Ivan mapalala
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 285
- 103
Makala hii imeandikwa kwa mtindo ambao msomaji hawezi kupata maenezo ya kina juu ya kile kinachojadiliwa.Kwasababu hii hata kuchangia inakuwa ni tatizo sana maana hata hujui uchangie wapi....Nmi pia ningependa sana kuona mchango wako hapa mkuu tafadhali sema chochte
Elewa anachosema hapo hamaanishi ulivyofikiri wewe, anazungumzia toka hicho kipind kwa miaka 66 inafikia 2011, muwe mnasoma na kuelewa,
Ninyi mnataka kupoteza muda ambao hakuna haja ya kuupoteza....Hadi naandaa nilijua wakurupukaji watashindwa kuelewa hapa, ndugu aliyenisaidia baadhi ya nukuu alizichambua juzi tu,kwahiyo sio kama nimesahau kuedit ndivyo ilivyo.
Sawa boss......Wewe tatizo kichwa kigumu, mtoa mada kaeleweka, tatizo unajiganyaga mjuaji kwa kila kitu kumbe kopo tu
Sawa mkuu...Tatizo wewe mjuaji ila hujui kitu
Nakufahamu vizuri hunipi tabu, kwa mujibu wa mtoa mada amesema hizo quote zimeandikwa baada ya 2011, sasa wewe unakomaa tu ,achaga ujuaji maandazi, kuna watu wanaijua freemason kuliko uijuavyo wewe
Tatizo ukikosoa unaonekana mjuaji wakati sivyo....kiukweli mkuu eiyer hapa utaumiza kichwa bure uzi huu makosa mengi tu mm mwenyewe nimefanya kuu ignore tu kwa kuwa anayeuleta mwenyewe anaonekana ni copy and paste
"Kila kitu kimeelezwa hapo"Kila kitu kimeelezwa tatizo, Unaleta ujuaji, sasa unataka aelezee kuhusu G.AO.TU , hiyo ni mada nyingine, na uzi utakuwa mrefu na kichosha ,
Nimeshakwambia acha ujuaji, mada hizi sio saizi yako, maana hupend papa akihusishwa na freemason, wakati ipo wazi
Hahahahahaaaaaa......Dah madini matupu, hapa lazima shetani aaibike
Nani huyo mwenye kukurupuka akaiandika Qur'an?Kwa upande wa quran unawaonea freemsons hawajaiandika wao labda biblia,freemasons wana maneno yakuvutia kukuingiza mitegoni,kwenye quran hamna maneno hayo,quran imeandikwa na mtu mmoja tu tena kwa
Kukurupuka huku akiwa ana hasira kali
Mkuu Eiyer weka busara zako hapa,usipite kimya hivyo. Huu ni ulingo wako kabisaa mkuuMkuu nimeshangaa tu kwasababu nimeshangaa kweli kweli kwenye mada hii....
Nilitaka kuandika mambokadhaa lakini nimeamua kuacha maana naona kama utakuwa ni mvurugano tu...
Nimeamua nimuache mkuu na mada yake na nitasoma tu....