogo.

Da yani kila ulichoandika tunashabihiana ukweli nimekuwa naogopa sana kumtamkia mtu mabaya na kuna watu waliwahi kuniita mchawi manake nikisema tu lazima kiwe, ninachofanya yani najitahidi kuomba sana hasa nikiwa ni hasira
 
Kufahamu kama yatoka kwa Mungu au lah hilo nilamuhimu. Hapo unahitaji watumishi wa Mungu wakuombee then Mungu ataonyesha. Naweza kukupa contact za mtumishi au watumishi ambao nina experience na huduma zao I believe God will make a way. Unaweza kunipm kama ukihitaji kuwasiliana nao au kufahamu wapi pakuwapata.

asante kwa neno. sunshne..nafahamu vipi kama hii roho yatoka kwa Mungu au kwa shetani?..kuna sign zozote ambazo naweza kuziona?..na je,ni kwa kuomba mimi mwenyewe au kwa kuombewa na watumishi wa Mungu?
 
dada mtoa mada pole sana muhimu mi naona ni kuswali sana kumuomba Mwenyezi Mungi akufanyie wepesi. Pili, jaribu kuwa BIZE sana ili ikiwezekana wakati unakwenda kulala uwe umechoka sana hii itakusaidia kwani ukiingia tu kulala unapatwa na usingizi, na kwa kuwa utakuwa umechoka sana naona itasaidia kukupa usingizi mzito sio wa mang'amung'amu tena. POLE SANA MY DEAR ni mitihani tu hiyo na ninamuomba Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na subira, na akuzidishie imani.
Wana jamvi naandika hapa nikiwa na hofu na mashaka juu yangu mwenyewe..
hili jambo limekua likinitatiza sana..mwaka 2006,nikiwa shule niliota nyumbani tunalia,tumefiwa,haikuchukua hata wiki mbili..nikapigiwa simu kujulishwa msiba,bibi yangu mzaa mama amefariki..

Mwaka uliofuata nikaota mjomba wangu kafariki..wiki kadhaa baadae mtoto wa mjomba wangu nlomuota (binamu yangu sasa)alifariki kwa kupigwa na radi..nikaanza kujistukia lakini sikumuambia mtu..Mwaka jana niliota kuna msiba umetokea kwao my best frnd kabisa wa toka utoto (tumekua kama ndugu sasa)..haukupita muda,kaka yake akafariki..miezi miwili baada ya huo msiba,nikaota tena msiba tena..baba yake na my best huyo huyo akafariki..

Leo usiku,nimelala usingizi wa mang'amu ng'amu..nimeota niko msibani nalia..sasa hivi tuu nimepata ujumbe wa simu mjomba wa rafiki yangu (sio alofiwa na kaka na baba) amefariki..

Jamani ni nini hii?..wengine husema wakiota msiba maana yake ni jambo la heri mbona mm sio hivo?

Hapa sina amani..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom