Shortgun inakaaga nyuma ya kiti cha gari.Hahahaa haaaa
mangi una bastola ww!!?
Acha Dog style wakati wa majambozi...Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
ms_shylo mbona hata hawana ID wapo kama mwingine yoyote,On a positive response: put on underpants that will hold the whole mzigo,inapunguza kutingishika,i am average size but got a lil popped out kibooty,most times my friends doubt kama nimevaa underpants sababu ya movement ya my kibooty inspite of putting underpants that hold it all. So try my advice and consult training experts on excerciss that will make it firm (squats may work for you) they put the booty in shape,smooth and makes it firm.Good luck Dada!!
Msinijie na manegativity yenu ya kuita watu wauzaji hapa,maana mmecramishwa kuita watu wauzaji.
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.