Mkuu, kuna uzi ameanzisha ID ya Aroon, sasa katika kuchangia , ikaja ID ya JerryMsigwa.....post inayofuata ikaja ID ya Hamis77...Kwa hiyo ni mtu mmoja katika nafsi 4 za jF. Wewe otorongongo uko na nafsi ngapi za jF? Kama umeweza mgundua mwenzako si haba, uko vizuri.
Na washawasha!
Mkuu, kuna uzi ameanzisha ID ya Aroon, sasa katika kuchangia , ikaja ID ya JerryMsigwa.....post inayofuata ikaja ID ya Hamis77...
Bila kupepesa macho Mods naona wakazi-merge pamoja..
Kila nilipom-quote Jerrymsigwa ile quoting post inaandika hamis77...
Na-quote post ya Aroon mara nilicho-quote ni Hamis77
unawaonea akina invisible, mimi sijuani na mtu yeyote katika hao umewataja. Au kama anaweza aunganishe id kutoka Australia na Tanzania haaaaaaaaaaa we jamaaaaaaaJerrymsigwa
AROON
hamis77
@bintwhite
Hii ni ID moja...Nashindwa kuelewa Moderator, Invisible wanashindwa nini kuziunganisha..
hamis77 bana....unawaonea akina invisible, mimi sijuani na mtu yeyote katika hao umewataja. Au kama anaweza aunganishe id kutoka Australia na Tanzania haaaaaaaaaaa we jamaaaaaaa
Kwaiyo?Inafahamika rc ni paganism religion
YHWH IS GOOD
pole sana mkuu, we jibu hoja za post wacha kufuatilia huyu ni nani na nani...hao moderators KAMWE hawawewezi kufanya utakalo, KAMWE hawaweziMkuu, kuna uzi ameanzisha ID ya Aroon, sasa katika kuchangia , ikaja ID ya JerryMsigwa.....post inayofuata ikaja ID ya Hamis77...
Bila kupepesa macho Mods naona wakazi-merge pamoja..
Kila nilipom-quote Jerrymsigwa ile quoting post inaandika hamis77...
Na-quote post ya Aroon mara nilicho-quote ni Hamis77
hapana huyo mimi simjui hata kidogo, sasa umehamia kupersonalise acc za watu.hamis77 bana....
Au nizililete zile post hapa..hapana huyo mimi simjui hata kidogo, sasa umehamia kupersonalise acc za watu.
Ulilazimishwa kwaniMi ni mkatoliki ila napata shida Sana kulielewa Kanisa langu
zilete mkuu, ziweke screenshot kabisa...hahahhaha mimi sio miongoni mwa hao akina Aaron wala naniAu nizililete zile post hapa..
Ahsanta...zilete mkuu, ziweke screenshot kabisa...hahahhaha mimi sio miongoni mwa hao akina Aaron wala nani
Tunaanza kama ifuatavyo..zilete mkuu, ziweke screenshot kabisa...hahahhaha mimi sio miongoni mwa hao akina Aaron wala nani
Wenye akili tumejua ukweli ni upi kama pembe ndogo ni RC au la kwa sababu kila kitu kipo na rejea. Asante sana kwa mjadala
Wenye akili tumetambua RC ndio pembe ndogo maana anahusika kila kitu na sifa za pembe ndogo
YHWH IS GOOD
Tunaanza kama ifuatavyo..
The Same post
Hii Signature ya YHWH IS GOOD eti ni ya nani...???
Hahahahahaha....Eti ehhh....Poa ni watu wa2 tofauti kbs, kwa heri kwa sasa ngoja nikasake na $
Hahahahahaha....Eti ehhh....
Majukumu mema AROON aka Jerrymsigwa aka hamis77
Kuna moja inaitwa Bintwhite...naifuatilia.
Ila mkuu unajisimbua sana...Utabadili ID hivi lini...kumbe ndo upo hovyo hivyo...??
Kwani ID zinafunguliwa kwa wakati mmoja...Hata kesho si unaweza kufungua tuu..Sad, mm sio hao umewataja. Ona date of joining, na sipo Tz kijana