Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Status
Not open for further replies.
What if you wear a loose garment??? Sio swali, namaanisha kama hujawahi and if u can,jaribu kuvaa nguo isiyoku'tight kwa nje/juu ya hivyo unavyovitanguliza.
 
Tobaaaaaa!!!!
Majaaliwa yake manani hayo,african queen mashallah!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

mrembo, siyo tatizo bali ni hazina karibu sana bibie mimi nikiona mtikisiko tu hata nisipokula huwa nashiba
 
Halafu uwe unavaa nguo za kukupa nafasi sio za kubana
 
Basi wale walafi macho na mate yanawatoka. Nahisi sasa hv idadj ya direct message ushavunja record. Kila la kheri.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom