Nikifanya hivi nitakuwa nimedhulumu?

Nikifanya hivi nitakuwa nimedhulumu?

Comments zako zinaonesha una nia ya kuuza hilo gari,kama umeamua kuwa katika ulimwengu wa kimafia basi endelea but kumbuka kila kitu kina risks zake.
 
Tafuta Mteja na umshirikishe huyo Jamaa yako aliyekuunganisha nao, kisha muuze hiyo Gari kulingana na bei ya Sokoni..

Kata M3 yako kisha chenji inayobaki ifungulie Fixed Akaunti huku unawasubiri, wakija unakula riba yako ya Fixed Akaunti kisha unawapatia pesa yao wanayostahili..

Wakilalamika unawapeleka kwa Mteja uliyemuuzia unawaambia waongee naye wamrudishie Gharama zake wachukue gari yao.
 
Hakuna mahali nimesema mimi ni mkopeshaji niliyekidhi vigezo (niliyesajiliwa), sijasema gari ni langu na sijasema nina mkataba wa mauziano, hizo facts ni zako wewe binafsi na sijui umezitoa wapi!

Nilichosema mimi ni kwamba kwa mkataba huu wa kukopesha fedha kwa dhamana ya kitu, naweza kufanya transfer of ownership kwa urahisi tu tena Kisheria. Kule TRA badala ya mkataba wa mauziano unawekwa mkataba huu wa kukopesha fedha ambapo utafanya kazi 'under operation of law'.

Hayo mengine uliyayazungumza ni maoni yako binafsi ambayo yanapaswa yaheshimiwe. Ingawa huo sio uhalisia wangu.

Asante.
Vipi hujahisi kuwa WAMEENDA TAKUKURU
 
Ndugu wakili kama hupendi drama na watu, weka gari yard, fungia funguo kwenye kabati, endelea kuwatafuta lazima mtapeana maelekezo mapya na kwa amani.

Ila ningekuwa wewe wakati huo ningeinunua mali mazima, unachukua kwa bei reasonable and no turning back.
hizi drama zingeisha the same day ulipotoa hela.
 
Tafuta Mteja na umshirikishe huyo Jamaa yako aliyekuunganisha nao, kisha muuze hiyo Gari kulingana na bei ya Sokoni..

Kata M3 yako kisha chenji inayobaki ifungulie Fixed Akaunti huku unawasubiri, wakija unakula riba yako ya Fixed Akaunti kisha unawapatia pesa yao wanayostahili..

Wakilalamika unawapeleka kwa Mteja uliyemuuzia unawaambia waongee naye wamrudishie Gharama zake wachukue gari yao.
Ok mkuu. Nashukuru kwa ushauri.
 
Ndugu wakili kama hupendi drama na watu, weka gari yard, fungia funguo kwenye kabati, endelea kuwatafuta lazima mtapeana maelekezo mapya na kwa amani.

Ila ningekuwa wewe wakati huo ningeinunua mali mazima, unachukua kwa bei reasonable and no turning back.
hizi drama zingeisha the same day ulipotoa hela.
Mkuu, umewaza kiutu uzima sana. Ningejua ninge-negotiate nao mazima. Ila ndio hivyo tena. Anyway, no regrets.
 
Ngojea Nikwambie Kitu Mkuu,ishu hiyo nyepesi sana.

Wewe shida yako si Hela 3m tu, sasa wala usisumbuane na mtu uzuri mlisha andikishana.

Chukua gari na uzuri una..mpaka KADI ya gari Tafuta Microfinance yoyote wanaokopesha kawakope 3M hiyo hiyo (ACHA TAMAA)

Kopa 3m kisha tulia zako, Usirejeshe hata shilingi wakikupgia wambie Mtu ulotegemea akupe hela zako Hapokei simu ( unawataja hao wahusika)

Basi wao kwakua wana vibali na ruhusa Zote Watauza Gari watajilipa Chao.

Huko mbeleni majamaa wakikinukisha Unasema ukikwama ukaenda Kukopa Hela sehemu flani na ndio gari wameliuza Hao.

Muhimu : Kopa 3m tu hela uliyowapa ndio utaonekana kweli ulikua na shida na hela yako. ila ukikopa ZAIDI utatwangwa swali kwann ukope zaidi na gari si lako? utakosa majibu.

Kakope 3M Tia hela yako mfukoni, tulia hao majamaa wakija wambie kama mnataka kuuza GARI uzeni hilo hapo.
Duh kama tulikua tunafikiri sawa kwa wakat mumoja nami nlitaka kuandika hikihiki
 
Honouring a contract and time sio culture ya mtu mweusi. Kila kitu kinaweza kuwa upande wako, lakini kwa kuwa nimesema hapo mtu mweusi hana utamaduni wa kuheshimu maandishi usishangae wanakufanyia tukio kwa back door.

From the beginning hukupaswa jiingiza kwa hayo mambo kabisa unless ni ndugu yako.
 
From the beginning hukupaswa jiingiza kwa hayo mambo kabisa unless ni ndugu yako.
Hapa duniani ukichagua njia ya huruma na kusaidia watu matatizo yao mwisho mwingi huwa naonaga n mbaya,n heri uchague kuwa mgumu na maisha yako waseme wanayoweza kusema kuhusu wewe ila maisha ya sasa hayana mtu mwema wengi ni wema nyusoni sio mioyoni "hata ndugu"
 
Angalau ndugu utasema ni 'msaada'.
 
Mkuu, iko hivi, ile 3M niliyowapatia waliitumia kuwapatia askari ili kesi isiende Mahakamani. Yaani jambo liishie polisi. Kwahiyo hawana kesi yoyote.
Sasa mbona wamepotea tu hewani ghaflaaa???? Hata jamaa ako hajui walipoo hakuna anaeweza acha Crown apotee hewani kisa mil 3..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom