Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Status
Not open for further replies.
Uwiiiiii!umate umate!!!udenda kunitokaaaaa!!!eh hebu weka picha shosty!!!
 
mwarubaini wa tatizo lako ni hii njia......sasa kujiamini kama awali
111.jpg

Kwa style hii lazima yakazwe!teh teh
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Vaa jilbab!!
 
ishi utakavyo wewe mama mdogo,ni ngumu sana ukiamua kuishi watakavyo walimwengu.
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Mtambuzi, hivi huyu giLESi si ndio CHAI BORA???
REFER:
[h=3]Je mnaliona tangazo la Chai Bora...?[/h]
 
Kuna mizigo ya laana yenyewe hata ikiwekwa ndani ya dera itafanya kila njia ili itokeze kwa nje iwasumbue marijali na wakware mitaani
 
Nenda pale gerezani wakupime wakuchongee kitu kama helmet ya pikipiki uwe unavaa huko nyuma
 
Dah! Pole sana lakini iko kitu ndo ugonjwa wangu mkubwa usihangaike na kitu ambacho ni asili yako
 
dada sikushauri hata uyabane!!

yaache tu yajiachie kwa raha zake!

halafu mi hapo ndo ugonjwa wangu ulipo!!

asiyabane bana tena ayatingishe zaidi ya kontena lililotingishwa na forklift bandarin coz ndo raha ya mwanamke.....!
 
Ooohh giLESi yaache tu bhana...kwani yanakuumiza ukitembea? 。Cha kufanya tafuta gari tu bana usitembee kwa mguu mammie.. yaani kashindwa hata kukununulia ka vitz!! Vitu kama hivi ni vya kuwekwa ndani ya gari bhana...

Hahahaa haaaa
mangi una bastola ww!!?
 
Last edited by a moderator:
Enzi zangu ningekwambia nione nikupe dawa ila sahiv imeniishia umri nao umesonga
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

pigwa TIGO
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom