Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

ndio mana nikasikia juzi kati hapa eti papa anasema hakuna Jehanamu na ile inayozungumziwa kwenye biblia ni stori ya kutungwa
2TIMOTHEO 2-5

"2 lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
3 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
4 nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
5 Bali wewe, uwe na kiasi katika mambo yote, vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiliza huduma yako."


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo tunapofeli sana Wabongo, siwezi kukubaliana na ujinga ujinga kisa Babu, Bibi, Baba, Mama, Kaka, Dada, ndugu, rafiki na jamaa zangu wamo ktk dhehebu ninaloabudu nakati nitasimama pekeyangu kujitetea siku ya hukumu kuu mbele za Mungu.
Hii maada ya mleta Uzi ilikuwa nzuri sana isingekuwa watu wanajibu kulingana na dini zao sasa wanakatisha tamaa tu badala ya kutaka kujua zaidi Mimi naamini mleta Uzi alikuwa anajua mengi zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mtu anapinga "Umoja" basi uyo ndiye Wakala wa Shetani maana ata Yesu alisisitiza sana kwa wanafunzi wake wawe Wamoja wasitengane!
Unafurahi kuona Ukristo ukiwa katika vipande vipande uku ukiwachukia wanaopambana kuunganisha ukristo ata kwa akili ndogo unaweza tambua ni yupe anafanya kazi ya Shetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafanikio ya mwanadamu yamefungwa katika kutumia kipaji alichonacho, kila MTU anakipaj changamoto iliyopo ni kukijua kipaji ulichonacho wachache ndo wanaweza kujua na kutumia vipaji walivyonavyo, ndo maana matajiri ni wachache

Ili Mingu akusaidie uwe mbunifu na tajiri, lazima utumie kipaji alichokupa, Mithali 17:8, elimu ni kama mbolea au kibebeo cha kukifanya kipaj chako kinawiri, ndo maana hata Leo watu wengi wamesoma na hawana kazi Kwa sababu wanafikiri elimu ndo itakayowapa mafanikio kumbe ni kipaji.

Na shetani alishakaa na Mungu Kwa hy kuna vitu anavijua sis hatuvijui, na ndo maana inakua ni moja ya sababu ya mwanadamu kutoweza shindana na shetani, pasipo kuwa na msaada wa ki-Mungu.

Shetani ana project nyingi nyingi anazofanya kueneza ufalme wake, mojawapo ni kupitia Freemason

Freemason wanatumia watu ambao wanatumia vipaji vyao na sio ambao hawatumii, ukiwa fukara usie jitambua freemason hawana mda na wewe, na moja ya kaz zao Kwa sababu zipo nyingi ni kumuongezea mtu uwezo wa kuconnect ulimwengu wa roho na mwili, ili kuifanya akili kufanya kaz pasipo upinzani, na hii mbinu wameiiga kutoka Kwa Mungu sio yao.

Na Kwa sababu watu wa Freemasons wanaweza kuimaster hii mbinu wanakuwa wabunifu kwenye biashara, Sanaa na kuwa matajiri

Hata katika hali ya kawaida binadamu anayeweza kuconnect ulimwengu wa roho na mwili kama leonardo da vinci atafanya mambo makubwa, Kwa sababu udhaifu wa mwanadamu ni kutoweza kuconnect ulimwengu wa roho na mwili ambao kunaifanya akili isifanye Nazi kiufanisi.

Kwa sababu ulimwengu wa roho ni halisi zaid ya mwili na vitu vingi vinaanzia ulimwengu wa roho ndo vinakuja ulimwengu wa mwili, ndo maana likaja neno VISION kuna kitu unakiona ila katika ulimwengu wa mwili hakipo.

Ndo maana watu wanaomwamin Mungu moja ya sababu hawana mafanikio, ni kutokua na uwezo wa kuconnnect ulimwengu wa mwili na roho ili kuiwezesha akili kufanya kazi kiufanisi, badala yake wanategemea miujiza.

Hata mwanadamu ni nadra sana kumkuta mwanadamu ametumia akili yake asilimia 100, Kwa sababu hatuna uwezo wa kuconnect ulimwengu wa roho na mwili ili akili ifanye kazi Kwa ufanisi

Ukiweza kuconnect ulimwengu wa roho na mwili akili itakupa mawazo ya kiubunifu ambao mwili hauwezi kukataa, sababu upinzani mmoja wapo ni kwamba akili na mwili vinashindana badala ya kushirikiani.
 
Kila mtu ana kipaji?? Au ni wachache tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
somo zuri sana ila kuna mchangiaji mmoja ana naombea aje kujazia nyama asilete uvivu wa kutupia link na kukimbia.
 
Ni kweli kabisa , na nadhani kila mtu Ana kipaji Ila wengi hawataki kuvifanyia kazi kwa sababu mbali mbali , Ila binadamu tuna ile shauku ya ndani kabisa ya kutaka kufanya kitu flani hivi Ila kwa sababu flan flan hivi tunashindwa kutimiza ndoto zetu .


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom