Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

Ungetueleza tu mkuu " nini kilicho nyuma ya dini ya kikristol?" na kwa nini manabii wameongezeka sana.
 
kwel hii mada ni ya kwel kabisa mi ni mfatiliaji wa mambo haya afu nakuwa nashindwa kujitambua maana wakati mwingne nakuwa kama mtambuzi juu
ya mambo ya freemason na cha ajabu nakuwa naanza kuongea maana ya arama hzo na kiulizia ili kujiaminisha nashangaa ni sawa ninavyo kuwa nawaza
 
hamis77,
Hizi propaganda za kijinga tumeanza kuzisikia miaka mingi sana. Na zilitengenezwa na watu maalumu (wanaoichukia USA, ISRAEL na UKRISTO) kwa malengo maalumu, bahati mbaya kuna watu wanazishadadadia bila kujua ngoma wanayochezeshwa. Ukifatilia utaona kila tajiri mzungu hasa muamerika au myahudi ataitwa free mason.

Akiwa mwarabu hasa muislamu wala hutasikia na ikitokea ukasikia wanamsema ni ufree mason basi lazima kwanza waseme huyu sio muislam ni muyahudi. Mchungaji akipata mafanikio utasikia huyo yuko free mason lakini sheikh au ustaadh akipata mafanikio au hata akifundisha uchawi live kwenye tv na kujinadi hutasijia akiitwa freemason.

Watz amkeni acheni akili za kijinga kufanyishwa kazi kisizo na maslahi kwetu kama taifa; tuchape kazi tutatoboa Mungu akipenda. Hii ni vita ya kiuchumi wala sio ya kidini laikini dini hutumiwa kama nyenzo ili watawala kufanikisha malengo yao, lengo kuu ni kupunguza ushawishi wa marekani, israel na wazungu kwa ujumla. Kanisa katoliki linalengwa zaidi kwakuwa ndio lenye waumini wengi zaidi.
 
Kuna mambo mengi sana watu wanapaswa kuyafanyia utafiti bila kuongozwa na hisia zozote zile za kidini au kidhehebu ili waweze kupata ukweli.....

Ukishaona mtu anaona tu kuwa Freemason ndiyokila kitu au Illuminati jua kuna shida mahali kwasababu kuna zaidi ya hapo....
Hicho cha ziada ni kipi?
 
Mashaxizo,

Wanatoa kafara za binadamu, sana sana za watoto, tena kafara za kikatili na kutisha pia hutoa viungo flan kwenye ubongo ambavyo vinawasaidia kwenye mambo yao ya kishetani, Kwan inasemekan ndan ya hvyo viungo hutumia kwa ajili ya kuwapa nguvu za kiroho


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umesema vyema sana mkuu,,watu hawajui wakisemacho kuhusu masonic ,kuna mmoja et kasema kabla ya wakoloni babu zetu walitoa kafra kwa shetani,na baadae wkaanza kutoa kwa mungu.nilipomuuliza kwa nini akaondoka kimoja

Sasa unachokataa ni nini?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi mnavyotoa kafara za watu manufaa yenu
ninini ?
Ndio kuwa matajiri sio.
Yaani Pesa kwenu inathamani kuliko Roho za Watu.
Itawafalia nini mkipata utajiri wa dunia yote hii mkautumia kwa miaka michache tu na kuukosa ufalme wa
mbingu?
Kuyakosa maisha mema ya
umilele ?
Ni taahira tu atakayependa hayo maisha yenu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom