Nikifanya hivi nitakuwa nimedhulumu?

Nikifanya hivi nitakuwa nimedhulumu?

Mkuu hao majamaa wanakuZOOM tu usifikiri wamekupotezea.
Halafu ngoja nikwambie ulipoteleza ni pale ulipoingiza sana hofu ya kudhurumiwa hela yako, wao walitafasili kama umekuwa mjuaji sana! Ko dizaini ni kama wameamua kukupotezea kimitego na maksudi huku wakisoma reaction yako. Hapa ule msemo wa "aliwazalo mjinga ndo litakalo mtokeo..." ndo umekuwa applicable.
Kwenye dunia ya mahastlers huwa tunatanguliza UBABE na sio HOFU.
Yaani pale mwanzo walipokuface ulitakiwa uwe kauzu "mnataka 3m leteni bond niwakatie mpunga longolongo sitaki kila mtu apambane na mbanga zake, na mkichelewesha nautia sokoni mkebe wenu.

Wapambanaji huwa hatuokoani kwa maringo/mbwembwe. Kuwa kauzu nao watarespect kwamba hii ni pesa ya mwanaume hajaipata kirahisi.

Kuwa mpole usihangaike kuwatafuta na jifanye kama 3m huitetemekei. Chap watakuletea shekeli yako.
 
Sawa mkuu nimekuelewa ingawa umeanza kwa kunitisha kidogo
 
Kujimilikisha naweza kwasababu nina makubaliano (mkataba) ambao niliandikishiana nao kwa Wakili. Kitaalamu, kule TRA wakati wa transfer of ownership, badala ya mkataba wa mauziano, unawekwa huu mkataba wangu wa kukopeshana fedha kwa dhamana.

Mimi kukamatwa haiwezekani kwani nina mkataba ambao unaonyesha mmiliki halali ndio amenikabidhi gari lake kama dhamana yeye mwenyewe kwa hiari yake.
Wamiliki halali hawapo lockup v
 
Mi ningekubali kuwa mnyonge,...ningekubali kuanguka kiuchumi nikawavumilia waje hao jamaa hata miaka mitano
 
Kwa maneno mengine unanishauri niwavumilie? Wakija mwakani je? Au wasipokuja kabisa? Na vipi kuhusu amana yangu ambayo inatakiwa irudi kwenye mzunguko?
Jifijirie wewe, hivi unadhani hawakuona Microfinance uchwara kwa hiyo crown wanawapa hadi milioni 8 cash ndani ya dk chache mpaka waje kwako?

Kuna makini unaandaliwa kitu kizito utapigwa nacho kichwani hutaamini, nachokiona umeitamani crown, fanya hivi kahakikishe kama hiyo gari haina msala, kama ipo safi anza kuitumia vizuri uhakikishe ipo kwenye hali nzuri mda wote, watakapokuja utawapa gari yao, watakupa chako, wakiikataa unawaongezea hela unaendelea kuitumia
 
Hata mimi nahofia kuja kutafutana siku za usoni. Tatizo ni kwamba nina shida sana na hiyo hela kwenye biashara zangu.
Kwasababu unashida na pesa yako na jamaa hawapatikani nakushauri kaingalie traffic Kama Ina msala, ikiwa fresh buni biashara rahisi tu ili hiyo gari ianze kukuingizia pesa. Fanya mpango hata uikodishe kwa mtu anayehitaji ili iingize pesa, jamaa wakirudi dai hela yako bila riba mmalizane. Mpaka hapo itakuwa imekupa faida kiasi
 
Watuhumiwa wa kesi ya Magendoo anakuletea Gari yake iwe kama Bond na wew kama wakili ukakubali kwa mkataba unajua kama kesi ikiwashinda pamoja na kuhonga kwao Polisi watakuja kuibeba hiyo gari kiulaini sanaa...! So wew kuwa mpole mfatilie kujua hao jamaa wako wapi kwanza ukishajua na maendeleo ya kesi yao hapo ndo utaweza kuamua kwa usahihi otherwise utaingia matatizoni...
 
Kwasababu unashida na pesa yako na jamaa hawapatikani nakushauri kaingalie traffic Kama Ina msala, ikiwa fresh buni biashara rahisi tu ili hiyo gari ianze kukuingizia pesa. Fanya mpango hata uikodishe kwa mtu anayehitaji ili iingize pesa, jamaa wakirudi dai hela yako bila riba mmalizane. Mpaka hapo itakuwa imekupa faida kiasi
Labda hii ilaa sio Kuiuzaa au kubadilisha umiliki..!
 
Wakuu, kwanza poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima ya leo. Ndugu yenu nataka kufanya maamuzi ila sitaki nionekane nimedhulumu haki ya mtu.

Miezi 3 iliyopita kuna jamaa ambao sifahamiani nao; walikuwa wanasafirisha magendo kwa gari binafsi kutoka point "X" kwenda point "Y". Wakakamatwa na polisi njiani wakawekwa ndani. Gari nayo (Spacio) ikazuiliwa kama kielelezo.

Sijui walielewana nini na askari, wakawa wana shida na mill 3. Nikapigiwa simu na mwanangu mmoja ambaye ndio anafahamiana na hao watuhumiwa, akaniomba niwakopeshe hiyo hela kwasababu anawafahamu, ila akakataa kuwadhamini.

Na mimi nikashtuka. Ili kuepuka kugombana na jamaa yangu nikakataa kutoa pesa kwa mali kauli. Mmoja wa watuhumiwa akaomba aagize gari yake itoke mkoani ije iwekwe bond kwangu ili niwape pesa. Gari ikaja.

Nikatoa pesa, jamaa wakatoka mahabusu, tukaandika makubaliano, nikakabidhiwa gari (Toyota crown athlete mpya kabisa) na kadi yake. Mwisho wa wao kunirudishia pesa yangu ilikuwa ni juzi tar 12/08/2023. Makubaliano yanasema wakishindwa kurudisha hiyo pesa kwa wakati bila taarifa yoyote rasmi, basi gari itakuwa mali yangu. Cha ajabu ni kwamba, hadi hiyo tarehe 12 inakaribia hakuna hata mmoja kati ya wale watuhumiwa amenipigia simu! Wote wako kimya na hawapatikani! Ninayewasiliana nae ni huyu jamaa yangu tu ambaye naishi nae huku niliko, na yeye hajui kilichowasibu!

Sasa ningeweza kuwasikilizia ila hela yangu iko kwenye mzunguko, natakiwa niitumbukize mahali niongeze faida. Hapa nafanyaje wakuu? Nikijihamishia umiliki wa hii gari sitaonekana nimedhulumu? Manake wanadamu kwa nongwa hatujambo!

Naombeni ushauri.
endelea kutumia gari. siku wakija wape gari yao kisha chukua vijisenti vyako. huwezi kujua umafia wao ni wa kiwango gani
 
Ogopa mfanyabiashara wa magendo, na hapo walikamatwa walikuwa tu hawajatoa maelekezo wanafahamianaga vizuri kuanzia polisi, TRA, na mamlaka zooote, jichanganye upotee gafla
 
Polisi sijaenda kwa ukaguzi ila TRA nimeshahakiki taarifa za gari na iko salama. Hili lilifanyika kabla sijatoa pesa.

Kwenye mkataba kuna clause iko wazi inasema kabisa kwamba wakishindwa kulipa pesa kwa wakati bila taarifa rasmi gari itakuwa mali yangu.

Kuhusu picha na kitambulisho naandika KIAPO CHA KUTOKUJUA ALIPO MKOPAJI AU AN AFFIDAVIT REGARDING UNKNOWN WHEREABOUTS OF THE BORROWER. It is that simple.
Mzee umesomea sheria nini? Nakuelewa vizuri hapo kwenye law of contract act.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom