Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

Mafanikio ya mwanadamu yamefungwa katika kutumia kipaji alichonacho, kila MTU anakipaj changamoto iliyopo ni kukijua kipaji ulichonacho wachache ndo wanaweza kujua na kutumia vipaji walivyonavyo, ndo maana matajiri ni wachache
Ili Mingu akusaidie uwe mbunifu na tajiri, lazima utumie kipaji alichokupa, Mithali 17:8, elimu ni kama mbolea au kibebeo cha kukifanya kipaj chako kinawiri, ndo maana hata Leo watu wengi wamesoma na hawana kazi Kwa sababu wanafikiri elimu ndo itakayowapa mafanikio kumbe ni kipaji.
Na shetani alishakaa na Mungu Kwa hy kuna vitu anavijua sis hatuvijui, na ndo maana inakua ni moja ya sababu ya mwanadamu kutoweza shindana na shetani, pasipo kuwa na msaada wa ki-Mungu.
Shetani ana project nyingi nyingi anazofanya kueneza ufalme wake, mojawapo ni kupitia Freemason
Freemason wanatumia watu ambao wanatumia vipaji vyao na sio ambao hawatumii, ukiwa fukara usie jitambua freemason hawana mda na wewe, na moja ya kaz zao Kwa sababu zipo nyingi ni kumuongezea mtu uwezo wa kuconnect ulimwengu wa roho na mwili, ili kuifanya akili kufanya kaz pasipo upinzani, na hii mbinu wameiiga kutoka Kwa Mungu sio yao.
Na Kwa sababu watu wa Freemasons wanaweza kuimaster hii mbinu wanakuwa wabunifu kwenye biashara, Sanaa na kuwa matajiri
Hata katika hali ya kawaida binadamu anayeweza kuconnect ulimwengu wa roho na mwili kama leonardo da vinci atafanya mambo makubwa, Kwa sababu udhaifu wa mwanadamu ni kutoweza kuconnect ulimwengu wa roho na mwili ambao kunaifanya akili isifanye Nazi kiufanisi.
Kwa sababu ulimwengu wa roho ni halisi zaid ya mwili na vitu vingi vinaanzia ulimwengu wa roho ndo vinakuja ulimwengu wa mwili, ndo maana likaja neno VISION kuna kitu unakiona ila katika ulimwengu wa mwili hakipo.
Ndo maana watu wanaomwamin Mungu moja ya sababu hawana mafanikio, ni kutokua na uwezo wa kuconnnect ulimwengu wa mwili na roho ili kuiwezesha akili kufanya kazi kiufanisi, badala yake wanategemea miujiza.
Hata mwanadamu ni nadra sana kumkuta mwanadamu ametumia akili yake asilimia 100, Kwa sababu hatuna uwezo wa kuconnect ulimwengu wa roho na mwili ili akili ifanye kazi Kwa ufanisi
Ukiweza kuconnect ulimwengu wa roho na mwili akili itakupa mawazo ya kiubunifu ambao mwili hauwezi kukataa, sababu upinzani mmoja wapo ni kwamba akili na mwili vinashindana badala ya kushirikiani.
how do you connect? ?
 
Roho ya binadamu na Mungu/shetani zinakutana pale ambapo kuna damu, ndo maana watu wanatoa kafara ili roho zikutane na Mungu/shetani, ili Mungu (wakristo) alishamtoa YESU kristo Kwa hy haitaji kafara tena
Mada nzuri sana na kubwa mno! Lakini bado hapo ni lugha ya picha tu kwani damu kama damu si issue ila kile kinachomaanishwa na damu. Sina uhakika na ukomavu wa watu humu na nitaishia hapa kwa sasa.
 
Most things from outside world is an illusion. Power kubwa ya binadamu katika kufanya mambo inatokana na energy inayotoka ndani (within). Kuna power kubwa sana kwenye roho zetu, but miili yetu most times ni dhaifu, na circumstance za maisha zinafanya mtu asijitambue na kupoteza focus na kushindwa kujitambua.
Most times watu wenye vipaji waliojitambua wana mafanikio makubwa na wana maisha ya furaha sana kwa sababu wanakuwa wameshajua purpose yao, so wanajua wapo hai kwa sababu maalumu, na maisha yao yana maana kubwa sana. Kama wengi wetu wangejitambua wana purpose, chaos nyingi zingepungua duniani, na mahusiano mengi yangekuwa na uaminifu mkubwa, kwa sababu hakuna ambaye angemuonea mwenzake wivu ama chuki kwa sababu kila mtu ameshatambua sababu yake ya kuwa hai. Na kila mtu angejua ana upekee mkubwa.
Samahani nimetoka nje ya topic kidogo.
 
Most things from outside world is an illusion. Power kubwa ya binadamu katika kufanya mambo inatokana na energy inayotoka ndani (within). Kuna power kubwa sana kwenye roho zetu, but miili yetu most times ni dhaifu, na circumstance za maisha zinafanya mtu asijitambue na kupoteza focus na kushindwa kujitambua.
Most times watu wenye vipaji waliojitambua wana mafanikio makubwa na wana maisha ya furaha sana kwa sababu wanakuwa wameshajua purpose yao, so wanajua wapo hai kwa sababu maalumu, na maisha yao yana maana kubwa sana. Kama wengi wetu wangejitambua wana purpose, chaos nyingi zingepungua duniani, na mahusiano mengi yangekuwa na uaminifu mkubwa, kwa sababu hakuna ambaye angemuonea mwenzake wivu ama chuki kwa sababu kila mtu ameshatambua sababu yake ya kuwa hai. Na kila mtu angejua ana upekee mkubwa.
Samahani nimetoka nje ya topic kidogo.
Kabisa
 
Tafuta kitabu kinaitwa UNDERSTANDING YOUR POTENTIAL kimrandikwa na Dr. Myles munroe. Utajua kwamba kila mtu alipozaliwa alipewa kipaji. Tatizo linakuja katika namna ya kutambua na kukitumia kipaji.
 
Body, mind & Spirit connection inahitaji displine ya hali ya juu, sio simple thing as people talk.

Hivi siku ikigundulika huyu anayeitwa shetani ndiyo mungu au zinazoitwa nguvu za giza ndiyo nguvu za mungu itakuwaje? utamlaumu nani?

Be positive, Stop Being Brainwashed, Think Big

N.B kama unataka kujua freemason ni nini soma kitabu cha Sir Andy Chande(Mimi sio miongoni mwao)
 
Aisee hawa watu ni hatari sana. Walimrubuni binti yangu anasoma udsm. Wakampeleka kwenye sinagogi la shetani na kumwapisha kwa jina la mpinga kristo 666, wakachukua alama za vidole, wakamshurutisha kukamilisha code 666 kwa fedha 666,000 ndani ya muda waliompa. Bint akataka kujitoa wakaanza kumpigia simu na kumtumia ujumbe wa vitisho. Mara kadhaa alipigiwa simu kutoka namba 666, alipopokea mpigaji alisikika kama upepo mkali au mawimbi, alipokata mpigaji alituma meseji yenye lugha isiyoeleweka. Baadae walimtuma mjumbe wao kumweleza ukiacha imani hii itakughalimu maisha yake au ndugu zake. Kuna mambo mengi mabaya ya FM ambayo nikiyaandika hapa nahitaji masaa 4 ....
Ka-screenshot kadogo mkuu
 
Kanumba freemason?? Wa lodge ipi?? Embu tusimpe status asiokuwa na uwezo nayo...... Shida ya bongo yoyote akifanikiwa tu anaitwa freemason. Ile ni fraternity tu kama lions club tu ila watu wanaikuza sana kwa mambo ya kufikirika.

Huenda alikua kwenye secret society moja wapo maana zipo zaidi ya 1000 ila wabongo tumekariri freemason tu kana kwamba ni wabaya ilihali siamini kama kuna yeyote humu kasoma katiba yao walau kujua rituals zao na operations zao wengi wanajitungia tu mawazo yao.

Ni vizuri watanzania tupende kusoma kabla hatujachangia kitu kma mtoa mada ingawa mnampinga lakini angalau kajituma kutafuta ukweli sio kukaririshwa tu kma wengine alafu ukiulizwa utoe ushahidi unakwama!!

Big up mtoa mada you're a great thinker
 
Back
Top Bottom