Acha kudharau kanisa za wengine maana vyote ulivyoandika hapo umekopi na kupesiti. Jaribu kufikiria vizuri kanisa za watu siyo za kutania kiivo
Sent using
Jamii Forums mobile app
Huyo jama hajadharau kanisa ameeleza ukweli kuhusu nia ya Freemason.
Freemason waliuona Ukristo kuwa ni imani yenye nguvu za Kiroho na Kihalisia.
Kwakuwa lengo lao ni kutawala dunia Kiroho na Kihalisia, mkakati wao wa kwanza ulikuwa kuyapoteza malengo ya Ukristo.
Hapa sizungumzii Ukatoriki.
Mkakati wa pili ulikuwa ni kuitawala dunia kwa Sera ya New World Order.
Yaani kuingiza taratibu zitakazotawala au kushika hatamu kwenye ulimwengu mpya wa Kiroho na
Kiuhalisia.
Kwakuwa Roman Cathoric ndilo kanisa lenye nguvu na maarufu na lina waumini wengi zaidi, Freemason wakaanza kupandiliza watu wao ili wawe watumishi wa Kanisa katoriki ili wafanikishe kuliteka kuelekea upagani na kuhitimisha ndoto yao ya kuua Ukristo.
Hivyo ni ukweli kabisa kuna Maaskofu, makardinari, mapadre, makatekista kwenye kanisa Katoriki Anglikana nk. ambao ni mapandikizi ya Freemasoni.
Ona Anglikana walivyotekwa hadi makanisa ya Ulaya yameruhusu Ushoga kwa watumishi wake, hapo Freemason wanashangilia.
Ona jinsi baadhi ya watumishi wa kanisa Katoriki wanavyojihusisha na ubakaji, ulawiti, na wanamshinikiza sana Papa autambue Ushoga ili watimize lengo lao.
Freemasoni wamejipenyeza katika taasisi karibu zote zenye nguvu, na hata za dini ili watawale dunia.
Hakuna dhehebu la Kikristo ambalo ni kubwa lililoenea zaidi ya Bara moja ambalo hawajajipenyeza.
Vibaraka wao wapo hadi kwenye viongozi wenye mguvu wa Kisiasa.
Tusiwafumbie macho Freemasoni, wapo na wanajipenyeza kwa nguvu ndani ya Ukristo na Kanisa kwa ujumla ili Kuua Ukristo na kujenga himaya ya Shetani humo makanisani na Serikarini.
Freemasoni adui yao ni Ukristo na hawana habari na dini nyingine. Kwenye biblia yao inayoitwa
"The Holy Bible Of Freemason"
Kuna karibu mitume na manabii wote wanaotajwa kwenye Biblia ya Wakristo.
Yesu na wanafunzi wake kumi na mbili wapo, waandishi wa vitabu vya Agano jipya akina Mathayo, Luka, Paulo wote wapo.
Hii imefanyika ili watu waone kana kwamba wanasoma biblia halisi na Mungu ni yuleyule kumbe siyo.
Mtoa mada kaandika vizuri sana na Freemasoni hawataki aweke siri zao hadharani kiasi hiki ndio maana shughuri zao wanafanya kwa Siri ili kuficha nia yao Ovu. Kama wangekuwa na nia njema wangeabudu hadharani na kila mtu angeruhusiwa kijiunga na Freemasoni
Hao ni kama magaidi wanaojificha ili wasitambulike kwa Uovu wao. Freemasoni ni Ugaidi unaolenga kuua Ukristo duniani.
Nampongeza sana mtoa mada endelea kutupa ukweli hawa jamaa wanataka kuupoteza kabisa Ukristo, kwa kuyaharibu makanisa ili yawe ya kipagani na waumini wasijue kinachoendelea.
MTOA MADA ENDELEA KUTUELEZA NJAMA OVU ZA hizi Secret Society kwa Ukristo, na dunia kwa ujumla.