Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

"Free Mason ama wajenzi huru,ni jamiii ama kikundi ambacho kina misingi toka zaman sana enzi za mfalme solomon"

umesema hutumii maandiko yyte,,,, je umejuaje mambo yaliyokuwepo enz za mfalme solomon?? au ulikuwepo enzi hzo

NB:;Sikubaliani wala sipingani na andiko lako"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu8, Kwani kabla ya wazungu kuja Africa babu zetu waliabudu nn
Au wahindu wanaabudu ng'ombe wamekosa nn

mwanabhonga
 
Tofautisha matapeli wanaojiita FREEMASON na REAL FREEMASON

mtu mwenye uwezo wa kukufanyia mabaya huwa hana maneno ya vitisho yan utakuta tu yashakukuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa walimpiga na wale jaamaa Wa piga Namba hii uunhanishwe na Freemason huyu maana Freemason hawana longolongo wako very serious na kile wanafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii chai
Nitaongezea machache
Kwanini wakajiita freemason ? Ni kwasabu wajenzi wote yasemekana walilaaniwa na Bwans Yesu hivyo wakawa ni watu wenye nuksi na mikosi na maskini
Kwahiyo wakawa wanafanya matambiko kabla ya kuanza ujenzi wowote ule ,matambiko haya ndio yalikuja kukua na kugeuka kama dini..wanajiita wajenzi huru yaani uhuru kutoka katika laana ya Kristo Yesu
Kwanini wanahusishwa na shetani ?matambiko yaoya kutaka kujinasua na laana ya wajenzi ndio ilisababisha wahusishwe na ibada za giza
Lakini ili wajitofautishe na wajenzi wengine (masons) walinia kujiwekea viwango vya juu mno vya ubora kwa kila kazi walizofanya .hii ilisababisha wapate tenda nyingi za ujenzi wa majumba ya matajiri
 
Hofu inakuja kwa sababu mnapenda na kuamini mno story za ki chai chai.
Ukiweza kusoma vyanzo mbalimbali vya taarifa zao hasa zilizo katika lugha za Kingereza hofu yenu itaondoka.
Kwa inavyoelekea na wewe ni mfuasi wa free mason kwa unavyojieleza sina shaka na hilo. kama hawana lengo baya hofu kwa ss inakujaje?
 
Freemason wanaabudu mungu yupi?
Kwa lugha nyepesi na fupi nitakueleza tu kuwa pamoja na kuandika maelezo yote hayo hakuna unalolijua...

Wewe pia ni mmoja wao na unachokifanya hapa ni kueneza imani yenu kwa mgongo wa kujifanya mawazo yote umeyatoa kichwani mwako...

Dunia au ulimwengu una falme kuu mbili nazo ni Ufalme wa Nuru ulio chini ya Mungu Muumba vyote na Ufalme wa Giza ulio chini ya Ibilisi baba wa uovu.

Ndani ya falme hizi kuna tawala mbalimbali na huu utawala wa freemason unaangukia kwenye Ufalme wa Ibilisi.

Kitabu cha Amri za Mungu kwa wanadamu katika torati ya Nabii Musa iliweka bayana kwa wanadamu kuwa, "Usiwe na miungu mingine isipokuwa MIMI (Mungu Muumba)".

Taratibu za ibada za freemasonry zinakinzana na amri hiyo kwa asilimia zote 100.
 
Hii hadithi yako ni ya uongo au binti yako alirubuniwa na matapeli.
Aisee hawa watu ni hatari sana. Walimrubuni binti yangu anasoma udsm. Wakampeleka kwenye sinagogi la shetani na kumwapisha kwa jina la mpinga kristo 666, wakachukua alama za vidole, wakamshurutisha kukamilisha code 666 kwa fedha 666,000 ndani ya muda waliompa.

Bint akataka kujitoa wakaanza kumpigia simu na kumtumia ujumbe wa vitisho. Mara kadhaa alipigiwa simu kutoka namba 666, alipopokea mpigaji alisikika kama upepo mkali au mawimbi, alipokata mpigaji alituma meseji yenye lugha isiyoeleweka.

Baadae walimtuma mjumbe wao kumweleza ukiacha imani hii itakughalimu maisha yake au ndugu zake. Kuna mambo mengi mabaya ya FM ambayo nikiyaandika hapa nahitaji masaa 4 ....
 
Hakuna kafara wanazotoa,amezidisha chumvi tu kwenye stori.
So many contradictions.Wanasema hawana dini lakini wanatoa makafara, wanataka kuitawala Dunia na ku initiate watu wengi lakini wana operate kisiri. Mambo mengi yamejificha kwa hii Organization.Msidanganye watu hasa walioko kwenye fani ya ujenzi
 
Wakuunge ukafanye nini?
Hawaungi watu wasio na muelekeo wa maisha,wanaunga watu wanaoweza kuwasaidia binadamu wengine kufikia malengo yao.
Che mittoga, Ndio nakuambia hivii, hakuna cha secret society na wala hawafanyi hayo yanayosemwa huku.

Nimeshaenda mpaka kwenye eneo lao wanalosema ni la Ibada karibu na entrance gate ya YMCA hakuna kitu.

Nimewaambia Waniunge hata hapa nawaambia tena, hakuna watakachofanya zaidi ya mizunguko na usanii usio na maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo mtupu
Mashaxizo,

Wanatoa kafara za binadamu, sana sana za watoto, tena kafara za kikatili na kutisha pia hutoa viungo flan kwenye ubongo ambavyo vinawasaidia kwenye mambo yao ya kishetani, Kwan inasemekan ndan ya hvyo viungo hutumia kwa ajili ya kuwapa nguvu za kiroho


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom